Brayans retweeted
Zaburi 42:5,11 inasema kwa nini nina huzuni/ matatizo katika maisha lazima utapitia hiki kipindi lakini Kumbuka Zaburi 43:4 inasema Mungu ndio chanzo cha furaha. sogea karibu na altare ya Mungu upate furaha
Brayans retweeted
Inashangaza kuona watu wanatetea USHOGA, yaani wanaona Dudubaya ndio anakosea na kauli mbiu yake inatakiwa izuiliwe na ipigwe marufuku. Lord have mercy on us samething Sodoma and Gomora
Brayans retweeted
Zikimbie tamaa mbaya za ujana, ufuate haki, imani, upendo na amani pamoja na wale wamwitao Bwana kwa moyo safi.
2 Timotheo 2:22 🙏🏽
Brayans retweeted
Baraka za Bwana Yesu zitembee nasi leo, kila baraka zilizoandaliwa kwetu leo zikafanyike, fadhili na wema zikatufate leo. Na kila baya ambalo limepangwa juu yetu haliweza kutenda wala kufanyika kama Isaya 7:7
Brayans retweeted
Nionyesheni fedha ya kodi. Nao wakamletea dinari.
Akawaambia, Ni ya nani sanamu hii, na anwani hii?
Wakamwambia, Ni ya Kaisari. Akawaambia,
Basi, mlipeni Kaisari yaliyo ya Kaisari, na Mungu yaliyo ya Mungu.
Matayo 22:17-21
Brayans retweeted
Usipoteze moyo wako mwema kwa sababu tu watu wanaokuzunguka ni wakatili.
Allah anawapenda wenye mioyo myema.✍️🏿
Brayans retweeted
The Lord is not far from any one of us. For in him we live and move and have our being.
— Acts 17:27–28
Brayans retweeted
The Lord will bless you in all your harvest and in all the work of your hands.
— Deuteronomy 16:15
Brayans retweeted
"Sitayaogopa makumi elfu ya watu,Waliojipanga juu yangu pande zote"
#Zaburi 3:6















