Erase, forget, forgive, care, humble, love, a little joke, refresh with your peers, cotton wool will come on its own don't rely on someone in your success it's you and your family 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
1
Kuomba Msamaha Hakuna Kipimo Cha Ujuaji Wala Wingi Wa Fedha Au Vyeo, Ukikosa Omba Msamaha Kesho Yetu Ni Fumbo.
1
dunia imebadilika sana watoto wa siku hizi paka awekewe katuni ndo anywe uji sisi enzi zetu unabanwa pua uchague kufa au kunywa uji😃😃
1
Kukosa kujiamini nitatizo kubwa linalosababisha kutokutenda maamzi magum yenye kuleta faida siku za usoni..
1
dully dabo boy 🇹🇿 retweeted
Kuomba Msamaha Hakuna Kipimo Cha Ujuaji Wala Wingi Wa Fedha Au Vyeo, Ukikosa Omba Msamaha Kesho Yetu Ni Fumbo.
Ewe mungu wetu kwapamoja watanzania wote tunaiombea timu ya simba upate kipigo cha kutosha tunaamini katika wewe kila jambo linawezekana amin 🙏🙏
1
1
dully dabo boy 🇹🇿 retweeted
" muda mwingine tunaamua kupunguza mazungumzo na watu sio kwamba tunawachukia ila ni kwasababu wanatuona waziada kwao... "
dully dabo boy 🇹🇿 retweeted
Mpenzi naomba ufanikiwe katika mambo yote na kuwa na afya yako, kama vile roho yako ifanikiwavyo. Happy valentine day to all my lovers 💓❤💕❤💕
dully dabo boy 🇹🇿 retweeted
Siku hizi kumaliza siku bila msiba si jambo rahisi, kwa walio tutangulie Mwenyezi Mungu awalaze pahala pema.
🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Mungu awe nawe ktk kila masiku unaonekana nimtu mwema namwenye uthubu sote tunaipenda tanzania nitasimama kutetea haki milele na milele🙏
1





