Goby🇹🇿 retweeted
R.I.P dada Jaque, tunamshukuru sana Muumba kwa maisha yako.
Pumzika kwa amani sasa, mi nakupenda, sana.
❤️❤️💔💔
Goby🇹🇿 retweeted
Tanzanians were treated to good news that sounded like music in their ears on April 2, when their fellow citizen, 49-year-old cartoonist, radio producer and radio presenter Ally Masoud unveiled his locally made electric car xhtxs.cn/tgX
Goby🇹🇿 retweeted
Kakosa kidoti tu awe pacha wa @arnwillz – at Dar es Salaam, Tanzania
This post is from a suspended account. Learn more
Goby🇹🇿 retweeted
Kwa followers wa haraka luka na hawa 👇👇👇
@Goby_tz
@Hans__lee
@stephen_waritu
@ulambaJr
@CarenUswege
@Lameck_ChangLee
@Deondera
@ValleBaptista
@Tajiri_Francis
@LucasbrownTz
@Yunusijr
@chepngetichjud1
@maudoudo086
@mchachu_
Goby🇹🇿 retweeted
Sasa kama mnazo "fedha nyingi" za kuingiza (ku-inject) kwenye mzunguko mtaani.
Si mchukue hizo "fedha nyingi" mlizonazo mkajenge madarasa na vituo vya afya na barabara?
Mtuache sisi na miamala yetu bila tozo za ajabu ajabu?
Au mi ndo sina akili?😎😎😎
Goby🇹🇿 retweeted
Kama mama yako anatabasamu, kwa ajili yako, UNASHINDA.
Akiwa katangulia ama akiwa hai, mtabasamishe mama, kwa kuwa mtu mwema.
Wapumzike kwa amani mama zenu waliokwishatangulia mbele za haki, awape umri mrefu walioko hai.
Mama, tabasamu.
Goby🇹🇿 retweeted
Sandakalawe ya Harmonize ni BAO ya Wagosi wa Kaya.
Ambayo imeimbwa na mtu asiyekuwa na akili hata moja.
-Mdau kutoka DM😎😎😎
Goby🇹🇿 retweeted
Followers wenyewe uliwapata kwenye WAPWA TUINUANE
"Mimi kama Katibu wa Wapwa nasema weka handle tuinuane mpaka mawinguni"
😂😂😂na bado hujui nani wa kumvaa nani wa kumuacha.
Watu hawana akili kumbe
Goby🇹🇿 retweeted
Mwenyezi Mungu awabariki ninyi nyote ambao, tafuta zenu za riziki ni vita tosha.
Muhindi hakuelewi, mazingira mabovu ya kazi, ujira kiduchu usiokidhi mahitaji.
Lakini hata siku moja hamjaacha kuamka asubuhi, kuhakikisha mnaleta tabasamu kwa wapendwa wenu.
TUSIACHE KUPAMBANA.
Goby🇹🇿 retweeted
Tangu mzee afariki content za kigogo zimeshuka kwa haraka kuliko uchumi wa zimbabwe.💔🚮
Goby🇹🇿 retweeted
Natumai mnajua kuwa BET category ya Diamond haipigiwi kura mtandaoni au na mashabiki 😅
Goby🇹🇿 retweeted
Mashabiki wenzangu wa SimbaSC mbona tunafarakana aisee, tuungane, tuwe kitu kimoja aisee
#NguvuMoja
😂😂😂
Goby🇹🇿 retweeted
Fivara fever
Taswira Mpya 🎶🎶
Taswira Mpya is out now
Audiomack: audiomack.com/fivara/song/ta…
YouTube: youtube.com/watch?v=tPuDmK…
Mdundo: mdundo.com/song/1966601
SoundCloud: soundcloud.com/naitwa-fivara……
Lyrics: genius.com/Fivara-taswira…
Goby🇹🇿 retweeted
1. "Kila mwalimu afundishe hata masomo matano matano, kwani kuna shida gani?"
2. "Tuweke wiki ya nyungu, huko kwetu ipo"
3. "Pino kodi inasema niweke mikasi kwenye tweets"
4. "Mnataka azurule Mwananyamala na Magomeni"
HII PICHA IMEKAA KIMASTA SANA HII😂😂😂





















