Pinned Tweet
Mnaua watu kwa maelfu, Mnateka watu na kuwapoteza. Mnaiba uchaguzi kwa nguvu..
Alafu mnasema kuna watu wanawaonea wivu kwasababu ya rasimali!!!!
Hivi mnawaona Watanzania ni wajinga?
Kwamba Mataifa ya nje ndio yaliwatuma kuiba uchaguzi ambao hamjashinda!!!!
Watu sio sisimizi mmeua lazima muwajibike.
John Heche retweeted
One month since Tanzanian activist Twaha Mwaipaya was abducted in Kenya! His whereabouts remain unknown.
Today, the High Court is expected to rule on an application seeking to summon senior security officials, including DCI Director Mohamed Amin and IG Lagat, to answer for Twaha's continued disappearance.
#FreeTwahaMwaipaya #EndAbductionsEA #EndTransnationalRepression
John Heche retweeted
The High Court in Nairobi has Summoned the Director of Criminal Investigations, Mr. Amin to appear before the court over the abduction of Tanzanian Activist Twaha Mwaipaya who was abducted in Kenya.
Where is Twaha Mwaipaya?
#FreeTwahaMwaipaya #EndAbductionsEA #PASNet
John Heche retweeted
Nani amenusa harufu ya uovu?
Ni nini kinachodhihirisha ongezeko kubwa na linaloendelea la Serikali kukopa kupitia Hati Fungani na Hati za Hazina (Treasury Bonds/Bills)? Hali hii inatueleza nini? Inatia bumbuazi! Je, uchumi wetu uko salama?
John Heche retweeted
Ni mara 100 tutawaliwe na wakoloni weupe kuliko nyinyi wakoloni weusi.
Wakoloni weupe hawakuwa na ukatili wa aina hii kwa Watanzania. Nyinyi wakolosi weusi mnatuchukia Watanzania kuliko hata Wakoloni weupe walivyotuchukia.
Kina Nyerere hawakupitoa hata robo ya mateso wanayopitia kina Lissu kwenye kudai haki. Yani wakoloni weupe walikuwa na huruma kuliko nyinyi Wakoloni weusi….
Think about that…..
Nyerere hakupitia robo ya mateso kwa Wakoloni weupe kama Lissu anayopitia kwa wakoloni weusi….
Na niwaambie tu nyie CCM, muulize binadamu yoyote nini inauma zaidi? kunyanyaswa na mtu baki au kunyanyaswa na ndugu yako wa damu?
Ukinyanyaswa na mtu baki kidogo unaelewa why anakunyanyasa ila ukinyanyaswa na ndugu yako huwa inauma mpaka kwenye maini, mateso ya ndugu yauma.
Acha hao Wakoloni wa mbali waje kututawala maana nyinyi Wakoloni wa nyumbani ni mashetani zaidi…..
MBEYA: Kauli hiyo imetolewa Novemba 20, 2026 na Jaji Mkuu, George Masaju, alipokuwa akifungua Kongamano la kuliombea Taifa.
Fuatilia zaidi jamii.app/KutawaliwaNaWakolo…
#JamiiForums #Demokrasia
John Heche retweeted
🚨‼️ *WHERE IS TWAHA MWAIPAYA?! | COURT SOLIDARITY*✊🏽🇰🇪🇹🇿
One month since Tanzanian human rights defender Twaha Mwaipaya was abducted in Kenya, his whereabouts remain unknown.
Today, the High Court is expected to rule on an application seeking to summon senior security officials, including DCI Director Mohamed Amin and DIG Lagat, to answer for Twaha's continued disappearance.
How can someone disappear in Kenya for an entire month without the authorities establishing their whereabouts?
📅 Today, Monday, 23 November 2026
🕙 10:00 AM EAT
📍 Courtroom 3, Milimani High Court, Nairobi
We call upon the media, civil society, human rights defenders and all comrades to join us in court, stand with Twaha's family and demand answers.
*KENYA CANNOT REMAIN THE ABDUCTION HUB OF EAST AFRICA!*
#FreeTwahaMwaipaya #EndAbductionsEA #EndTransnationalRepression
John Heche retweeted
Four weeks since Tanzanian activist Twaha Mwaipaya was abducted from Nairobi!! We hope some positive news will finally come out of the habeas corpus case that returns to court tomorrow.
