Tate !Gawaxab (@Barongo01) header
Tate !Gawaxab (@Barongo01) profile picture

I drink and I know things

Casterly Rock
Joined March 2014
Photo by Tate !Gawaxab (@Barongo01)Photo by Tate !Gawaxab (@Barongo01)Photo by Tate !Gawaxab (@Barongo01)Photo by Tate !Gawaxab (@Barongo01)Photo by Tate !Gawaxab (@Barongo01)Photo by Tate !Gawaxab (@Barongo01)Photo by Tate !Gawaxab (@Barongo01)
“Everybody gonna respect the shooter but the one in front of the gun lives forever”
4
50
188
5,975
Tate !Gawaxab retweeted
A Tanzanian court has jailed opposition leader Tundu Lissu for four years on a charge of incitement. But the three-judge panel in Dar-es-Salaam dismissed a charge of treason that carried the threat of a death sentence. 🔗 : aje.news/dfoacy
6
92
8
273
32,494
Tate !Gawaxab retweeted
10
284
8
670
22,782
Tate !Gawaxab retweeted
TAL once said...
1
3
132
Tate !Gawaxab retweeted
TANZANIA COURT SENTENCES OPPOSITION LEADER LISSU TO FOUR YEARS IN JAIL FOR INCITEMENT
3
67
7
184
8,047
Tate !Gawaxab retweeted
Tafrija delayed is not Tafrija denied. Tutakuwepo 👊🏿
Mungu ajaalie tuwe na tafrija jioni 🙏🏿
2
28
85
915
Hayo maridhiano wakaridhiane na NLD kmmk
4
13
113
2,625
4 years for the first time offense is way UNFAIR. I hope he appeals and win.
1
10
41
1,445
Tate !Gawaxab retweeted
Tumshukuru Mungu sana kwa maisha ya Tundu Lissu. Mwaka na miezi nane iliyopita umekuwa wa kujitoa mhanga kwa ajili ya nchi yetu. What a Man!!
22
290
3
1,415
16,555
Senior counsel Tundu Antiphas Mughwai Lissu #TweetLikeTitoMagoti
His name is Tundu Lissu ✌️
11
31
1,149
Mh!
Mahakama; Kwa mujibu wa kifungu cha 319, Mahakama imejidhirisha amefanya kosa dogo la uchochezi kwa mujibu wa kifungu cha 390 cha Kanuni za Adhabu hivyo Mahakama inamtia hatiani kwa kosa la UCHOCHEZI.
2
2
1,026
Tunaenda kwenye cashless economy na watu wanazima mitandao. Akili hatuna.
Kuongoza nchi ambayo watu wake hawajali raha sana, kuna mtu kavaa suti yake kafika kazini cha kwanza kazima switch ya mtandao na hakuna mtu anaehoji😂😂
7
21
2
93
5,861
Tf is kosa dogo?
13
701
Tate !Gawaxab retweeted
Mahakama : Tumeona kwamba upande wa Mashtaka wameshindwa kuthibitisha Nia ya mshtakiwa katika kosa la UHAINI.
8
61
13
353
15,690
Mahakama: Hoja kwamba kauli hizo zilipandishwa kwenye Jambo Tv halitoshi kufanya mshtakiwa awe na Criminal Liability.
2
3
1
27
1,713
Tate !Gawaxab retweeted
Mahakama: Kwa kuzingatia ushahidi wa Mashahidi Na. 1, 2 na 16, hatujaona ushahidi wa moja kwa moja unaothibitisha kuwa mshtakiwa alikuwa na nia ya kuitishia Serikali.
