“I never quite understood why we have to let religion and politics and things like that stand in the way of just being good human beings.”
Dolly Parton 2022 Carnegie Medal of Philanthropy Award Recipient
Nawatakia ushindi wa kishindo viongozi wote wanaogombea nafasi mbalimbali kupitia CCM akiwemo mkuu wetu wa nchi JPM.
1
Karibu sana mtanzania mwenzangu Tundu Lissu. Nina furaha umepona na kurudi katika majukumu yako ya kulijenga taifa.
Nikutakie afya na maisha mema. Karibu nyumbani na Pole Sana Kwa yaliokukuta!
2
Replying to @DocFaustine
@DocFaustine hongera Sana brother. Tunakutakia mafanikio ktk hatua zilizobaki.








