Fundi247 retweeted
Governor @njorogep today held a Fintech Roundtable session with some of the finalists of the 2019 and 2020 @AfroAsiaFintech Africa Hackathon where they discussed their progress so far.
@SMECreditPro @getkwara @fundi247 @Masaratly @BienfaitBitenyo @Lami_world @finaclusion
Unasumbuliwa na simu mbovu, usipate shida yeyote pakua fundi247 uweze kupata mafundi bora kabisa kukurekebishia simu yako kwa ufanisi mkubwa. Mafundi wetu wamehakikiwa na ni wenye uzoefu mkubwa. Karibu tukuhudimie – at Dar es Salaam, Tanzania
1
Pakua Fundi 247 katika App Store na Playstore kupitia
Android; goo.gl/F1WC72
iOs; goo.gl/mHybQD – at Dar es Salaam, Tanzania
Vifaa vya kielektroniki huhitaji ustadi mkubwa kurekebisha/kutengeneza, Hivyo unahitaji mafundi mahiri na wenye uwezo mkubwa kukutatulia matatizo hayo kwa uhakika. Fundi247 inakurahisishia kuwapata mafundi hawa.
Pakua Fundi247 kutoka Play Store na App Store tukuhudumie. – at Dar es Salaam, Tanzania
Close to 40 percent of employees in the sector are technical staff, driving the need for diploma holders whose training is largely tilted towards hands on job. businessdailyafrica.com/bd/e…
Fundi247 retweeted
The 15 finalists of the Virtual Africa Hackathon participated in a Dry Run today in preparation for Demo Day on August 31, 2020. @Masaratly @fundi247 @Kouranjabo @blueictsolutio1 @MIZA_2019 @ZavoraTech @SMECreditPro @guarantee_co @finaclusion @WeDARE3 @venue369
We are extremely humbled to be among 15 finalists out of 74 applicants across #Africa in 2020 @AfroAsiaFintech Virtual Hackathon. There is a lot of work ahead of us but we are ready to dig deeper and bring inclusive finance solutions to youth, #MSME and larger society. 🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Leo hii, mwanzilishi wa @fundi247 ndugu @martinwarioba alipata nafasi ya kuongea na @bbcswahili kuhusu mchango wa sekta ya ufundi stadi katika uchumi na ajira. Soko letu la @fundi247 linazidi kuwapa fursa vijana katika kujitangaza na kutafuta kazi instagram.com/tv/CCVfB3ClAGl…
Fundi247 retweeted
#Geosynthethics are synthetic products used to stabilize terrain and solve other civil engineering issues. #Geotextiles have a wide range of applications in road works, construction works, ground systems, drainage & filtration systems, hydraulic works and waste disposal.
Kupiga plasta nyumba imekua ikichukuliwa ni sana na huhitaji ustadi wa hali ya juu. Hii ni kutokana na plasta hufanya nyumba iwe na usawa katika kupaka rangi na kuongeza mvuto. Hivyo ni muhimu kupata mafundi wenye ubora na uzoefu mkubwa – at Dar es Salaam, Tanzania
1
1
Fundi247 tukishirikiana na Nabakiafrika inakutea mafundi wenye uwezo mkubwa wa kupiga plasta kwenye nyumba zetu. Wakiwa na uzoefu na mafunzo katika hilo.Pakua na Ujisajili katika Fundi247 kutoka Play Store na App Store
Android; goo.gl/F1WC72
iOs; goo.gl/mHybQD – at Dar es Salaam, Tanzania
Fundi247 retweeted
Take a look at Decra Roofing Systems' tile colours for 'Heritage'. You can find more information about the Heritage tile by visiting: nabaki.co.tz/decraroofs/heri…
#NabakiAfrika #GenuineDecra #Decra #Decraroofing #roofing #Tanzania #ujenzi #DecraHeritage
Kwanini ipate shida kupata mafundi? Pakua na kujisajili katika application ya Fundi247 inayopatikana Play Store na App Store,
Android; goo.gl/F1WC72
iOs; goo.gl/mHybQD, Kupata mafundi bora kabisa kukutatulia matatizo mbalimbali yakiufundi. – at Dar es Salaam, Tanzania
3
Vifaa vya kielektroniki huhitaji ustadi mkubwa kurekebisha/kutengeneza, Hivyo unahitaji mafundi mahiri na wenye uwezo mkubwa kukutatulia matatizo hayo kwa uhakika. Fundi247 inakurahisishia kuwapata mafundi hawa. – at Dar es Salaam, Tanzania
1
2
Pakua Fundi247 kutoka Play Store na App Store,
Android; goo.gl/F1WC72
iOs; goo.gl/mHybQD – at Dar es Salaam, Tanzania
2
Kwa matengenezo mbali ya vitu mbalimbali usisite kupakua program yetu ya @fundi247 kutoka playstore na app store, pia usisite kuwasiliana nasi kwa kutumia mitandao yakijamii,
Android, goo.gl/F1WC72
IOS, goo.gl/mHybQD – at Dar es Salaam, Tanzania
Siki iliyochapwa (Distilled vinegar) ni bidhaa bora ya kuondoa madoa sugu kwenye kichwa cha bomba lako la kuogea.
Unatakiwa kuweka siki (vinegar) kwenye mfuko na kuufunga pembezoni mwa kichwa cha bomba la kuogea na uiache kwa masaa machache
4






















