Ni vema kuendeleza mema yote ya mwezi wa Ramadhan hata baada ya mfungo kumalizika. EID Mubarak waislamu na Watanzania wote kwa ujumla .
Ushindi wa Dkt. Magufuli ni kielelezo cha kuendelea kuimarika kwa mifumo ya kidemokrasia ndani ya CCM. #UmojaNiUshindi
Nampongeza ndugu John Magufuri kwa kuaminiwa na wana CCM kupeperusha bendera ya Chama kwenye uchaguzi mkuu (1/2)
Nawashukuru wote waliotuunga mkono, nakishukuru chama changu kwa kuniamini na nitamuunga mkono yeyote atakayepitishwa.
Chama chetu kimejengwa katika misingi ya udugu na haki. Umoja ni ushindi. Kidumu Chama cha Mapinduzi!
siasa hizi ni za hovyo kwani hazitajenga Taifa letu. Naomba msihadaike na watu wanaotaka kututia doa baada ya kukosa uchafu dhidi yetu (2/2)
Tunapomtafuta mgombea atakayepeperusha bendera ya CCM tufikiri aina ya Tanzania tunayotaka kuijenga kwa manufaa ya vizazi vya leo na vijavyo
katika Ofisi za Makao Makuu ya CCM, baada ya kupata wadhamini ambapo niliambatana na Mke wangu Dorcas Membe.(2/2)
Mapema leo nimekabidhi fomu za kuomba kugombea Urais kwa Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara, Rajabu Luhavi (1/2)
Maelezo Kuhusu Fedha za Deni la Libya
Read: tl.gd/n_1smskb2
wa msikiti huo uliojengwa kwa ufadhili wa aliyekuwa Kiongozi wa Libya, marehemu Muammar Gaddafi.(2/2)
Jana nilialikwa na waumini wa Msikiti wa Gaddafi mkoani Dodoma, ambapo waliniita kunishukuru kutokana na jitihada zangu kwenye ujenzi (1/2)
Jana nilialikwa na waumini wa Msikiti wa Gaddafi mkoani Dodoma, ili kunishukuru kwa jitihada zangu kwenye ujenzi wa msikiti huo (1/2)
Amani na umoja wetu ni vya thamani sana, tumuombe Mungu atulinde ili tuendelee kuwa wamoja. Nawatakia Jumapili njema.
Asanteni sana wana CCM na wananchi wa Kigoma kwa kunipokea na kunidhamini jana.Mungu azidi kuwabariki sana.











