
Father| Mineral Processing Engineer| Human Right Activist| Paralegal |Member @ChademaTz | @ManUtd | Boss Himself | StoryTeller| 430'2023|WhatsApp +255719542184
Serengeti, Tanzania
Joined July 2020
- Tweets58.2K
- Following982
- Followers30.1K
- Likes57.9K
Pinned Tweet
NANI ALIYEMUUA SOKOINE?
#UZI
🔲Mnamo April 12, 1984 ilikuwa ni siku mbaya sana ktk Taifa letu na haitosahaulika kwa Watanzania. Siku hiyo tulimpoteza kijana makini aliyekuwa Waziri Mkuu EDWARD MORINGE SOKOINE, aliyefariki kwa ajali mbaya ya gari eneo la Wami-Dakawa (Morogoro).
NI MPYAAA
BOXER DOMO LA MAMBA 125CC 🔥🔥🔥
TZS 3,000,000/=
IPO DAR (MIKOANI TUNATUMA)
CALL/WHATSAPP-0793022184
JAPHET MATARRA retweeted
HUU NI UKABURU
"Wazungu wa Afrika Kusini tulikuwa hatuwapingi kwa rangi yao. Tulikuwa tunawapinga kwa ubaguzi wao. Hatuwezi kuwa na Makaburu hapa, halafu tukawaheshimu kwa sababu ni weusi. Ni makaburu." Mwl.JK NYERERE.
Tumefika katika nafasi ambayo ,Tunavuruga chaguzi zetu bila aibu, tunatumia risasi za moto dhidi ya watoto wadogi hata wasiojuwa siasa, Mamia ya watu wanatekwa na Kupotezwa, Mamia kwa maelfu wanauwawa,wengine hawajukikani waliko,Maiti zinapotea mochwa, sheria za jinai zinatumika kuweka mgandamizo wa kisiasa na kusingizia watoto na vijana wa kitanganyika makosa ya uhaini na Ugaidi.
Tuna kamata na kufungulia kesi viongozi wa kweli wa Upinzani na kuendesha mashauri ya hila ili kupata hukumu za hila. Tuna panga kufutia watu uwakili kwa hila bila aibu tukiaminintitawafumba mdomo.Huu nao ni Ukaburu na tutaupinga bila uwoga,hofu wala Upendeleo.
UKWELI,HAKI NA UWAJIBIKAJI VITALIPONYA TAIFA.
Aluta....Continua....
BAK MWABUKUSI.
JAPHET MATARRA retweeted
Mwezi wa 4 mwaka 2025. Kamanda wa polisi kanda maalumu ya Dar es salaam.
Bwana Jumanne Muliro aliongea na vyombo vya habari, akaeleza kwamba ana taarifa ya watu kwenda mahakamani Kisutu kuhudhuria kesi ya Mwenyekiti wetu Tundu Lissu na kwamba watu hao wamejipanga kufanya fujo mahakamani na kusababisha mahakama ishindwe kufanya kazi yake.
Tarehe 24/4/2025 wakati wa kesi.
Polisi walizingira Mahakama ya hakimu mkazi Kisutu, wakakamata watu wengi kwa mamia.
Watu wakapigwa, wakavunjwa miguu, wengine mikono na viungo mbalimbali vya miili yao.
Wengine wakafunguliwa Mbwa wa polisi kama ambavyo makaburu wazungu walifanya dhidi ya Waafrika weusi kule Afrika kusini au Marekani.
Siku hiyo watu wengine wakauwawa.
Watu Kama Boniphace Mwangi na Agatha Atuhaire wa Uganda wakafanyiwa matendo ya kinyama kabisa na kutupwa maporini.
Viongozi wetu kadhaa akiwemo Makamu Zanzibar walitupwa kwenye misitu nje ya Dar baada ya kupigwa na kufanyiwa unyama wote.
Mimi binafsi nilishikiliwa na kujaribu kupelekwa porini,mpaka wasaidizi wangu waliposhikilia usukani wa gari ya polisi na kupata upenyo wa kukimbia kutoa taarifa kuhusu mimi kushikiliwa
Mpaka sasa hakuna polisi hata mmoja alikamatwa na kushitakiwa kwa unyama ule dhidi ya binadamu.
Leo Mwaka mmoja na miezi sita baadae Muliro anatoa kauli kama hiyo hiyo bila uthibitisho wowote wakati wa kwenda kusikiliza hukumu ya kesi ya Mwenyekiti.
Mwenyekiti Lissu ni kiongozi wa Chama ana watu wengi, hakuna mtu anaepanga kufanya fujo yoyote hata kama tunajua uovu wanaopanga kufanya kesho kutwa.
Watu wanataka kuhudhuria na kusikiliza kesi ya kiongozi wao na kiongozi mkubwa wa kisiasa Nchini.. kauli za Muliro ni tishio na mipango ya kutaka kuumiza watu..
Bwana Muliro zama hizi za internet kila unachosema kinabaki na kuna siku watu watauliza na mtatakiwa kutoa majibu.
Acheni kutishia watu walindeni waje wasikilize kesi ya kiongozi wao.
#Tshs 1,400,000/=
PIKIPIKI YA KUCHAJI 🔥🔥
IPO DAR
MIKOANI TUNATUMA
CALL/WHATSAPP-0793022184
GUTA AINA YA WANHOO 🔥🔥
REG" #FYT
Linatumia mafuta
Full Documents ✅️
BEI - Tshs 2,600,000/=
LIPO DAR (Mikoani Tunatuma)
CALL/WHATSAPP-0793022184





























































