@@Magufuli unatutesa sisi mtwara
Bandari yetu haitumiki na umeamua kutuua sisi kiuchumi,,,
Nakuambia dhambi unayotufanyia sisi kamwe mungu hatokuacha salama,
Mizigo haipiti bandari ya mtwara hivi unatutaka Nini wew na ccm yako??
Gesi mmetupora na kuleta jeshi kutupiga,
Replying to @Bashiru
@Bashiru tumekuelewa vizuri Sana naona hata kudefend hoja unashindwa na hata maelezo yako yanatuambia Dolla ni mabavu
Dola sio Wananchi. Watu wakisema unatumia dola maana yake unatumia vyombo vya Dola na vyombo vya dola kwa asili yake ni vyombo kandamizi, vya mabavu dhidi ya Wananchi. Msomi wa Siasa, mwanafunzi wa Prof @IssaShivji kutamka haya ni aibu kubwa Sana. Anyways, amesema TUNACHOJUA
Tutupie Sana hii picha kwenye mitandao ya kijamii kuwa uvccm wanapokea maagizo kutoka kwa viongozi wao. Mpaka IGP sirro ajitokeze hadharani
Hakuna kitu kibaya Kama ulimbukeni
Eeeh wataweza kweli? (Aaah wapi!) kushindana nasi (Aaah wapi!) kushindana nasi ? (Aaah wapi!) Hata wakiungana? (Aaah wapi!) Matusi kututukana? (Aaah wapi!) Magufuli #BabaLao #KigwangallaBabaLao 😀#CCMChamaLao 💪🏾 #MamboMakubwa2020 #2020SwaliSana #HK
Kaka hapana kipindi kile lenu lilikuwa moja @Jpm naukaona ukiwa kibaraka kwa asilimia zote utakufa kisiasa.
Nisamee kwa kusema ukweli
Kabla ya Septemba 7, 2017 nilikuwa naamini kuwa tunaweza kupambana ndani pekee kuhami demokrasia yetu. Sikuwa sahihi. Baada ya jaribio la kumuua Tundu Lissu msimamo wangu ulibadilika kabisa. Ili tuhami demokrasia na haki za msingi juhudi za ndani na nje zinahitajika.
@@ Zitto wewe ni noma ,
$$$ Siyo kwa kulitikisa bunge kiasi hiki,
## Mpaka bunge lote linawatoka povu ha ha ha!!!!!!!
Serikali imeshikwa pabaya na mpaka waache ubabaishaji
Mzee acha mafumbo funguka bhana
Acha wakutuhumu, wakuhukumu, wasikuelewe, wakusengenye. Usiyumbe. Maoni yao siyo shida yako. Tabasamu, endelea kutenda wema, simama kwenye ukweli wako. Baki kuwa wewe halisi. Chochote watakachosema, kisikutoe njiani, kisiondoe uzuri na thamani ya kazi yako. Endelea kung’aa!
@@@JPM unachokisema mdomoni pako Leo jumapili isiwe ni kutamka bila vitendo , nakushauri fanya kweli kwani hili taifa umeligawa Sana.
Usione maaskofu wapo kimya ukadhani wanapenda sadaka na fungu la kumi linavyopungua kanisani.
Tunanataka umoja was kitaifa###
@@Magufuli nakutaka umjibu mbowe kwa vitendo kuhusu swala Zima la maridhiano na Kama hautaki jibu haraka tujue tunafanya nii####
1






