TANZANIA BUSES NATION retweeted
Oya hapo kesho wazee, Simu ziite kama una Ndugu, Rafiki mpe namba tumalize mchongo 馃馃徎 MWANZA-IFAKARA
TANZANIA BUSES NATION retweeted
Wafanyabiashara wa Mabus wameona waache kuwafurahisha Wenye Vituo vya mafuta
Wanajenga vya kwao kwa spidi sana
Oya hapo kesho wazee, Simu ziite kama una Ndugu, Rafiki mpe namba tumalize mchongo 馃馃徎 MWANZA-IFAKARA
Wafanyabiashara wa Mabus wameona waache kuwafurahisha Wenye Vituo vya mafuta
Wanajenga vya kwao kwa spidi sana
TANZANIA BUSES NATION retweeted
Kama una nauli pungufu iliyopangwa na Latra lakini unahitaji kusafiri kuelekea haya Mwanza, Moshi au Dar-es-Salaam usisite kunipigia.
Kwa 70k tu utatoka Dar-es-Salaam mpaka Mwanza.
TANZANIA BUSES NATION retweeted
#LoliondoCoach
Higer PF4
TANZANIA BUSES NATION retweeted
Replying to @TBoundBuses
Sadiq line sio muwekezaji mpya miaka ya 90 mpaka 2005 aliteka sana route za kutokea Moro kwenda kaskazini na dar Moro, uliza wanazi wa Moro
TANZANIA BUSES NATION retweeted
#IjukaLuxuryCoach
New Fleet 馃敟馃敟
TANZANIA BUSES NATION retweeted
Kenya(Sirari) || Zambia (Nakonde)
#JohanviaExpress
TANZANIA BUSES NATION retweeted
#IjukaLuxuryCoach
Karibuni mjipatie tiketi
0756084459 / 0621877523
TANZANIA BUSES NATION retweeted
Replying to @TBoundBuses
Tunduma iringa 450
Iringa dodoma 260
Dodoma singida 250
Singida nzega 221
Nzega shinyanga 79
Shinyanga mwigumbi 37
Mwigumbi lamadi 171
Lamadi sirari 152
Mamaeee 馃檶馃檶馃檶
Hii @alute_s87 tunabonda na kunyonga.
TANZANIA BUSES NATION retweeted
Oya hizi sifa sasa 馃敟馃敟
Tunduma || Sirari
Maana halisi ya BodaBoda
#JohanviaExpress
TANZANIA BUSES NATION retweeted
Uwekezaji kwenye mabasi umekuwa mwepesi sana au?
Wakurugenzi wapya wamechafukwa, wanaanza na unit za kutosha sana.
#SaddiqLine
TANZANIA BUSES NATION retweeted
Review ya Gari ya Asante Rabi.
Jana nilipanga Asante Rabi kutoka Dar kwenda Moshi
Gari: T 176 EPX.
Muda: 08:00PM.
1. Swala la huduma kwa Wateja
Asante Rabi wanajitahidi sana ktk Huduma kwa wateja. Nilipokea simu 3 muda tofauti wakinikumbusha muda wa kuondoka.
Mwanzo nilipanga kipangia Gari Mbezi JPM. Nikabadili kwenda Kibo, Tegeta. Walifanya Followup kama nimefika Tegeta. Kwangu naona ni Huduma nzuri sana.
































