Pinned Tweet
Mwandishi: Wewe unataka kufanya na kuongeza biashara na Russia sasa mnawezaje kuvuka vikwazo (Russia imeekewa vikwazo).
Rais: Tanzania hatupo kwenye vikwazo. Vikwazo ni vya Russia lakini sio Tanzania na huyo Russia vipo kwnye baadhi ya vitu kama mafuta yake lakini mafuta Tanzania haitegemei uagizaji wa mafuta Russia.
N:B
Jibu la swali " unaitwa nani?" sio mda wote
"Naitwa fulani" mwengine anaweza kwambia "najuulikan kama fulani" au unaweza niita fulani.
Nilichogundua kumbe huwa mnamfatilia kwa ukaribu sana mama kila hatua na kila analoongea mnafanya kazi nzuri sana.😆
BARADHULI retweeted
Yule Dada Karikoo ambae alionekana kwenye Gorofa lililo ungua Moto karikooo Kajiachia ili chini watu wamdake ila kapitiliza mpaka kwenye lami maskini inaumiza sana.
F1. F2.
Yule Dada Karikoo ambae alionekana kwenye Gorofa lililo ungua Moto karikooo Kajiachia ili chini watu wamdake ila kapitiliza mpaka kwenye lami maskini inaumiza sana.
F1. F2.
BARADHULI retweeted
Je biblia inasemaje kuhusu maajenti wa kuzimu na sifa zao?
Maajenti wa kuzimu," wanaotumiwa na shetani au nguvu za giza kuharibu, kudanganya, nakupoteza wanadamu. Watu hawa wanaitwamajina mbalimbali kama vile manabii wa uongo,walimu wa uongo, wapinga Kristo, wana wa yulemwovu,👇

Watu kama hao ni mitume wa uongo, watendaji wadanganyifu, wanaojigeuza wawe mfano wamitume wa Kristo. Wala si ajabu maana Shetani mwenyewe hujigeuza awe mfano wa malaika wa nuru. Ukisoma –2 Wakorintho 11:13-14 Hufundisha Mafundisho ya Uongo (Uasi) Wanapotosha kweli ya neno la
BARADHULI retweeted
Kaka mtu mwenyewe hana uchungu na ndugu yake coz anajua CHIBA aliyataka mwenywe ndio maana anakwambia tusubiri mahakama iamue, alafu wanaharakati wanakwambia muandamane mkamtoe CHIBA hii ni maajabu
Ene Weii Huku Ni Kifo Tu😂

Pole sana @AbroadTanzania shida mlikubali kumkabidhi chama Lissu mtu ambaye anaongozwa na wanaharakati (Mange).
Pole sana @AbroadTanzania shida mlikubali kumkabidhi chama Lissu mtu ambaye anaongozwa na wanaharakati (Mange).
BARADHULI retweeted
Nilitaka Nishangae.....
Huyu jamaa hawezi susia msosi, We check tu lile tumbo lake utajua ni mtu wa aina gani.😂🫵
#BREAKING: LISSU ASITISHA MGOMO WA KULA BAADA YA KUKUTANA NA NDUGU YAKE NDANI YA GEREZA
Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, amesitisha mgomo wa kula aliouanza Jumanne baada ya kuruhusiwa kukutana faraghani na mdogo wake, wakili wake mkuu Rugemeleza Nshala amethibitisha.
Awali, taarifa zilizotolewa Jumamosi zilieleza kuwa Lissu alikusudia kuanza mgomo huo Jumatatu akipinga vizuizi vya mashauriano ya siri na mawakili wake.
Hata hivyo, aliahirisha hatua hiyo baada ya kuahidiwa kupata fursa ya kukutana nao. Baada ya ahadi hiyo kutotekelezwa, Lissu alianza kugoma kula Jumanne asubuhi.
Akizungumza na shirika la habari la The Associated Press, Nshala alisema tayari Lissu alikuwa amekataa , kifungua kinywa na chakula cha mchana kabla ya kuhitimisha mgomo huo baada ya mkutano wa kifamilia.
Lissu, ambaye alinusurika jaribio la mauaji mwaka 2017 kwa kupigwa risasi mara 16 na baadaye kuishi uhamishoni kutokana na vitisho vya usalama, anakabiliwa na kesi ya uhaini inayoweza kumpelekea hukumu ya kifo.
Amekuwa mahabusu kwa zaidi ya miezi 18, huku hukumu ya mwisho ikitarajiwa kutolewa Novemba 6.