
Lawyer, Human Rights Activists, @simbasportsclub @ManchesterUnited Fan, Buses Fun, Buses Reporter 🚌
Joined February 2020
- Tweets732K
- Following1.8K
- Followers186K
- Likes1.6M
Pinned Tweet
Suala la kuwa na afya njema unaweza kuona ni kawaida sana ila ukienda Hospital ndo utajua ukiwa na afya njema tu inatosha sana kumshukuru Mungu.
Adventure-360 retweeted
Jana CHADEMA tuliadhimisha kumbukizi ya Maombolezo ya Mashujaa wa Demokrasia na Haki katika Makao Makuu ya chama chetu
Kupitia kumbukizi hii, CHADEMA inawatambua na kuwaenzi wote waliojeruhiwa na waliopoteza maisha katika matukio ya Oktoba 29, 2025 kwa kuwatambua kama Mashujaa wa Demokrasia na Haki
Hatutawasahau. Kumbukumbu yao itaendelea kuishi mioyoni mwetu daima🕯️
Adventure-360 retweeted
A PROJECT IN PROGRESS. A VISION TAKING SHAPE. 🏗️
Kutoka kwenye mipango hadi kwenye utekelezaji, kila hatua ni sehemu ya safari ya kutengeneza kitu chenye thamani.
Hivi ndivyo @GeoConstructors @Geo_Traverse tunavyoendelea. Kazi zinaendelea, hatua zinapigwa na matokeo yanaanza kuonekana.
GEOTRAVERSE GROUP OF COMPANIES
Tunajenga kwa maono, tunatekeleza kwa utaalamu.
📍 Dodoma, Barabara ya Tisa.
📞 0719 336 667 | 0763 782 274
#GeoTraverse #GeoConstructors #ConstructionProgress
Adventure-360 retweeted
Good Morning Good people.
Msichoke kuendelea kutuamini 🙏🏼
Tupigie 0762344677 kwa mahitaji ya samaki Fresh, Watamu kutoka Mwanza kwa gharama nafuu.
Adventure-360 retweeted
Tumeanguka mara nyingi, Kuna nyakati mtu unajikuta Hadi unakata tamaa, lakini kitu hatutakiwi kupoteza ni Imani kuwa Iko siku.
Adventure-360 retweeted
Ndugu yangu @Suma_Viatu chochote kati ya hivi? Na bei yake ikoje uniletee wikiendi?
Adventure-360 retweeted
Furahia kila unapofanya manunuzi na ukachanja kwa TemboVisa Cad.
Sio tu kwa kuwa unalipa ila kumbuka kila mwezi kuna 10M kwa anayefanya malipo kwa kadi hii.
Tisha leo umalize Novemba Kibabe
#KilaMtuApateNaTemboVisaCard
Adventure-360 retweeted
Ukichanja umepata 🎁 !
Kila ukifanya malipo kwa TemboCard VISA 💳 msimu huu wa sikukuu unajiongezea nafasi kushinda Mkwanja kila wiki, kila mwezi na mwisho wa mwaka.
#kilamtuapatenatembocardvisa
#crdbbank
#tunakusikiliza
Adventure-360 retweeted
Mmeamkaje my 😘
PRESSURE COOKER SUFURIA MBILI, 6L
Tsh 120,000
📌Unapika kila kitu Kwa haraka Sana, nyama, ugali, kyuku, harage, unga mboga mboga humo, kande, n.k
0755693113
📍Duka lipo Riverside, Mikoa yote tunatuma
@Sativa255
Adventure-360 retweeted
Ukijifunza kuwa mjinga kidogo, Utajifunza mengi kuhusu watu na tabia zao bila kutumia nguvu na itakusaidia kujua namna ya kuishi na watu wenye tabia tofauti na kuepusha shari nao.
Good morning X Familia 👊🏾
Adventure-360 retweeted
Tunakimbilia Ulinzi Wako,
Mzazi Mtakatifu Wa Mungu,
Usitunyime Tukiomba Katika Shida Zetu,
Utuokoe Siku Zote Kila Tuingiapo Hatarini,
Ewe Bikira Mtukufu, Mwenye Baraka,
Amina.
