Simlaumu huyo unayemwita mzalendo. Nakulaumu wewe unaejinasibu kama mwandishi wa habari na hii page yako kama media ila wewe ni chawa wa CCM.
Mzalendo @alphanga ameitaka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuacha kile alichokiita propaganda za kisiasa, akidai chama hicho kimekuwa kikisambaza taarifa zinazohusu masuala mbalimbali na baadaye kutoa matamko ya kulalamikia taarifa hizo.
Kupitia ujumbe wake, Muyinga amesema kuna hali ya taarifa zinazodaiwa kuandaliwa na kusambazwa na watu wa chama hicho, kisha baadaye kurejea kutoa taarifa za kusikitishwa na mambo yanayozungumziwa.
Amesisitiza kuwa masuala yanayohusu Mahakama yanapaswa kuachwa yashughulikiwe kwa kufuata sheria, ushahidi na taratibu za kisheria badala ya kuhusishwa na mihemko, kelele au mashinikizo ya kisiasa.
Aidha, amesema Watanzania wana uwezo wa kufuatilia yanayoendelea na kutambua ukweli, akieleza kuwa ukweli hauhitaji kupikwa wala kulazimishwa ili ukubalike.
#KitengeUpdates
Awesi Ally Mkubwa retweeted
🔴 TODAY at @UNGeneva:
• fourth Universal Periodic Review of the United Republic of #Tanzania
Watch this #UPR53 meeting here⤵️
webtv.un.org/en/asset/k13/k1…
Awesi Ally Mkubwa retweeted
As an American constitutional lawyer, I have personally litigated cases defending the rights to free expression and due process. These are fundamental principles of human liberty. For that reason, I am closely following the outcome of Tundu Lissu’s trial proceedings, and the broader implications for the rule of law.
Awesi Ally Mkubwa retweeted
Kwenye hio katiba mpya wakuu wa mikoa na wilaya wawe wanapigiwa kura na wananchi sio wanateuliwa tu na rais.
Kwenye hio katiba mpya wakuu wa mikoa na wilaya wawe wanapigiwa kura na wananchi sio wanateuliwa tu na rais.
Fanya hivi kwa interest ya upinzani labda ujinasibishe na Uchadema kama mwezi utaisha bado unatamba mtaani.
I just took part in the biggest campaign for human rights @amnesty #W4R26 Join me!. join.amnesty.org/page/200089…
Awesi Ally Mkubwa retweeted
Tanzania: Former Ambassador Humphrey Polepole Abducted and Disappeared From His Home
Former ambassador Humphrey Polepole was abducted at his home in Dar es Salaam on 6 October 2025.
He has not been seen since. Humphrey appears to have been targeted because of his criticism of the president and ruling party for restrictions on civic space, the crackdown on human rights and attacks on opposition members. His family miss him dearly and need answers.
No one should be disappeared for criticizing the government.
Join us in calling on the Tanzanian authorities to immediately disclose Humphrey’s fate and whereabouts.
Sign the petition: join.amnesty.org/page/200089…
LEARN MORE ABOUT WRITE FOR RIGHTS : amnesty.org/en/get-involved/…
#Write4Rights #W4R26 ✍️📨
Kenya suala la kumwita IG kwa court lilichukua siku moja tu ila Malawi ilipangwa karibu week naa ili apelekewe wito na kuangalia kama atakubali kuja au la. Mwisho wa siku hakuitikia wito na jaji hakusema lolote.
Jamani munaona umuhimu wa katiba imara?
Wanacha na viongozi wa Chadema wengi wanashitakiwa na kesi ngumu sana kama ugaidi na uhaini.
Nchi inapitia nyakati ngumu sana hii😥
Awesi Ally Mkubwa retweeted
TZ activist: IG Kanja quizzed
IG Kanja in court over Twaha Mwaipaya’s disappearance
Kanja denies police involvement in alleged abduction
Kanja: Probe underway to establish Mwaipaya’s whereabouts
Activist reportedly abducted by hooded men in Kamulu
#CitizenExplainer
Awesi Ally Mkubwa retweeted
"Twaha Mwaipaya has mobilized for democracy, justice, human rights, civic freedoms and accountability in #Tanzania, and has denounced government repression ... On 25 October 2026, unidentified individuals ... abducted him."
fidh.org/en/issues/human-rig… @fidh_en
Awesi Ally Mkubwa retweeted
Yesterday, we moved the court to require the Inspector General of Police to appear in person and account for the disappearance of Tanzanian activist Twaha Salim Mwaipaya.
The court granted our application, and today, the IG appeared before the court.
While he denied that Twaha was in police custody, that cannot be the end of the matter.
We must establish Twaha’s whereabouts, ensure his safety and hold those responsible accountable.
We will not relent in the pursuit of truth and justice. Aluta continua! The struggle continues.
Tunalakukifunza kutoka kwa majirani Kenya. IG Napandishwa kizimbani kuulizwa maswali na mawakili are you aware na utekajinyara nchini?
Kuna ndugu yangu ambae ni mwanchama wa ACT wazalendo juzi aliniambia uchaguzi ujao ACT watashinda tu kwanza Mwinyi anaonekana mwenye busara.
Sija comment chochote ili kulinda maoni yake
Ngoja nibeti. Tutapata matokeo mabovu
The human rights record of the United Republic of #Tanzania will be considered by the @UN Human Rights Council’s Universal Periodic Review Working Group for the 4th time.
🗓️Thursday 5 November 2026
🕝14:30–12:30 (GMT+1)
💻webtv.un.org/en/asset/k13/k1…
ℹ️ohchr.org/en/press-releases/…
#UPR53












