Pinned Tweet
Habari ndugu Mwanamafanikio,
Naitwa Edwin Francis Memirieki (EFM).Naandika kuhusu vitu ninavyojifunza na kufanya kila siku:
• Business storytelling
• Subconscious mind
• Habits & systems for success
• Wealth building strategies
• Scholarship opportunities
• Communication skills
• Life philosophy
• Research & business tips
Kama unapenda kujifunza, kufikiri tofauti na kukua kila siku, karibu!
Follow @EdwinMjeru tuendelee kujinoa na kuwa bora katika maisha yetu.
Unlock and live your dream!
Edwin F.M retweeted
Replying to @EdwinMjeru
Cha muhimu zaidi ni usiishie kusoma majibu ya AI. Baada ya kukufundisha, mwambie AI ikuulize maswali bila kukupa majibu kwanza. Hapo ndipo unajua kama kweli umeelewa.
Ukitaka kujifunza kitu kwa haraka kupitia ChatGPT au Claude AI, n.k., usianze na mateminoloji au kukariri maneno magumu magumu.
TUMIA HII TRICKY.
Mwambie, “Nifundishe kuhusu XYZ kwa kutumia mbinu ya, ‘Feynman Technique’ kwa lugha rahisi kama mtoto wa darasa la tatu”.
Hata kama ni kilaza kiasi gani utaelewa tu!
Edwin F.M retweeted
Replying to @EdwinMjeru
When absurdism is on life sound nausea..
Philosophy call it absurdism
Religion call it the valley of shadow of death
Edwin F.M retweeted
Natamani ifike sehemu tujifunze kuheshimu mtazamo wa kila mtu.
As long as unakunufaisha na una function kwa upande wako
Unachokielewa wewe haimaanishi nawengine wanakielewa na kukiona kama unavyokiona wewe.
Serikali inajitajidi sana kufikisha umeme vijijini lakini, mwamko wa watu kutumia bado ni mdogo. “SOLAR” ndiyo kimbilio la wengi vijijini.
Gharama ya umeme ni moja ya kikwazo cha watu kutumia umeme, ukilinganisha pia mahitaji ya umeme ni kidogo. Mainly ni Mwanga usiku tu na kuchaji, kitu ambacho Sola inakidhi nowdays.
Kwa hiyo, kuna utofauti umeme kufika au kupitia vijijini na kutumika vijijini.
Usipokuwa makini, kujiona una akili sana au unajua sana inaweza kuwa adui mkubwa wa kutochukua hatua.
Utajikuta mchambuzi wa kila fursa badala mchukua hatua. Kuna vitu vinahitaji udhubutu tu wa kuchukua hatua ndogo ndogo na siyo ukubwa wa akili.
Ukifuatilia wanaoshinda mara nyingi siyo the most smartest in the room, bali first to actions.
Edwin F.M retweeted
Mwanangu uelekeo ni huu—kufanya greatness tupu bila kujali mood ama namna gani vipi.
Mpaka sasa
Nimepitia zote
1.Nasuka jambo naliandaa ila sifanyi
2.Naanza naishia kati naganda
3.Naanza chapu kwa haraka nakosea nalamba Glucose narudi tena ulingoni mpaka matokeo yanatokea
Ndo maana napenda msemo ANZA SASA
Mnalakusema
@EdwinMjeru
@miracleboytz
@MkulimaKante
Kama hii ingekuwa ni huduma rasmi, ni ‘Route’ zipi zingefaa sana kupitisha watalii na kuhakikisha wanaona vivutio , na kujifunza historia ya jiji la DSM na Tanzania kwa ujumla?
Chuma ianzie wapi na kuishia wapi?
Haitoshi KUJUA.
Nani ANAJUA kuwa UNAJUA imata pia.
Hasa, kama akijua kama SULUHISHO la uhitaji wake. Ndipo THAMANI ya unachojua ilipolala.












