Rais Samia Suluhu amemuasili mtoto mchanga wa kike aliyetelekezwa mjini Nzega, mkoani Tabora.
Rais Samia amemkaribisha mtoto huyo aliyepewa jina la Grace Samia Suluhu, katika familia yake na kuahidi kumpatia malezi, ulinzi na huduma zote muhimu.
Meli ya mafuta Bandari ya Dar husubiri kwa wastani wa siku 22 kushusha mafuta.
Kila siku inayosubiri, mwenye mzigo hulipa faini TZS milioni 58, gharama ambayo huathiri watumiaji wa mafuta.
Matanki mapya yatapunguza siku hizo hadi 7, hivyo kupunguza gharama za uagizaji mafuta.
Rais Samia Suluhu ameweka Jiwe la Msingi kwenye Mradi wa Ujenzi wa Matanki ya Kupokea Mafuta yaliyopo Kigamboni Dar es salaam leo Machi 03 Machi 2026.
Rais Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi mbalimbali kwenye Misa Takatifu ya kumwombea na kumuaga Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo Kuu Katoliki Dar es Salaam, Marehemu Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Yosefu Jijini Dar es Salaam.




