6
28
1
216
7,868
Tate !Gawaxab retweeted
"Tumeangalia kauli zilizotolewa na mshtakiwa. Tumeona hakuna ushahidi wa moja kwa moja kuwa alilenga kuitishia serikali. Tumeangalia tafsiri ya shahidi wa 1, 2 & 16 tumeona ni nadharia, haziwezi kuthibitisha kuwa mshtakiwa alilenga kuitishia serikali." - Mahamama Kuu 6.11.'26
38
204
10
886
47,606
Tate !Gawaxab retweeted
Hoja ya pili, kwamba Lissu alitengeneza 'nia ya kuzuia uchaguzi kwa lengo ya kuitisha serikali' - imepigwa chini. It goes without saying that this flickering case was dead on arrival.
15
99
1
565
13,339
Kesi imeisha. Alhamdulillah 🙏🏽
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 496 Upande wa mashtaka walieleza kuwa kauli ya mshtakiwa inatakuwa itazamwe katika muktadha mzima kuwa aliitishia serikali na kuwa mshtakiwa alikuwa na lengo la kuitisha serikali regardless kama serikali ilitishika au la! Ushahidi wa upande wa utetezi mshtakiwa alisema maneno hayo lazima yapimwe katika muktadha wa kisiasa na lengo kwa kauli hiyo ilikuwa ni kueleza msimamo wa kisiasa wa Chadema na lengo lake halikuwa kuitishia Serikali, mtazamo huu ulingwa mkono na shahidi wa 2,3,4 na 5 kuwa kauli ya No reforms, No election ililenga kueleza ushawishi wa kisiasa. Upande wa utetezi ulisema neno uasi lazima nilitazamwe katika muktadha wa kisiasa na kauli hiyo haikuwa na lengo la kuitishia Serikali au kuchochea vurugu. Mshtakiwa alieleza kuwa upande wa mashtaka walipaswa kuthibitisha nia hiyo kuwa mshtakiwa alilenga kuitishia serikali na sio hisia tu. Mshtakiwa alieleza kuwa upande wa mashtaka walishindwa kuthibitisha Kwa ushahidi uliotolewa kuna mambo ambayo hayabishaniwi, kwanza Chadema imekuwa inatetea mabadiliko ya kikatiba, na mfumo wa uchaguzi na msimamo wa No reforms, No election, kupitia mkutano huo wa 3/4/2025 mshtakiwa alitoa hayo maneno mbele ya viongozi wenzake, wanachama, watia nia na waandishi wa habari na mkutano huo ulirushwa live. Upande wa utetezi wamemaintain kuwa kauli hiyo ni ya kisiasa ililenga umma to boycott uchaguzi na sio kuitishia serikali. Tumeangalia kauli zilizotolewa na mshtakiwa na tumeona kuwa hakuna ushahidi wa moja kwa moja hatujaona kuwa mshtakiwa alilenga kuitishia Serikali, tumeangalia tafsiri ya shahidi wa 1,2 na 16 tumeona ni assumption haziwezi kuthibitisha kuwa mshtakiwa alilenga kuitishia Serikali. Tumeona kwamba ushahidi uliotolewa na mashtaka una fall short kuthibitisha shitaka la uhaini hivyo katika kiini hiki cha pili tunaona ushahidi haujakidhi kuonyesha nia ya uhaini. Kwa mujibu wa kifungu cha 39(2)(d) kuna vitu vitatu ikiwemo factuai issues, mahakama lazima iangalie ushahidi kujiridhisha na tatu ni ushahidi uoi umetolewa. Mahakama inaona kwamba tafsiri ya maneno ya Lissu bila tangible evidence tumeongozwa na kanuni kwamba nia (mens rea) ni internal state of mind lazima liambatane na ushahidi wa kimazingira na vitendo vya kufanya uhaini. Nia ovu siku zote inakuwa inferred kutoka kwa maneno na matendo ya mshtakiwa. Part 497 itaendelea kwenye post inayofuata. Naomba Repost yako.
4
24
3,323
Tate !Gawaxab retweeted
Godspeed SC TAL....Mungu alie muamuzi wa haki asimame na wewe
All the best champ💪🏽
2
10
63
1,452