APOLLO'S REALMS retweeted
First look at the βGHOST OF TSUSHIMAβ anime series.
Releasing in 2027 on Crunchyroll.
APOLLO'S REALMS retweeted
The S1 finale for βCREATURE COMMANDOSβ releases tomorrow.
Read our review: bit.ly/CreatureDF
APOLLO'S REALMS retweeted
Andy Muschietti says they have a 3-season plan for the βITβ prequel series βWELCOME TO DERRYβ
βThe first season is 1962, the second season is 1935, and the third season is 1908β
(Source: youtube.com/live/Tugk5mzMHqMβ¦)
APOLLO'S REALMS retweeted
Mashabiki wanavutiwa na "Dum, Dumb, na Dumber" kwenye album ya lil baby "WHAM" aliyowaahirikisha future na Young Thug.
Kurejea kwa Thugger kwenye muziki akiwa na mstari wake wa kwanza rasmi tangu kufikia makubaliano ya kesi ya YSL RICO na kuachiliwa kutoka jela After 2 yrs
APOLLO'S REALMS retweeted
Ni mara mia ukutane na Bruno mlalamishi sio huyu alieuma meno hana cha uwanja wa ugenini wala mabarafu π₯π
APOLLO'S REALMS retweeted
Today in history.
Siku kama ya leo nchini urusi majaribio ya bomu aina ya
"TSAR BOMB" linalojulikana pia kama "MFALME WA MABOMU" yalifanyika.ilikuwa silaha kubwa na yenye nguvu zaidi ya nyuklia kuwahi kufanyiwa majaribio,ikitoa mlipuko wenye nguvu zaidi kuwahi kurekodiwa duniani.
APOLLO'S REALMS retweeted
A MOTHERS LOVE.
Hadithi ya Marianne Bachmeier ni ya kusikitisha na yenye utata, iliyojaa huzuni ya binafsi na kitendo cha haki ya kujichukulia mkononi.
Marianne Bachmeier alikuwa mwanamke wa Kijerumani ambaye maisha yake yalibadilika kabisa mnamo 1981.
APOLLO'S REALMS retweeted
EGYPTIAN HISTORY
MUMMIFICATION.
Mamifikishaji(Mummification)Misri ya kale ulikuwa mchakato mgumu uliotengenezwa kwa maelfu ya miaka ili kuhifadhi mwili kwa ajili ya maisha ya baada ya kifo.Njia hii ilianza kutumika kwenye miaka ya 2600 KK.Zifuatazo ni asili na njia zilizotumika
APOLLO'S REALMS retweeted
EGYPTIAN HISTORY.
THE EGYPTIAN GODS..(MIUNGU YA MISRI)
Wamisri wa zamani ni jamii ambayo ilikuwa na desturi ya kuabudu mungu zaidi ya mmoja wakiamini kila mungu anakuwa na jukumu na sifa maalum ambazo zinamtofautisha na miungu mingine wafautao ni miungu kumi sifa na kazi zao.
APOLLO'S REALMS retweeted
Siri 6 za kuwa Mwanaume anayevutia wanawake wengi
Kama unahitaji kuwa Crush wa wanawake wengi basi ujumbe huu ni wako
Na inabidi uusome kwa umakini mkubwa kabisa
Hizi apa sifa za Mwanaume ambaye ni kivutio kwa wanawake wengi
1. Kuwa na msimamo na kujiondoa eneo ambalo haueshimiki wala kuthaminiwa.
Wanawake wanaheshimu sana mwanaume ambaye anatambua thamani yake na anailinda
2.Mwanamke akikuonyesha dharau unamfungulia milango na hauvumilii toxic and chaotic relationship
Mwanaume mwenye thamani kubwa hapati heshima kwa kumfokea mwanamke...Acha ukimya wako uzungumze
3. Acha kuangalia video za Ngono na kujichua
Kila unapoangalia video za ngono na kujichua unaharibu ufahamu wako, focus na hata ule uwezo wa asili wa kuzungumza na wanawake
4.Zingatia muonekano
Kumbuka if you look good...you will feel good na pia utavutia vitu vizuri kwako
Nyoa kila baada ya wiki mbili, Tengeneza ndevu na uwe mtanashati
5. Ukimtoa mwanamke lipia bill usiweke argument
Simama kama mwanaume, wanawake wengi wanavutiwa na wanaume ambao ni viongozi
6. Fanya mazoezi na hakikisha unakula kiafya
Unapokuwa na mwili mzuri unakuwa na confidence kubwa na hata approach yako kwa wanawake inakuwa nzuri...Hii inakuongezea mvuto zaidi kwa wanawake



































