KhalidChukuchuku93๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@Khalidchukuchuk) header
KhalidChukuchuku93๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@Khalidchukuchuk) profile picture

Football Correspondent , Son of Ligi Kuu โšฝ Fluidity Mildfilder (Kiungo Bamia) , @kmcfc_official MCO

Dar es Salaam, Tanzania
Joined October 2019
Photo by KhalidChukuchuku93๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@Khalidchukuchuk)Photo by KhalidChukuchuku93๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@Khalidchukuchuk)Photo by KhalidChukuchuku93๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@Khalidchukuchuk)Photo by KhalidChukuchuku93๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@Khalidchukuchuk)Photo by KhalidChukuchuku93๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@Khalidchukuchuk)Photo by KhalidChukuchuku93๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@Khalidchukuchuk)Photo by KhalidChukuchuku93๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@Khalidchukuchuk)Photo by KhalidChukuchuku93๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@Khalidchukuchuk)Photo by KhalidChukuchuku93๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@Khalidchukuchuk)Photo by KhalidChukuchuku93๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@Khalidchukuchuk)
Njia za kuongeza Thamani yako โœ๐Ÿพusiwe mtu wa kupatikana kirahisi โœ๐Ÿพjaribu kuwa busy hata kama hauko busy โœ๐ŸพUsijibu vitu kwa haraka , Tafakari โœ๐ŸพUsijali kuhusu maisha ya wengine โœ๐ŸพJifunze Kusema hapana sio kila kitu ndio โœ๐ŸพTafuta Furaha yako mwenyewe Good Morning ๐Ÿ™๐Ÿพ
42
154
5
1,008
173,090
New year , new challenges Hbd to Me
10
9
1
101
3,471
Great Interview Coach Abdihamid Moallin ( Mombasa United HC)
15
2,192
One among the best central defenders in East Africa so Far Omar Abud from Tusker . Best luck bro @AbudOmar230440
1
1
61
3,487
Yaan the real passion of Football Idi Nado hayuko timu ya Taifa ? Enh Tuko na Libase wangapi humo kwenye kikosi ? Jamani hebu tuweni Serious na mpira kuna winga Bongo anamzidi Nado kwa kipindi hichi ?
5
4
1
169
6,874
Simba sc wameanza kuwa na tabia za ubingwa , Timu inayoenda kushinda Ubingwa kuna muda unaona inafanya vitu vigumu ambayo Timu zingine haziwezi kufanya , Comeback ya kikubwa sana wanafanya Leo Tena dhidi ya Timu ilio kwenye form nzuri Namungo Fc .
10
9
1
333
13,102
Kama kuna utaratibu ambao natamani serikali yetu ujaribu kuubadilisha ni hii mfumo wa kulipa kodi miezi 3, 6, au 12 . Nchi za Wenzetu huu mfumo haupo kabisa , watu wanalipa kodi mwezi mmoja na maisha yanaendelea .
20
5
1
273
13,444
Nawaelewa sana wahuni ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†shida Sio kupoteza mechi shida hata over 0.5 imekataa kwa mwenyeji๐Ÿ™Œ๐Ÿพ๐Ÿ™Œ๐Ÿพ Wahuni siku hizi hawapendi Tena mpira Wahuni wanakuza Whatasp Channel zao kwa Odds 2 Wahuni wako tayari kumuua yoyote kwenye mkeka ili wapate kodi za magheto. Wahuni hawaelewi
3
81
4,907
KhalidChukuchuku93๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ retweeted
โ€œThere are moments in the life of a club when the greater victory is not simply proving that you are right, but protecting the game you love.โ€ Classy touch from Mombasa United FC in accepting the playoff. ๐Ÿคโšฝ Salute to Mombasa United for putting the game first. ๐Ÿ‘๐Ÿพ #FootballKE
2
4
36
810
Learn to live well with people. The world brings us together with others, and it is your duty to care for them and live in harmony with them. Good night .
2
4
13
3,019
Simba na msimu mpya wa ligi Kuu. โœ๐ŸพMechi 2 tayari washafunga mabao 4 โœ๐ŸพMechi mbili tayari washapata kadi 2 nyekundu . โœ๐ŸพMechi 2 Libase Gueye tayari kashatoa Assists 3.
7
11
1
556
11,645
Kwenye Msimu mitatu iliopita Timu ambayo ilifunga bao 1 kwenye ufunguzi wa Ligi kuu ilishuka daraja . Msimu uliopita KMC ilikuwa Timu ya kwanza kufunga bao kupitia SALIBOKO mwisho ikashuka daraja . Leo Beno Ngasa wa Dodoma amekuwa mtu wa kwanza kufunga bao ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
1
4
1
83
5,751
Iโ€™m here to confirm Iโ€™m here to confirm Iโ€™m here to confirm Nilimisi sana hii tag yangu โœ๐Ÿพ
9
6
2
215
14,819
Simba ndio walikuwa kipaombele cha kwanza kwa Seleman Mwalim , Wydad waliwaomba Simba kuweka 200,000,000 kwajili ya kumpata Gomes kwa mkopo wa Msimu Ila Simba sc wakachelewa kujibu email ya Wydad , Yanga wakaulizia kuhusu Biashara hiyo Ndani ya masaa 24 tu wakakamilisha Dili โœ๐Ÿพ.
11
1
3
50
5,876
Wananchi hapa mmepata Kocha Humble guy Hongereni.
5
8
2
371
15,358
What a Match ๐Ÿ’ช๐Ÿพ๐Ÿ’ช๐Ÿพ๐Ÿ’ช๐Ÿพ๐Ÿ’ช๐Ÿพ๐Ÿ’ช๐Ÿพ๐Ÿ’ช๐Ÿพ๐Ÿ’ช๐Ÿพ๐Ÿ’ช๐Ÿพ
1
19
2,584
Wakubwa wote wametoka Mashindano ya CAF sasa ni muda wa Mshikemshike Viwanjani ndani ya NBC . Poleni Wananchi , Simba , Azam , Singida Black stars ni muda vita yetu ya NBC Premier league.
2
4
146
5,447
Leo hesabu zimekataa tutajaribu tena next time .
Mfano : Mathematically Leo tukamla mnyama 3-0 , Tutakuwa na 11 na mechi ijayo tukumfunga Prison , 14 points then tunaanza kukimbiza mwizi Kimya Kimya mpaka mwezi 4 tutakuwa nafasi ya 7 na alama zetu 35 tuko Safe kabisa hatuchezi hata playoff . Inshaallah tukutane KMC Complex.
6
1
35
2,866
Mfano : Mathematically Leo tukamla mnyama 3-0 , Tutakuwa na 11 na mechi ijayo tukumfunga Prison , 14 points then tunaanza kukimbiza mwizi Kimya Kimya mpaka mwezi 4 tutakuwa nafasi ya 7 na alama zetu 35 tuko Safe kabisa hatuchezi hata playoff . Inshaallah tukutane KMC Complex.
10
4
3
108
8,612