“KAMA UNASOMA UJUMBE HUU, INA MAANA UKO HAI,HIYO NI ISHARA TOSHA KUWA MUNGU ANA MAKUSUDI NA WEWE.
ANAYEKUPINGA SIYE ALIYEKUUMBA, BALI MUNGU PEKE YAKE NDIYE ANAYEJUA HATIMA YAKO.
MUAMINI MUNGU NA WEKA TUMAINI LAKO KWAKE TU
ATAKUPA HEKIMA YA JINSI YA KUVUKA MTO ULIO MBELE YAKO.”
“IMANI YAKO IKIWA MOYONI,MIDOMO YAKO IKATAMKA ILE IMANI,UTAONA MATUNDA YAKE,WALIO WENGI MOYO UNA IMANI,MIDOMO INA MASHAKA,INATAKIWA KWA MOYO UAMINI NA KWA KINYWA UKIRI,IMANI INATAKA MAZOEZI,UKIONA UMESHINDWA MAHALI,HUO SIO MWISHO,JARIBU TENA”
NITUMIE FURSA HII KUWASHUKURU KWA MAOMBI YENU NA USHAURI WAKATI MAHUBIRI TV ILIPOKUWA IMEDUKULIWA,NINAPENDA KUMSHUKURU MUNGU KUWA SASA IMERUDI MIKONONI MWETU NA MAHUBIRI YATAENDELEA KWA CHANEL ZOTE MBILI. “MAHUBIRI TV” NA “MAHUBIRI TV2”. MUNGU AWABARIKI
TUKIMFANYA KRISTO KUWA RAFIKI YETU WA KILA SIKU, TUTAHISI KUWA NGUVU ZA ULIMWENGU USIOONEKANA ZIKO KARIBU NASI; NA KWA KUMTAZAMA YESU TUTAFANANA NA MFANO WAKE.
“Siku ubongo wako uta ondoa dhana ya kutegemea mtu au watu katika maendeleo yako,ukiamini kwamba hatima yako inakutegemea wewe,ukiamini kwamba Mungu ame kuumba na uwezo ndani yako ,huo ndio mwanzo safari yako ya kufanikiwa”
Mungu anatuchukulia kama watoto wake. Ametuokoa kutoka katika ulimwengu usiojali na ametuchagua kuwa washiriki wa familia ya kifalme, wana na binti wa Mfalme wa mbinguni. **Christ's Object Lessons**, uk. 142.
“KIJANA USIOGOPE KUOA AU KUOLEWA,OGOPA KUOA AU KUOLEWA NA MTU ASIYE SAHIHI KWAKO,USITAFUTE MTU MKAMILIFU,BALI TAFUTA AMBAYE YUKO TAYARI KUBADILIKA PAMOJA NA WEWE KUELEKEA UBORA. OMBA SANA HEKIMA YA MUNGU KABLA KUINGIA KWENYE NDOA”
Mungu hatuachi kwa sababu ya dhambi zetu. Tunaweza kufanya makosa na kumhuzunisha Roho Wake, lakini tunapotubu na kumjia Yeye kwa mioyo iliyo na toba, HATATUKATAA.
Imani na Matendo, uk. 27
Kut 22:22-24Usimtese mjane ye yote aliyefiwa na mumewe, wala mtoto yatima.Ukiwatesa watu hao katika neno lo lote, nao wakanililia ., hakika . nitasikia kilio chao,na hasira yangu itawaka moto, nami nitawaua ninyi kwa upanga; na wake wenu watakuwa wajane, na watoto wenu mayatima.
“IPO SIKU MUNGU ATAFIMBUA MACHO YAKO, NDIPO UTAGUNDUA KUNA MAOMBI AMBAYO MUNGU HAKUJIBU KWA VILE ANAKUPENDA. ANGEKUJIBU YANGELETA MADHARA KWAKO,KUNA WAKATI UJINGA WETU NA MIHEMKO INA TUFANYA TUOMBE VIBAYA,SHUKURU KWA KILA JAMBO”
Here is the translation to Swahili:
Wale wanaomwamini Kristo kama Mchukua Dhambi, upatanisho kwa ajili ya dhambi zao, mwombezi kwa niaba yao, wanaweza kupitia utajiri wa Neema ya Mungu kudai hazina za mbinguni.
“ MAOMBI NI NJIA PEKEE YA KUUNGANISHA MBINGU NA DUNIA ILI KULETA MATOKEO MEMA,OMBA KWA USAHIHI,BILA NIA OVU ,(YAANI KIBURI,DHARAU NA KUJIONESHA KUWA BORA KULIKO WENGINE). AMINI MUNGU ANAKUPENDA (agape- upendo usio na masharti),AMINI ATAKUPA KILICHO SAHIHI,WEWE NI MTOTO WAKE”




