Heavy D retweeted
It’s easier to believe a python tried to swallow Wajackoya than to believe Ruto. – at Nairobi, Kenya
Heavy D retweeted
Sikuamini ndugu @VincentAteya alipo niarifu kua mara ya mwisho nilikua kwenye mjadala wa #JamboKenya pale @RadioCitizenFM ilikua mwezi wa pili mwaka huu! Mengi yamefanyika tangu February. Nina majina mapya, chama kipya, marafiki wapya, azma mpya. Jiunge bas hio kesho asubuhi kwenye @RadioCitizenFM, @SulweFM @Mulembe_FM na @VuukaFM kwa ujumla tuzungumze!
#LindaMwananchiMovement
Heavy D retweeted
Happening…receiving a delegation of leaders and aspirants from Makueni, Machakos and Kitui Counties, led by @LindaMwananchi_ DPL Hon. Patrick Makau at LMHQ
#LindaUkambani
Heavy D retweeted
In my view Harambee wamejaribu over the two legs. But ndio nitoke hapa nilikua na watch game imebidi tukubaliane tutafuta kila mtu FKF kazi tukiingia. Sidhani rais ako na hizo powers but ni sawa. Wacha tutoe ruto kwanza.
Heavy D retweeted
Niko undisclosed location Emba tuna watch game ya Harambee. Key issues being discussed including ma defender imbo hawaezi clear ball. Also vile bei ya koti ya mkuu inatosha kupanda nyasi mzuri hapo Nyayo. Ineza kua ukweli lakini pia labda zime nice.
Heavy D retweeted
If you are a Kenyan in the US, catch us where you can. We apologize in advance if we don’t come to your City or State, but this isn’t our last visit. Tutarudi tena na tena. See you soon!
#LindaUS
#LindaDiaspora
Heavy D retweeted
Tuliwaambia H.E hafanyangi PR for the camera. He just does what he needs to do akisonga.
This is Natalie Githinji saying Sifuna has always supported her endometriosis journey bila kumsumbua na mambo ya PR.
Najua hii Kenya watu wakianza kuongea vile H.E amewa support in different ways mtashangaa.
Heavy D retweeted
Replying to @HEBabuOwino
How did Bambi Owino get 70 million to pay a victim he shot point blank, and why did he not get jailed?

























