Pinned Tweet
Mungu awasaidie watu wote kadri ya utaftaji wao
Umaskini wa kukosa chakula ni mbaya sana
Ee mwenyezi Mungu mjalie kila mtu angalau chakula tu
mwalimu wa diploma retweeted
Mfumo umeaminisha watu kwamba ili ufanikiwa
Unatakiwa ufanye kazi kwa mda mrefu
Wakati ni ishue ambayo ni personal kwamba some one can just decide to be successful
Mfumo umeaminisha watu kwamba ili ufanikiwa
Unatakiwa ufanye kazi kwa mda mrefu
Wakati ni ishue ambayo ni personal kwamba some one can just decide to be successful
mwalimu wa diploma retweeted
Kila mtu ana sema site yake kwakua trading view imeleta uwaki
Ila nmepata site kali kuliko ata trading view inaitwa
The free chart baba hii ni mwishoo
Tupaa ma go charting tupa kule ma c trader tupa kila kitu
Fungua free chart

Slogan yangu itabaki kua ipe ile
Nitashangilia mafanikio ya wengine tu adi ifike zamu yangu
Sina wivu ata kidogo 😁
Kama ipo ipo tu
Slogan yangu itabaki kua ipe ile
Nitashangilia mafanikio ya wengine tu adi ifike zamu yangu
Sina wivu ata kidogo 😁
Kama ipo ipo tu
mwalimu wa diploma retweeted
Mpaka leo watu waliosoma shule za kata wanamatumaini ya kutoboa maisha na fanded account ya dola elf5
Shule za kata bwana low IQ