Esther Karin Mngodo (@Es_Taa) header
Esther Karin Mngodo (@Es_Taa) profile picture

Founder @Umbu___ Carleton @JSchool_Cu alumna | 2017 William Southam Journalism Fellow @MasseyCollege | @tuzonyerere | bylines @udadisi @thechanzo @thecitizentz

Dar es Salaam, Tanzania
Joined August 2011
Photo by Esther Karin Mngodo (@Es_Taa)Photo by Esther Karin Mngodo (@Es_Taa)Photo by Esther Karin Mngodo (@Es_Taa)Photo by Esther Karin Mngodo (@Es_Taa)Photo by Esther Karin Mngodo (@Es_Taa)Photo by Esther Karin Mngodo (@Es_Taa)Photo by Esther Karin Mngodo (@Es_Taa)Photo by Esther Karin Mngodo (@Es_Taa)Photo by Esther Karin Mngodo (@Es_Taa)Photo by Esther Karin Mngodo (@Es_Taa)
I said this before and will say it again, my daughter is an AMAZING writer and artist! These are her masterpieces. DO NOT STEAL THEM!!! ๐Ÿ˜„
8
1
138
e l e z e a D E C E M B E R D A T E S D R O P P I N G S O O N but i couldn't wait to share this absolute ogaranya of a banger... come cook with us!
I am finally ready to share the typeface that I've been building for the past two months. Introducing OGARANYA โ€” a typeface inspired by the richness of African heritage, the authority of ancient kingdoms, and the weapons of warriors who conquered empires. The first of many typefaces!
1
3
86
Bila Twitter, bila shaka nisingekuwa na Shahidi wa Nina Mvungi wala tafsiri yake. Nilikutana na Ndugu Jay hapa mtandaoni. Twitter imekuwa na manufaa makubwa maishani mwangu ๐ŸŽ‰
Kuna kitu kimoja kinaniumiza sana kuhusu Twitter kufungiwa Tanzania. Na nataka kuwaambia kwa nini. Mimi binafsi, Twitter imebadilisha maisha yangu. Vitu vingi nilivyojifunza kuhusu teknolojia, startups, AI na kujenga biashara, nimejifunza kupitia Twitter. Na sio kujifunza tu. Kupitia Twitter nimepata wawekezaji kutoka Marekani ambao wamewekeza kwenye kampuni yetu ya NALA. Nimekutana na watu ambao nimewaajiri. Nimejenga urafiki na mahusiano na watu ambao leo tunafanya nao kazi NALA. Watu ambao pengine nisingekutana nao maishani mwangu! Na mpaka leo, natumia Twitter kujifunza kila siku. Hasa sasa hivi, natumia Grok bot, AI ya Twitter, zaidi na zaidi. Naendelea kujifunza, kuuliza maswali, na ku-connect na watu wenye maarifa kutoka duniani kote. Sasa fikiria kijana wa miaka 20 aliyepo Mwanza, Mbeya au Kigoma. Ana simu. Ana internet. Hana connection za Silicon Valley. Hana pesa ya kwenda vyuo vikubwa duniani. Lakini kupitia Twitter anaweza kujifunza, kukutana na investors, kupata kazi, au hata kupata mtu wa kujenga naye kampuni. Hiyo ndiyo nguvu ya Twitter! Na ndiyo maana nimesikitishwa sana kwamba Twitter imefungiwa Tanzania. Kwa sababu kwangu, Twitter haikuwa tu social media. Ilikuwa darasa langu. Ilikuwa sehemu ya kujenga biashara. Ilikuwa sehemu ya kupata marafiki na connections duniani. Na naamini kuna vijana wengi wa Tanzania ambao wanaweza kupata fursa kama nilizopata mimi. Swali langu kwenu ni hili: Twitter imewahi kukufungulia mlango gani kwenye maisha yako?
78
Esther Karin Mngodo retweeted
Matching outfits. Nonstop entertainment. A booming business. This Tanzanian wedding crew is adding extra sparkle to celebrations while creating opportunities for young people. Would you hire them? BBC's @GloriaAchieng5 reports.
12
134
25
494
100,947
Esther Karin Mngodo retweeted
what do you mean a literary body I founded in honour of my grandmother is flying 10 women writers from all over Africa to Lagos to write, read and launch an anthology???? GOSH!
21
124
3
1,070
12,562
Esther Karin Mngodo retweeted
โ€˜Barua Kwa Mpendwa Azimioโ€™ by Issa Shivji thecitizen.co.tz/tanzania/maโ€ฆ
1
7
14
881
Esther Karin Mngodo retweeted
The Geneva Graduate Institute, Switzerland, is accepting international applications for its 2027 Masterโ€™s and fully funded PhD programmes. Fields include international relations, international law, international economics, development studies, anthropology, sociology, and international history and politics graduateinstitute.ch/applicaโ€ฆ
5
146
4
712
62,614
Esther Karin Mngodo retweeted
eKitabu and Modjaji Books have collaborated to bring you the African Small Publishers Database. All small and independent African publishers can list for free. It is free to browse and to see the proliferation of creativity in Africa. substack.com/home/post/p-222โ€ฆ
1
29
55
1,339
Ahsante Kibanga Books โœจ
Jinsi Ya Kurudi Nyumbani By Esther Karin Mngodo. KShs 500.00. Mkusanyiko wa mashairi 50 yanayozungumzia masuala mbalimbali ya jamii kwa jicho la mwanamke. kibangabooks.com/books/jinsiโ€ฆ estherkarinmngodo jinsiyakuridinyumbani shairi mashairiyakiswahili kiswahili @Es_Taa
1
2
147
Esther Karin Mngodo retweeted
I love her work. janetasullivan.com/
2
278
5
1,248
21,734
Esther Karin Mngodo retweeted
if you borrowed a book from someone a long time ago and think that person forgot, let me tell you: THEY DIDN'T
193
4,539
1,081
30,662
508,377
Esther Karin Mngodo retweeted
11
293
6
1,670
41,585
handwritten letters and flowers <3
36
4,767
211
11,631
394,631
Esther Karin Mngodo retweeted
Nguvu ya watu wanaosali pamoja, Towards one goal uwa sio mchezo.
10
51
1
721
17,094
Book morning from the bookstore. We are open again today for browsing. The Bazaar 1st Floor room A12, Moi Avenue Links Arcade 1st Floor, Nyali Branch nuriakenya.com
9
10
491
Jinsi Ya Kurudi Nyumbani Mkusanyiko wa mashairi 50 yaliyotungwa na Esther Karin Mngodo. nuriakenya.com/product/jinsiโ€ฆ KSh 500
3
6
312
Esther Karin Mngodo retweeted
Andrea Cohen
3
38
1
224
3,512
Esther Karin Mngodo retweeted
Raymond Carver
7
90
5
717
14,688