Symon Goodluck (@GoodluckSymon) header
Symon Goodluck (@GoodluckSymon) profile picture

4rever young

Joined February 2023
Vile tutakavyoenda makanisani Jumapili hii
113
Kaka mkubwa mbona wadudu tena....Kusini hatujazoea haya
1
107
Klabu ya Simba imekamilisha uhamisho wa beki wa kati Rushine De Reuck. Rushine De Reuck, amewahi kukipiga katika klabu ya Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini. Simba inavyomkimbiza mwizi kimya kimya, mimi sio mtabiri lakini ninachojua ni mwizi anaweza kukimbilia Kituo cha Polisi.
87
Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anawatakia Watanzania wote Heri ya Sikukuu ya Sabasaba.
78
Ujumbe muhimu sana upo hapa
1
1
104
Ujumbe umefika, Wafinywe hao fibaraka hadi waelese pesa sa nauli sa kusunguka wanatoa wapi.
1
3
5
245
Karibu Tanzania Mhe. NETUMBO NANDI-NDAITWAH Rais wa Jamhuri ya Namibia.
1
2
8
473
Bila shaka Ujembe umewafikia na tayari wanao. MADAME PRESIDENT
1
2
277
Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) imesema kuanzia Machi 2021 hadi Machi 2025, kiasi cha gesi asilia kilichozalishwa nchini kimefikia futi za ujazo bilioni 301.33, ambapo awali ilikuwa futi za ujazo bilioni 57.16 kwa mwaka. Kiasi hicho ni kutoka Kitalu cha Mnazi Bay ambacho kimezalisha futi za ujazo bilioni 142.35 na futi za ujazo bilioni 158.98 kutoka Kitalu cha Songo Songo.
1
3
3
321
Mshauri wa Rais wa Tanzania wa Masuala ya Afya na Tiba ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Profesa Mohamed Yakub Janabi ametangazwa rasmi kushinda uchaguzi na amechaguliwa kwa kishindo kuwa Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) kwenye uchaguzi uliofanyika leo May 18,2025 Geneva. Uchaguzi huo umefanyika kuziba nafasi ambayo iliachwa wazi na aliyekuwa Mkurugenzi Mteule wa nafasi hiyo, Dkt. Faustine Ndugulile baada ya kufariki ambapo Prof Janabi alikuwa ni Mgombea pekee kutoka nchi za kusini mwa jangwa la Sahara, huku wenzake wanne wakitokea nchi za Afrika Magharibi akiwemo Dkt. N'da Konan Michel Yao (Ivory Coast), Dkt. Dramé Mohammed Lamine (Guinea), Dkt. Boureima Hama Sambo (Niger) na Prof. Mijiyawa Moustafa wa Togo.
2
3
5
540
Unawapoteza wanachama majembe na wenye nguvu za ushawishi kama: 1. Moza Ally 2. Glory Tausi 3. Catherine Ruge 4. Devotha Minja 5. Grace Kihwelu 6. Suzan Kiwangwa Alafu unabakiwa na Maria Sarungi asiye mwanachama na yupo mafichoni Nairobi Kenya. INAFIKIRISHA!
6
4
7
642
Lema anapata wapi fedha? Alipokuwa Canada ali default madeni yake Bank hivyo mali zake zikachukuliwa na kupigwa mnada na biashara zake kufilisika. Amerudi Bongo hana fedha wala pakuishi, akapewa hifadhi kwa muda na Mbowe kwenye moja ya nyumba zake Arusha, familia yake hadi leo iko Canada kwa kisingizio cha usalama wao lakini ukweli ni kwamba hana pa kuwaweka. Kwa sasa hana biashara wala kipato anazurura tu na yote hii ni kupata pesa za Tone Tone ambazo ndio wanabangaiza wapate kuishi na kutuma kidogo huko Canada kwa familia. Pesa ambazo zinapatikana kupitia kikoba cha Tone Tone hazitoshi na haziwezi kuendesha chama, ni pesa za kula za viongozi waaandamizi. Na kwakuwa Mwenyekiti yuko ndani muda huu, Lema na Heche wanakula utawala tu na michango ya wanachama.
