"Nilicho Gundua Mnamuogopa Mwamba Kwakua Kasema Anautaka Ubingwa Wa Afrika.
Acheni Kuzusha Na Kuandika Habari Za Kipuuzi.
Nasikia Mmegaiwa 陌phone 17 Huko Mpige Propaganda
Huyu Yupo, Na Derby Ijayo Mnae, Na Kipigo Kiko Palepale."Ngai"
Kocha wa Viungo wa Yanga,Youssef Ommar amesema kwenye kikosi chake atamchagua Feisal Salum badala ya Aziz Ki sababu anaamini Toto ni mchezaji hatari zaidi!
Via Kishai Tv!
14
903
Kisa kugomea medali za mashindano ya CRDB Federation Cup,Azam Fc imetozwa faini ya Milioni 50!
1
63
1,638
Real Madrid Vs Barcelona
Mbappe Vs Yamal
France Vs Spain
Semi Final World Cup
Nani ameshinda battle tukizingatia historia?
3
2
494
Kocha wa TRA,Ettiene Ndayiragije amesema malengo yao msimu huu si kumaliza TOP 4 bali kuitambulisha timu yao na mchezo dhidi ya Yanga ni mzuri kwa ajili ya kuitambulisha timu yao!
CHAMBUA!
Msimu huu Simba imeifikia kama si kuikaribia Klabu ya Yanga kwenye idara nyingi kwenye kikosi chao lakini pahala pekee ambapo bado wanajitafuta ni eneo la golikipa!Simba itafute kipa anayelingana kwa kiwango au zaidi ya Djiguir Diarra!
"Yanga inahitaji kushinda mechi zake tu watwae Ubingwa!hatma ya Ubingwa kwa Simba haipo mikononi mwao kwani inategemea miujiza ya timu nyingine"Zaka Zakazi!
10
992
Hapo tukajibebea UCL kwa mara ya kwanza kwa kumpapua Bayern Munich wakiwa pale pale geto kwao Allianz Arena!Tarehe kama ya leo wewe ulikua wapi?
1
6
484
Kocha wa zamani wa Yanga ,Mwinyi Zahera anasema Uongozi wa Klabu hiyo unapaswa kukubali wachezaji waliowapa mafanikio nao wanaelekea ukingoni kiviwango hivyo kutimua makocha si suluhisho bali ni kutafuta wachezaji bora zaidi!
Michael Olise amehusika kwenye mabao 8 ndani ya mechi 6 za mwisho za UCL!Je Olise for Ballon d'Or?
11
191
Wanachama wa tawi la Mpira Pesa wamesema iwapo mamlaka za mpira zimepanga timu fulani iwe bingwa kwa miaka 10 waseme hadharani ili na wao watafute Ligi nyingine ikiwemo ya Congo ili kuepuka kuonewa na waamuzi wa NBCPL!
CHAMBUENI!




















