Celestine Simba retweeted
Mahakama za Tanganyika si chochote mbele ya Polisi na Serikali, Amri ya Mahakama inavunjwa na hakuna chochote kinachoweza kufanyika.
Mahakama imefungwa mikono, imeng'olewa meno, HAKI imekuwa bidhaa adimu kuliko wakati mwingine wowote.
Ila msiogope, TUTASHINDA馃搶
Celestine Simba retweeted
Mwenyekiti wetu Tundu Lissu amezishinda risasi 32 za ccm na dola..
Walitaka kumuua mwaka 2017 wakashindwa.
Wamejaribu kumnyonga kwa kesi ya uhaini wa uongo wameshindwa.
Wamemfunga kwa uchochezi wa uongo.
Makaburu hawakuwahi kumpiga risasi Mandela wala kumuondolea ubunge wake.
Wamlimfunga tu kwa mda mrefu na baadae alitoka.
Historia ya Mwenyekiti Lissu itaandikwa kwa wino wa dhahabu, sio Raila wala Mandela amefanyiwa unyama na serikali kama ambao Mwenyekiti Lissu amefanyiwa na anaendelea kufanyiwa.
Tutashinda na tutavuka.
Celestine Simba retweeted
"Haiwezekani kutangaza nia ya kuanzisha Tume ya maridhiano na upatanishi huku huku mkono mmoja ukitoa mwaliko wa mazungumzo ya ulaghai na mkono mwingine umeshika panga kali kwa kuendelea kuwakamata viongozi na wanachama wa vyama vya upinzani na kushtakiwa kwa tuhuma za uongo tunazozipinga vikali za uhaini na ugaidi. " Mhe. @HecheJohn
Celestine Simba retweeted
My brother 馃憡馃徑 @HecheJohn
Hujawahi ku disappoint wapenda haki! Umesimama imara pamoja na changamoto zote na VITISHO! You have done nothing but shown us what COURAGE looks like! Tunakutambua and we appreciate you!
鈥淐ourage is not the absence of fear, but rather the assessment that something else is more important than fear."
Ujasiri si kutokuwa na hofu, bali ni kutambua kuwa kuna jambo lingine muhimu zaidi kuliko hofu.
Mungu akubariki na kukulinda sana kaka!
#FreeTunduLissu #TutaelewanaTu
Celestine Simba retweeted
Alivyokuwa hawaongelei walikuwa wanamsifia kweli kweli, kawasema kidogo tu hawamtaki tena nchini馃榿
Tumia dakika zako tisa kusikiliza nondo za shemeji yetu #BongoZozo
Celestine Simba retweeted
Rais wa @TanganyikaLaw Wakili Boniface Mwabukusi amesema ukweli, haki na uwajibikaji ni misingi muhimu ya kurejesha ustawi wa taifa, akisisitiza kuwa maridhiano ya kweli hayawezi kujengwa kwa kufunika maovu, bali kwa kukubali ukweli na kuwajibika pale makosa yanapotokea.
Celestine Simba retweeted
鈥硷笍JAJI MKUU WA 馃嚬馃嚳 MASAJU AMEPANGA KUWAPA UWAKILI MAOFISA WA POLISI NA KADA WA CCM鈥硷笍
Jaji Mkuu wa Tanzania, George Masaju amepanga kuwapa Uwakili vibaraka na chawa wa Nduli Idd Amin Mama kama mnavoona kwenye hii list niliyoweka hapa chini.
Watu hao ni pamoja na Kada wa CCM Ally Hapi na wengine ni maofisa wa Polisi mmoja anaitwa Ahmad Makele na mwingine ni Paul Ngonyani hawa ni miongoni mwa maPolisi walioshiriki kuuwa Watanganyika siku ya Oktoba 29, 2025.
Hawa wote kwenye list hii hawajawai hata kuthubutu kukanyaga geti la Law school maana wanajua hawana uwezo wa kufaulu sasa Jaji Mkuu Masaju kwa kutumia mamlaka yake na uchawa uliomjaa, anakusudia kuwapa hawa watu Uwakili ili kumfurahisha Nduli Idd Amin Mama.
Ikumbukwe ni juzi tu Jaji Mkuu akiwa kwenye mkutano na Viongozi wa dini aliongea utumbo kuhusu Hukumu ya Mhe. Lissu kwamba hatutakiwi kuhoji wala kujadili Hukumu hiyo licha ya kwamba hata yeye anajua ni Hukumu ya hovyo kuwahi kutokea katika historia ya nchi yetu, huu ni mwendelezo wa mambo ya hovyo ambayo yanafanywa na Jaji Mkuu ili kumfurahisha Nduli Idd Amin Mama.
Nchi yetu imekuwa ya hovyo sana maana kwasasa Tanzania hakuna Serikali, hakuna Bunge na Hakuna Mahakama so tunatakiwa kupambana sana tuikomboe nchi yetu kutoka kwenye mikono ya wauaji.
Celestine Simba retweeted
AMKENI!
@Africa_In_EN imechapisha madudu ya kimama na kumwanika Ndejembi
Urafiki wake na Abdul iko on record
Lakini pia alifunguliwa kesi Uingereza na anadaiwa faini na hadi leo hajalipa!
Ndo nawaambia hawa TISS ya Mombo ni 馃毊 - Makamu wa Rais mzima ameacha vimeo huko UK! Na tungejua huyo faini alifanya kosa gani!
Alagu tusikie mnasema eti Lissu hafai kuwa makamu kwa sababu eti kahukumiwa! Kama kujiuzulu aanze Sifuri Tatu!
Tafsiri:
Nyaraka rasmi za Uingereza zilizoonwa na *Africa Intelligence* zinataja hukumu mbili za mahakama ya madai dhidi yake, zilizotolewa mwaka 2021 na 2022, zikimtaka kulipa faini za pauni 3,140 na pauni 4,085.
Nyaraka hizo hazibainishi sababu za faini hizo, lakini kiasi hicho cha fedha kilikuwa bado hakijalipwa kufikia Septemba 2026. Msemaji wa ofisi ya Makamu wa Rais wa Tanzania hakujibu ombi la *Africa Intelligence* la kutaka maoni.
Tunapambana na wahalifu!
Eniwei #SamiaMustGo na #TutaelewanaTu
Wauaji wanapongezwa Leo.
Haya ni baadhi ya majina ya watu ambao Nduli Idd Amin Mama aliwauwa kwa risasi Oktoba 29, 2025, hawa ni wale ambao familia zao zilikubali majina ya wapendwa wao yaweshared.
Hatutaacha kusema juu ya damu za ndugu zetu mpaka pale Haki yao itakapo patikana.
Mungu aendelee kuwapa pumziko la milele wapendwa wetu.馃檹馃槶
Samia awapongeza wauaji, huko Moshi, katika mkutano mkuu wa mwaka wa watekaji na wauaji.
Wakishapongezwa, mnajua ni ni ni kitafuata kea wakosoaji.
Mguu sawa nguchiro wenzangu.
Celestine Simba retweeted
The Counsel representing Twaha Mwaipaya have asked the court to summon DIG Lagat and DCI Amin over the abduction of Twaha Mwaipaya. Wakili Abner Mango has reminded the court that today marks 17 days since Twaha was abducted and no investigative report has been submitted by the Investigating Officers.
#FreeTwahaMwaipaya #EndAbductionsEA #PASNet
Huyu ndiyo Tundu Lissu ninaye mfahamu. Halafu atokee mtu na "#StrategicEngagements" Zake. Unadhani utaeleweka?

