#FreeTwahaMwaipaya
#EndAbductionsEA
John Heche retweeted
Sunday thoughts 🧠Msidanganywe 🇹🇿
Do not be deceived by mainstream media narratives coming out of Tanzania in the aftermath of October 29th. Anyone who didn’t condemn October 29th acts is part of the narrative or favored with the system…yaani, umeona watu wameuawawa na ukaona sawa tu? Unachoona kimekubaliwa kuchapishwa, favors the narrative maana how otherwise are you able to criticize the government within the country and stay safe while others disappear? Tafakari….Much of what is being reported, published, or widely circulated must be viewed with caution and critical thinking. It’s filtered to favor the one in power- yes I know this as fact.
Let’s be realistic: when media outlets and officials operate under restrictions and cannot freely speak against the self-proclaimed administration, how can you assume that everything being presented reflects the truth? Uongo tena uongo maana hakuna atayetetea wananchi na kubaki salama-hiyo wote mnajua….at least those with brain. I know this firsthand. Not everyone within the country has the freedom to speak openly, report independently, or challenge the official narrative.
So, be wise. Do not mistake media exposure for credibility, praise for public endorsement, or a carefully constructed narrative for independent truth. Kila anayewekwa au kusifiwa, yaani ameshaonekana kuwa not a threat or can be used….from sport, politics, pageants etc…watch and observe headlines🤔🤓
When you see certain individuals being portrayed, promoted, or praised across Tanzanian media, ask yourself: Who controls the narrative, and whose interests does it serve?
Think critically. Question the narrative. Do not be misled. 🇹🇿 so mnaelewa? Wenye macho waone ehhhh…
@amnesty @hrw @CIVICUSalliance @article19org @DefendDefenders @fidh_en @ICJ_org @humanrightstz @CPJAfrica @UNHumanRights @USAmbTanzania @usembassytz @UKinTanzania @GermanyTanzania @EUinTZ @FranceTanzania @CanadaTanzania @SwedeninTZ @StateDept @BBCAfrica @BBCWorld @ReutersAfrica @Reuters @AP @AJEnglish @CNN @France24_en @dwnews @VOAAfrica @TheAfricaReport @CPJAfrica @pressfreedom @_AfricanUnion @achpr_cadhp @eac_hq @SADC_News
John Heche retweeted
Huyu jamaa ni porojo tu.
Kwa miaka 19 sasa Mahakama inaongozwa na chawa wa CCM
MBEYA: Kauli hiyo imetolewa Novemba 20, 2026 na Jaji Mkuu, George Masaju, alipokuwa akifungua Kongamano la kuliombea Taifa.
Fuatilia zaidi jamii.app/KutawaliwaNaWakolo…
#JamiiForums #Demokrasia
John Heche retweeted
CJ Masaju wewe kama mkuu wa Mahakama, unapaswa kuwa sober! Kama Lissu kakata rufaa, na tayari unaonyesha KUKERWA na wakosoaji wa HUKUMU yake, je Uhuru wa Majaji wa Rufaa utakuaje katika kutoa maamuzi? CJ akishaanza kuwa Mwanasiasa basi naye hana tofauti na anaowaita wanaharakati
John Heche retweeted
Mtu kama MASAJU anatakiwa kujibiwa kwenye UPUMBAVU wake.
Asante Makamu kwa kulisemea hili, lazima WAKOLONI WEUSI wakumbushwe hatupo zama za 90 kweusi.
REPOST 200
Jaji mkuu Masaju Watanzania wa sasa sio wajinga.
Hukumu ya haki haifanyiwi kampeini wala haihitaji utetezi wako, hukumu ya haki inajitetea yenyewe.
John Heche retweeted
Watu wanakosoa mwenendo na utendaji wa mahakama sio kuhukumu, watu wanajua utaratibu na wanajua nini ni haki! CJ aache kulalamika akae kwenye bench atende haki.
Kalamu yake izungumze kuhusu haki sio mdomo kupiga kelele za amani huku anaona aibu kuizungumzia haki!
John Heche retweeted
'Tunafikiri bunduki ndiyo inaweza kulinda amani' – Warioba
bbc.in/3WHkdkm

























