Barry Brown 05馃嚬馃嚳 retweeted
Kila nikisikiliza ngoma ya hussein machozi-kafia getto, Mwili unaishiwa nguvu, kijasho chembamba kinanitoka nashindwa kumshutua hata manzi aje getto馃槀馃槀馃槀馃槀馃槀馃槀
Barry Brown 05馃嚬馃嚳 retweeted
Wapenzi wa magari @JOBLESS_HQ inakuletea soko huria bei kama unavyoona hapo
Barry Brown 05馃嚬馃嚳 retweeted
Replying to @HakiElimu
Mabinti kurudishwa shuleni baada ya kupata mimba sio kigezo cha kufurahia na kuendelea kuwaharibu,zaidi tuwalinde wasome bila vikwazo vyovyote







