Simba Sports Club (@SimbaSCTanzania) header
Simba Sports Club (@SimbaSCTanzania) profile picture

The official account of Simba Sports Club. (Follow English account - @SimbaSC_EN)

Dar es Salaam, Tanzania
Joined June 2015
Photo by Simba Sports Club (@SimbaSCTanzania)Photo by Simba Sports Club (@SimbaSCTanzania)Photo by Simba Sports Club (@SimbaSCTanzania)Photo by Simba Sports Club (@SimbaSCTanzania)Photo by Simba Sports Club (@SimbaSCTanzania)Photo by Simba Sports Club (@SimbaSCTanzania)Photo by Simba Sports Club (@SimbaSCTanzania)Photo by Simba Sports Club (@SimbaSCTanzania)Photo by Simba Sports Club (@SimbaSCTanzania)Photo by Simba Sports Club (@SimbaSCTanzania)
Msimu wa kanyaga twende mbele. Hakuna kucheka na vyura wala adui mwingine yoyote. #NguvuMoja
8
10
3
242
5,913
Mabao matatu ya mwezi Oktoba, 2026 yaliyofungwa na Elie Mpanzu. Watu waliteswa 馃 #NguvuMoja
7
14
249
7,639
Tuzo ya Mchezaji Bora wa Ligi Kuu mwezi Oktoba, 2026 inakwenda kwa Elie Mpanzu. #NguvuMoja
6
32
1
568
6,590
Mabibi na mabwana Kocha Bora wa Ligi Kuu mwezi Oktoba, 2026 ni Steven Barker. Mchezo gani wa Oktoba alikufurahisha zaidi? 馃槉 #NguvuMoja
18
43
1
907
8,285
Kazi ya kibabe imefanyika vilivyo. Muda wa mapumziko mafupi kwa makamanda wetu kabla ya kurudi Mo Simba Arena kujiandaa na michezo iliyo mbele yetu. #NguvuMoja
3
4
183
6,524
Kuna jezi halafu kuna jezi ya kimataifa ya Simba SC 馃憰馃敟 #NguvuMoja
5
24
1
789
23,651
Furaha ya Simba, moyo wa Simba na shangwe za mashabiki vilikuwa vya kipekee zaidi kutokana na uwepo wa Rais wetu wa Heshima, @moodewji! Hakika uwepo wake umeongeza ladha ya furaha na kufanya siku hii kuwa ya kukumbukwa. Furaha imekamilika! 馃 #NguvuMoja
3
8
210
7,035
Ushindi. Ushindi. Ushindi. Ushindi. Ushindi. Ushindi. Ushindi. Ushindi. Ushindi. Ushindi. Michezo wa 10, ushindi wa 10. #NguvuMoja
7
36
3
835
13,096
Mkurugenzi Mtendaji wa Jayrutty Investment, CPA Joseph Rwegasira akielezea ubunifu mkubwa ambao umefanyika katika jezi ya Ligi ya Mabingwa Afrika 2026/27. Itoshe kusema hii ni jezi bora bora bora sana 馃敟 #NguvuMoja
10
33
1
633
27,046
Ilibaki kidogoooo!!! 馃 #NguvuMoja
4
18
359
9,236
Mkutano na wanahabari umehairishwa. #NguvuMoja
10
9
2
204
9,087
Kwa Simba hii, haiishi mpaka iishe. Wanaoumia wako wapi? #NguvuMoja
3
16
373
7,797
Mabao matatu ya kibabe yaliyotupa alama tatu muhimu. #NguvuMoja
4
33
399
18,685
Semaji Ahmed Ally akizungumzia mchezo ulivyokuwa ambao umemalizika kwa kuibuka na ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Namungo FC. Kuangalia mahojiano zaidi ingia YouTube - Simba SC Tanzania. #NguvuMoja
2
10
228
8,201
Neo Maema akizungumzia mchezo ulivyokuwa ambao umemalizika kwa kuibuka na ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Namungo FC. Kuangalia mahojiano zaidi ingia YouTube - Simba SC Tanzania. #NguvuMoja
2
14
262
6,870
Nathaniel Chilambo akizungumzia namna wachezaji wamejisikia kumuona Rais wa Simba SC, Mohammed Dewji akiwepo uwanjani kuwashangilia katika mchezo wa leo. Kuangalia mahojiano zaidi ingia YouTube - Simba SC Tanzania. #NguvuMoja
1
8
118
4,667
Morice Abraham akizungumzia mchezo ulivyokuwa ambao umemalizika kwa kuibuka na ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Namungo FC. Kuangalia mahojiano zaidi ingia YouTube - Simba SC Tanzania. #NguvuMoja
9
158
5,874
Ibrahim Doumbia akizungumzia mchezo ulivyokuwa ambao umemalizika kwa kuibuka na ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Namungo FC. Kuangalia mahojiano zaidi ingia YouTube - Simba SC Tanzania. #NguvuMoja
10
169
6,592