Wakuu najua mimi ni smallwig lakini si mniguzie hii link huyu mtoto aende majuu vacation aki
ogc.mountkenyamilk.co.ke
Kindly vote for XOLANI WACHIURI
Youre good people🫡
#kichwa #avoidmanipulation
Jana my nails were glowing usiku(Sikua nimenotice)then watu tulikua nao kwa gari started telling me about it🥹
Small small things>>>>
Moraa ♥️ retweeted
Hii mwaka shule ya ulimwengu sijamiss class hata moja. Imekua tu lesson after lesson but I'm old enough to know that it can always get worse. Hata rock bottom utapata basement.












