Maria Mtakatifu Mama Wa Mungu, Utuombee 🙏🏿🤲🏿
Adventure-360 retweeted
19M KWENYE VIWANJA VIWILI? YES, YOU READ THAT RIGHT! 🔥
Mahoma Makulu, Dodoma @GeoConstructors tunakupa fursa ambayo hutaki kuipita kirahisi.
Viwanja namba 24 na 26, vyenye ukubwa wa 1,027 SQM na 1,100 SQM mtawalia.
Bei ni:
Kiwanja kimoja: 10M
Vyote viwili: 19M
Takribani KM 3 kutoka Mji wa Serikali.
Unachagua kimoja au unachukua vyote viwili?
📞 0719 336 667 | 0763 782 274 (WhatsApp)
GEOTRAVERSE GROUP OF COMPANIES
Ardhi Bora, Kesho Bora.
Adventure-360 retweeted
Naomba Repost Yako 🙏❤
⌚Casio Orgnal 🔥🔥🔥🔥
Tsh.60000 Tu
☎0752777167
🤌Popote Tanzania natuma
Adventure-360 retweeted
🙏Usipite kimya,nisaidie #Repost tafadhali🥰
👉 Size S,M,L,Xl,& XXL
👉Bei 25,000/=
Wa.me/+255717251747
Au 0713800448
📍Kariakoo,Tunatuma Ndani na Nje ya Nchi
Adventure-360 retweeted
Naomba Repost🙏
#VIATU BORA🔥🛍️
✅Size 40/41/42/43/44/45
✅Bei 75,000/=
Wa.me/+255717251747
Au 0713800448
📍Kariakoo
Adventure-360 retweeted
🏗️ MAKOSA 5 YA KUEPUKA KABLA YA KUANZA UJENZI!
Kabla hujaanza ujenzi wa nyumba au jengo lako, kuna mambo muhimu unayopaswa kuzingatia ili kuepuka gharama zisizopangwa, migogoro na changamoto zinazoweza kuchelewesha mradi wako.
Haya ni makosa matano unayopaswa kuyaepuka:
1️⃣ Kuanza ujenzi bila ramani sahihi: Hakikisha unapata Architectural & Structural Designs zinazoendana na mahitaji yako, matumizi ya jengo na bajeti yako.
2️⃣ Kupuuza upimaji wa eneo: Hakikisha mipaka na vipimo vya kiwanja vinajulikana kabla ya kuanza ujenzi ili kuepuka migogoro na makosa ya upangaji.
3️⃣ Kuanza ujenzi bila makadirio ya gharama (B.O.Q.): Bila makadirio sahihi, unaweza kukutana na gharama zisizotarajiwa na kusimama kwa mradi katikati.
4️⃣ Kupuuza taratibu za vibali vya ujenzi: Hakikisha unafuata taratibu za kisheria na kupata vibali vinavyohitajika kabla ya kuanza kazi.
5️⃣ Kuchagua mafundi bila kuzingatia utaalamu: Ujenzi unahitaji wataalamu wenye ujuzi na uzoefu ili kuhakikisha ubora, usalama na uimara wa jengo.
Kumbuka: Ujenzi wenye mafanikio huanza na mipango sahihi, si matumizi makubwa ya fedha.
Katika GEOTRAVERSE Group of Companies, tunakuunganisha na wataalamu wa masuala ya ardhi na ujenzi ili kukusaidia kufanya maamuzi sahihi katika kila hatua ya mradi wako.
Huduma zetu zinajumuisha:
▪️ Architectural & Structural Designs
▪️ Building Plans & Approvals
▪️ Bills of Quantities (B.O.Q.)
▪️ Land Surveying & Consultancy
▪️ Construction & Project Management
📍 Tupo Dodoma, Barabara ya Tisa.
📞 0719 336 667 | 0763 782 274 (WhatsApp)
@Geo_Traverse | @GeoConstructors
💬 SWALI KWAKO: Kati ya makosa haya matano, ni lipi unadhani watu wengi hulifanya wanapoanza ujenzi? Tuambie kwenye comments.
GEOTRAVERSE – Your One-Stop Solution for All Your Land and Construction Issues.
#GeoTraverse #GeoConstructors #ConstructionTips #UjenziTanzania #LandSurveying #Architecture #ConstructionManagement
🤖 Made with AI











































