🎩 International Comedian💣 (@Issa_Maproblem) header
🎩 International Comedian💣 (@Issa_Maproblem) profile picture

STREET EMPIRE 🏛 Actor📸 @ahadiseries Comedian🎬 @moyotvseries Creative Writter🕵 Voice Over Artist📻 @ibuatz Best Feature Film 2021🏆 @obambo_project

Joined February 2012
Photo by 🎩 International Comedian💣 (@Issa_Maproblem)Photo by 🎩 International Comedian💣 (@Issa_Maproblem)Photo by 🎩 International Comedian💣 (@Issa_Maproblem)Photo by 🎩 International Comedian💣 (@Issa_Maproblem)Photo by 🎩 International Comedian💣 (@Issa_Maproblem)Photo by 🎩 International Comedian💣 (@Issa_Maproblem)Photo by 🎩 International Comedian💣 (@Issa_Maproblem)Photo by 🎩 International Comedian💣 (@Issa_Maproblem)Photo by 🎩 International Comedian💣 (@Issa_Maproblem)Photo by 🎩 International Comedian💣 (@Issa_Maproblem)
Kuwa mjanja, jihakikishie kupata mkwanja unaotaka iwe kuweka au kutoa pesa kwa kutembelea Airtel Money Branch. Toa hadi milioni 5 kupitia Airtel Money Branch zilizoenea nchi nzima. Hamia Airtel kufurahia huduma za kijanja. #Kuwamjanja
1
15
MAFURIKO Yakija SAMAKI Hula MCHWA Lakini MAJI Yanapokauka MCHWA Humla SAMAKI..MAISHA Humpa Kila Mtu NAFASI Pale WAKATI Sahihi UNAPOFIKIA... #InternationalComedian🌍
1
7
Tulishapitia Kipindi Ambacho Masikio Yalisikia,Macho Yaliona Lakini Bado Moyo Ukasema Hapana.. #InternationalComedian🌍
7
CHUNGA Sana DHARAU Zako Usiwalete WATOTO Wa KIMASIKINI Uliokutana Nao UKUBWA...Maana MAISHA Yamewafunza MENGI... #InternationalComedian🌍 instagram.com/p/CtWL16aL6WS/…
5
Waweza Kutazama Full Interview Yang Kupitia @lokomatv_ Mtapata Kunifahamu Na Kujua Meng Juu Ya Sanaa Yang Na Maisha Pia.. #InternationalComedian🌍 instagram.com/p/Cs_bYYJIMGx/…
1
1
UBONGO Unaposema HAFAI Na MOYO Ukasema NAMPENDA ..VITA Hiyo Ni NGUMU Sana KUISHINDA.. @_bistar @sophiamgaz @ilhamrashid14 @haled_t @mchongo_tza #InternationalComedian🌍 instagram.com/p/CsvThaVrhG9/…
6
MAPAMBANO Yako Ni SEHEMU Ya HADITHI Yako .. Jaza KURASA Za KITABU Chako VIZURI Kiwe MFANO Bora Kwa WENGINE..... #InternationalComedian🌍 instagram.com/p/CsraxnVrIFi/…
3
WENGI Hufurahia KUSHINDWA Kwetu Kuliko KUFANIKIWA Kwetu...Hivyo WAKATI Wa KUFANIKIWA Tuna MAADUI Wengi Kuliko MARAFIKI... #InternationalComedian🌍 instagram.com/p/CsmtBmvoScG/…
2
Sisi Ndio Wale TULIOHITAJI Sana FARAJA ZAO Lakini BAHATI Haikuwa KWETU ... Sababu WALIKIMBIZWA Na SHIDA ZETU... @tabumtingita #InternationalComedian🌍 instagram.com/p/Cq7-Czjsfiq/…
13
LAITI Kama BAADHI Ya WATU Wangejua THAMANI Yao Ndani Ya MIOYO Yetu... Wangelia Kwa AIBU Kwa Matendo MACHAFU Wanayotufanyia.. #InternationalComedian🌍 instagram.com/p/CqoRwJstgSn/…