“Upinzani dhidi ya Ukandamizaji ni utiifu kwa Mungu”.
“(Resistance to Oppression is obedience to God)”
Kauli Mbiu inayoongoza Maisha ya Tundu Antipas Mughwai Lissu.
Mtumishi wa Mungu huyu.
Nilibahatika kulelewa na hawa Mapadri wafransisko wakapuchuni.
Ni watu wenye weledi na maadili yasiyotiliwa shaka na yoyote.
Ukiacha Ndugu Kessy kuna maskofu Katoliki wakapuchini na ni watu wa mfano.
Rais TEC Ndugu Wolfgang Pisa ( alienipa fursa ya Kuingia Seminarini Maua).
Baba Askofu Mkuu Rwaichi na Kinyaiya.
Watu wa kujishusha na kujinyenyekeza sana.
Jan 21, 2025.!
Hatua muhimu kuelekea Upinzani wa kweli na hatimaye Ukombozi wa Kweli kwa watu wetu….
He will get us there, kwa support zetu na neema za Mungu. – at Ilasit, Kenya