WAkupuyanga 🇹🇿 retweeted
Manabii wa siku hizi wamebarikiwa sana wanakula maisha wakati kina musa walizunguka jangwani miaka 40
WAkupuyanga 🇹🇿 retweeted
Nasikia makaran wa sensa wamepewa na mafunzo ya kijeshi kukamata wapwa☹️☹️ anyway anaejua handaki zuri la kujificha anichek😁
WAkupuyanga 🇹🇿 retweeted
Replying to @TZMsemajiMkuu
Utatulia vip wakati huku unakatwa pesa mara mbili, si bora mtuue tu ifahamike tumefia kwenye nchi. Kila siku tozo, Hakuna vyanzo vingne vya mapato ya serikali mbona tz tumebalikiwa sana kuwa na vyanzo vingi sana shida ipo wapi?Yan viongoz wote mnashindwa kubuni vyanzo vya mapato?
WAkupuyanga 🇹🇿 retweeted
Replying to @GilbertPaul95
Ila waTz bhn😂😂mnajikuta mnahuruma akat nyie mkienda huko kwao mnabaguliwa
WAkupuyanga 🇹🇿 retweeted
Kama upo na jambo siriazi linakutatiza kwenye mahusiano,familia na ajira tafadhali njoo dm upate mawazo kidogo ya wadau
WAkupuyanga 🇹🇿 retweeted
Simba imenisikitisha......
Man united imenifedhesha....
Tumaini pekee limebakia kwa William Samoei Ruto🙏🙏🙏
Eeeeeeh Mungu unikumbuke na mimi nipate furaha japo kidogo
WAkupuyanga 🇹🇿 retweeted
kabla ya ukolon hatukuwah kuw na ukristo na uislam ,babu zetu waliishi vizuri na waliiomba miungu yao ikajibu kwa wakati ,shida imeanza tulipo ukataa uhalisia wetu na kufata din za kigeni tumekua tukisubir ahadi zisizo timia 😥😥 tujiangalie kuna mahali tunakwama
WAkupuyanga 🇹🇿 retweeted
Siwezi kupata dhambi peke yangu ni follow njoo DM kinyemela connection ya Woya.🔥🔥🔥🔥
WAkupuyanga 🇹🇿 retweeted
Wao: Ambao hamjapendezwa na ongezeko la mishahara andikeni barua za kuacha kazi
Sisi: 👇🏾
WAkupuyanga 🇹🇿 retweeted
Hivi ingekuwa kwenye interview ya ajira za sensa wangetakiwa kuandika haya majina kuna mtu angetoboa kweli🤣🤣🤣🙌🙌🙌
WAkupuyanga 🇹🇿 retweeted
Kazi yangu leo ni moja tu, kuhakikisha kila mtu anaongeza followers, chapa handle na umfollow atakae like handle yako..!!
Hivi kumbe mnao tudanganya mna connection kumbe mpango wenu ni kujiongezea followers na hamsemi 🤔❓
1