1
3
7
917
Kama bado kuna mwanachama au kiongozi wa chadema hajastuka hii hali na kuchukua hatua kunusuru basi huyo mwanachama/kiongozi ndie tatizo kwenye chama chetu.... Naendelea kushauri viongozi wa chama taifa wachukue hatua mwenendo huu si sawa! Msilewe kwa kuona mikutano inajaa watu, Watanzania ndivyo walivyo hata Mwamposa huwa anajaza watu, Hata Gwajima huwa anajaza watu, Hata Diamond huwa anajaza watu, Hata simba na yanga huwa zinajaza watu, Chama ni mtandao wa Uongozi. Mtandao ukifa ni vigumu kuwa na chama. Hata leo Lipumba au Mbatia ukiwapa pesa ya mkutano na maandalizi yote watajaza watu hadi wakanyagane. Watanzania sio wachoyo linapokuja suala la mtu anayeisema ccm au anayefanya miujiza ya kiroho au anayewaburudisha kwa muziki au kwa soka! Sekretarieti yote iliyokuwepo kwenye uongozi uliopita imeondoka Chadema isipo kuwa watu wawili tu Mnyika na Pambalu. Viongozi wa Kanda 8 zote za Tanzania Bara wamejiondoa Uongozi Mzima wa Mkoa Kilimanjaro kuanzia matawi, Kata, Majimbo, Wilaya na Mkoa umejiondoa, Uongozi wote wa Mkoa wa Temeke wamejiondoa. Uongozi wa Mkoa Tabora umeondoka. Hatustuki? Bado tunafanya propaganda kwamba hao wanaoondoka kwakuwa wamekosa vyeo ndani ya chama? Tuache uongo na kukomaza mafuvu, kuna tatizo! Hebu tukubaliane na ukweli kuwa sisi ni Chama cha kidemokrasia tumekoseana turudi mezani tuyajenge. Enyi viongozi wangu, nani amewewafanya kuwa na mioyo migumu kama farao? Mimi naona mbele kuna giza!!! Tutafakari!
90
Jumla ya wanachama 110 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mkoani Tabora wamejivua uanachama wa chama hicho. Miongoni mwa wanachama waliojivua uanachama ni pamoja na Mwenyekiti wa Chadema mkoani humo, James Kabepele. Wanachama hao wamesema miongoni mwa sababu zilizopelekea kujivua ni pamoja ni kudharauliwa mawazo yao ndani ya chama, hawako tayari kutokushiriki uchaguzi kwani hiyo ni haki yao ya msingi. Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Tabora, James Kabepele amesema baadaye watasema rasmi kuwa watajiunga na chama gani kwa sababu siasa ni maisha ni lazima waifanye. Mapema jana, viongozi Mei 11, 2025 viongozi 58 wa Chadema Mkoa wa Kilimanjaro, akiwamo Mwenyekiti wa chama hicho mkoa, Gervas Mgonja walitangaza kujivua uanachama wa chama kwa madai ya kutoridhishwa na mwenendo wa chama hicho. Viongozi wengine waliojivua ni Katibu wa Bawacha Kanda ya Kaskazini, Rachael Sadick, Mwenyekiti wa Bawacha Mkoa wa Kilimanjaro, Grace Kiwelu, Mjumbe wa kamati ya Tehama Kanda ya Kaskazini, Answary Kimaro na Mwenyekiti wa Chadema mstaafu Mkoa wa Kilimanjaro, Michael Kilawila. Jana pia kundi la makada 80 wa chama hicho Mkoa wa kichama Temeke jijini Dar es Salaam walijivua uanachama.
6
2
2
797