Chigenza Jr. (@ChigenzaJr) header
Chigenza Jr. (@ChigenzaJr) profile picture

Education | Leadership | Social Justice | Policies | I' am @Rickwar Student.

Joined February 2019
Photo by Chigenza Jr. (@ChigenzaJr)Photo by Chigenza Jr. (@ChigenzaJr)Photo by Chigenza Jr. (@ChigenzaJr)Photo by Chigenza Jr. (@ChigenzaJr)Photo by Chigenza Jr. (@ChigenzaJr)Photo by Chigenza Jr. (@ChigenzaJr)
Baraza la Uongozi Mkoa wa Mara
2
7
75
1,054
Chigenza Jr. retweeted
WAKATI WA MUNGU UKIFIKA, HAKUNA ANAYEWEZA KUZUIA! Ayubu 42:2 — “Najua ya kuwa waweza kufanya mambo yote, na ya kuwa makusudi yako hayawezi kuzuilika.” Kuchelewa si kufutwa kwa ahadi ya Mungu. Vikwazo si mwisho wa kusudi la Mungu. Mazingira yanayoonekana kutowezekana hayawezi kubatilisha kile ambacho Mungu amekikusudia. Wakati wa Mungu ukifika, milango iliyofungwa itafunguka, vizuizi vitaondolewa, na kile alichokiahidi kitatimia. Hakuna nguvu ya mwanadamu inayoweza kuzuia utimilifu wa kusudi la Mungu! Wakati huo umekaribia, wala hakuna awezaye kuuzuia. Huwezi kuzuia utimilifu wa kusudi la Mungu, lakini unaweza kuepuka hukumu yake ya kutisha kwa kutubu na kuacha njia zako mbaya.
3
13
322
Chigenza Jr. retweeted
House Negro (ccm) wanafurahia mabaki ya majambazi wanaoteketeza Nchi.
17
185
7
782
18,317
Start your day with the Qur'an❤️😘
11
104
789
7,518
Chigenza Jr. retweeted
The fastest way to attract anything you want
18
486
7
2,237
58,540
Chigenza Jr. retweeted
Jana nilipoona taarifa ya kufariki kwa Lucas Masawe niliumia sana. Sijamfahamu Lucas kwa muda mrefu, na tulijuana humu humu X kwenye mijadala mbali mbali ambayo tulikuwa tunashiriki. Siku pekee iliyonifanya nikamkubali zaidi ni ile siku ambayo alinitafuta DM "INSTAGRAM" kunishauri niongeze uchangamfu kwenye content zangu. Hii ilikuwa January mwaka huu, yeye ni miongoni mwa watu wachache walioamini kwenye ninachofanya na akawa mtu wa kushauri ili niboreshe mbeleni nije kuwa mtu bora zaidi. Mimi sio mtu wa kujibu na kusoma DM za watu wanaonitafuta, ila ya LUCAS nilifungua na tulichat kwenye maoni ambayo alitamani niyafanyie kazi. Baada ya pale nilianza kubadilika na naamini nilivyokuwa nayafanya baadae pale instagram, facebook & tiktok huenda yeye mwenyewe ni shahidi kuwa NILIFANYIA KAZI ushauri wake kwa asilimia 200%. Tunakuja duniani kuja kuacha IMPACT KWENYE MAISHA YA WATU WENGINE. Mimi kwenye maisha yangu Lucas kaacha hiyo impact itakayoishi miaka na miaka. Pumzika kwa amani Lucas Masawe, kama kuna kesho nyingine kama tunavyoahidiwa kwenye Biblia basi naamini tutaonana tena sote njia ni moja wewe umetangulia tuu. Familia yake pia Poleni, najua mnapitia kipindi kigumu kwa kijana kama Lucass kuondoka akiwa bado ana umri mdogo sana. R.I.P BROTHER🕊
80
271
3
2,572
157,918
Pamoja na mapito yote magumu tunayopitishwa ,upendo ,umoja na mshikamano vinabaki kuwa dira yetu katika mapambano.Kadiri vitisho ,mkandamizo na uonevu unavyoongezeka HOFU na WOGA vinaondoka.Haya ndiyo maamuzi na msimamo wetu @ChademaTZ2 @BawachaTaifa @bavicha_taifa kuwa, hatuyumbi kamwe HAKI na DEMOKRASIA ya KWELI vitabadili uelekeo wa Taifa la Tanzania.TUNATAKA KATIBA MPYA ILIYO BORA.
1
37
187
3,700
My message to world leaders at #COP31: We know that change is possible. History has handed us a remarkable opportunity to build economies that are cleaner, societies that are fairer & a world that is safer. This is not only about climate. It's also about sustainable development, peace & security, and about human dignity.
244
341
43
804
55,433
JOHN WAGESA HECHE 🔥🙌
15
187
3
899
31,042
Chigenza Jr. retweeted
Nimefika Kijiji Cha Mahambe Wilaya ya Ikungi Mkoa wa Singida,Kumpumzisha kwenye nyumba yake ya Milele Mzee Simon Mughwai, Kaka wa Tundu Lissu! R.I.P MZEE SIMON MUGHWAI (ALUTE)
6
11
121
2,419
Chigenza Jr. retweeted
Mwenyekiti wetu aachiwe huru haraka. Acheni kuteka watu na kuua watu.
16
253
1
1,372
24,524
Chigenza Jr. retweeted
Heavy rains are flooding displacement sites across Gaza. Tents have collapsed, children are wading through contaminated water & families are losing what little they have. @UNmigration is working to help, but needs far exceed available resources. iom.int/news/misery-thousand…
209
368
36
678
41,850
Chigenza Jr. retweeted
Nimeshiriki Misa Takatifu hapa Kanisa Kuu la Mt. Theresa, Jimbo Kuu la Arusha. Ibada maalum ya kumuombea marehemu Wakili Msomi Alute Simon Mghwai katika safari yake ya mwisho hapa duniani. Kwaheri Mzee Alute, ulikuwa mwanga na hekima kwa wengi. Tutakukumbuka daima.
19
119
1,699
Chigenza Jr. retweeted
Bila kuchoka.
16
201
1,521
23,167
Chigenza Jr. retweeted
Ukweli lazma usemwe
5
177
1
1,100
31,818
Leo Viongozi wa Chadema tukiongozwa na Makamu Mwenyekiti @ChademaTZ2 @HecheJohn tumejumuika na waombolezaji wengine kwenye hafla ya kumuaga marehemu Wakili Alute Mughwai nyumbani kwake Arusha .
4
48
268
4,765
Mathayo 25:1-13, Ujumbe wa Injili ya leo unahusu Mfano wa Wanawali 10 (5 wenye busara na 5 wapumbavu), unaotufundisha kukesha na kujiandaa wakati wote kwa ujio wa Bwana. Padre kasema tujiandae na taa zenye mafuta muda wowote mtu anaweza kupiga simu na ukakosa haki mahakamani.
1
17
86
1,620
Chigenza Jr. retweeted
Leo ni siku ya 14 tangu DIKTETA JIKE amteke Twaha Mwaipaya mpaka sasa hatujui kapelekwa wapi. #FreeTwahaMwaipaya
3
107
1
504
9,995
Chigenza Jr. retweeted
Mapema leo jijini Arusha nikisaini kitabu nyumbani kwa familia ya marehemu wakili msomi Alute Simon Mghwai, Tumempoteza msomi, mshauri na kiongozi mwenye hekima. Kazi yake njema na mchango wake kwa jamii havitasahaulika. Marehemu apumzike kwa amani,Amina.
1
23
128
2,111