
*Off. tweeter Acc. Of Mohamed Hussein Mohamed @taifastars_ 🇹🇿 *Tanzania best player🥇2016/2017 *Tanzania best defender🥇2021/2022
Dar es Salaam, Tanzania
Joined August 2019
- Tweets689
- Following98
- Followers237K
- Likes581
The Last Dance of the Lions 🦁
Kwanza, nimshukuru sana Mwenyezi Mungu wa rehema kwa kutuwezesha kuanza ligi na kumaliza salama.
Pili, uongozi chini ya Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi, Mohammed Dewji na makamu wake Murtaza Mangungu, benchi la ufundi, menejimenti, wanachama…
kutupa nguvu na kutupigania ndani na nje ya uwanja iwe kwenye jua kali au kwenye mvua mlikuwepo. Katika kila nyakati ngumu hamkukata tamaa, hamkutuacha. Mwenyezi Mungu awabariki sana. You are The True Heroes.
Final here we come🦁👊🏾, Ahsanteni mashabiki zetu na watanzania wote mliotuombea dua🤲🏾 lakini kwa kipekee sana niwashukuru watanzania mnaoishi hapa Afrika kusini mmekuja kwa wingi na mmetupa nguvu sana tulikuwa kama tupo nyumbani mungu awabariki🙏🏾🙌🏾 #Nguvumoja




















