Ukatili dhidi ya wanawake si tu wa kimwili. Maneno, vitisho na hasa mtandaoni pia huumiza. Tutokomeze aina zote za ukatili wa kijinsia. #ChatKijanja #noexcuse
Kuwa rafiki mwema , paza sauti kukemea auna yoyote ya ukatili wa mtandaoni. Himiza matumizi salama ya mitandao. #ChatKijanja #noexcuse
Chunga wenzako, himiza matumizi salama ya mitandao. #Chatikijanja #noexcuse
10
Tunaweza kubadilisha tabia ya vijana mtandaoni bila kuingilia uhuru wao kwa kupitia elimu,heshima na usalama.#ChatKijanja #noexcuse
Wazazi, zungumzeni na watoto kuhusu matumizi salama ya mtandao. Wakumbesheni kuhusu picha, jumbe, video zenye maadili pamoja na mazungumzo wanayoyafanya. Uelewa ni kinga. #ChatKijanja #noexcuse
Walimu wanaweza kuwaelekeza wanafunzi namna ya kupambana na ukatili wa kijinsia ukiwemo ule wa mtandaoni.Hii itasaidia kutokomeza matendo ya ukatili hasa kwa wasichana wadogo. #ChatKijanja #noexcuse
Taarifa ni Maisha retweeted
Kupitia matumizi mazuri ya mitandao tunaweza kujifunza kuhusu huduma bora za afya ya uzazi pamoja na kutokomeza mimba za utotoni #ChatKijanja
Wavulana wa kweli hulinda wasichana mtandaoni.Sio kuwadhalilisha.#ChatKijanja #noexcuse
Mzazi,Jitahidi upate nafasi ya kuangalia apps na chats wanazotumia watoto wako.Simamia bila kudhuru heshima yao.Zingatia matumizi salama ya mitandao. #ChatKijanja #noexcuse
Taarifa ni Maisha retweeted
Kama unapata picha,video au maneno yanayokuletea hofu na wasiwasi, usiyatumie.Repoti,block na utafute msaada.Ulinzi wa mtandaoni ni haki yako. #ChatKijanja #noexcuse
Taarifa ni Maisha retweeted
Simama kidete,usiruhusu maneno machafu mitandaoni.Zingatia matumizi salama ya mitandao.#ChatKijanja #Noexcuse

Rafiki anaekulazimisha kufanya kitu mtandaoni ambacho hauko tayari ni hatari.Usikubali,linda mipaka yako.#ChatKijanja #noexcuse
Taarifa ni Maisha retweeted
Maneno mazuri mitandaoni yanajenga urafiki,maneno mabaya yanabomoa na kumomonyoa maadili na utu.Kataa ulatili wa mtandaoni.#ChatKijanja #noexcuse
Rafiki anaekulazimisha kufanya kitu mtandaoni ambacho hauko tayari ni hatari.Usikubali,linda mipaka yako.#ChatKijanja #noexcuse
Kama unapata picha,video au maneno yanayokuletea hofu na wasiwasi, usiyatumie.Repoti,block na utafute msaada.Ulinzi wa mtandaoni ni haki yako. #ChatKijanja #noexcuse
Usalama wa mtandaoni ni haki yako.Ukiweka mipaka na heshima unalinda mwili,akili na ndoto zako.#ChatKijanja #noexcuse
Taarifa ni Maisha retweeted
Usalama wa mtandaoni ni haki yako.Ukiweka mipaka na heshima unalinda mwili,akili na ndoto zako.#ChatKijanja #noexcuse
Taarifa ni Maisha retweeted
Taarifa sahihi inakupa nguvu ya kufanya maamuzi.Tokomeza matumizi mabaya ya mitandao #ChatKijanja #noexcuse