Ivona kamuntu (@IvonaKamuntu) header
Ivona kamuntu (@IvonaKamuntu) profile picture

Chief Anchor Uhai productions - (AZAM TV).Instagram; http/www.instagram.com/ivonakamuntu. Alumni @usembassyTz. Co host JLW @voaswahili. @WanifraWIN

Dar es Salaam, Tanzania
Joined November 2012
Photo by Ivona kamuntu (@IvonaKamuntu)Photo by Ivona kamuntu (@IvonaKamuntu)Photo by Ivona kamuntu (@IvonaKamuntu)Photo by Ivona kamuntu (@IvonaKamuntu)Photo by Ivona kamuntu (@IvonaKamuntu)Photo by Ivona kamuntu (@IvonaKamuntu)Photo by Ivona kamuntu (@IvonaKamuntu)Photo by Ivona kamuntu (@IvonaKamuntu)Photo by Ivona kamuntu (@IvonaKamuntu)Photo by Ivona kamuntu (@IvonaKamuntu)
Sometimes you are the problem, you can take all of the credit for the things you do right as long as you also take renspobility for the things you do wrong, MUST BE A BALANCE EQUATION!! 💬
25
30
293
Kuhusu Udiwani kata #Kazinaututunasongambele
34
38
5
141
17,263
🤣🤣🤣🤣🤣
Makala leo anajiona Diamond Platinum😃😃
1
8
1,204
Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) chini ya Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kikiendelea usiku huu Jijini Dodoma tarehe 28 Julai, 2025
14
22
5
180
17,414
📌RATIBA YA UTEUZI WA WAGOMBEA KWA AJILI YA UCHAGUZI MKUU 2025
58
45
5
198
44,691
Hongera sana Mungu akufanyie njia ndg.
This quoted post is unavailable.
4
9
1,279
MUNGU BABA WA MBINGUNI AENDELEE KUKUPA PUMZIKO LA AMANI BABU. Niwe muwazi sikugundua endapo nimemuita Richard Ngaila(Charles) ni @nurdinselemani alinishtua mwishoni kabisa. Namshukuru MUNGU kwa maisha ya Charles, pia kuniletea kijana aliyeamua kufuata ndoto yake kwasababu yetu
1
8
1,055
🤣🤣🤣 tuma CV
Ndugu @TheRealEkiswaga, bwana @KennedyMmari mpaka sasa kakataa kuniahidi nafasi ya Katibu wa Mbunge. Vipi nikutumie CV yangu?
3
2
596
Salaam Ndugu Zangu, Namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutupa uzima na leo kupata nafasi ya kuwasilisha hotuba ya bajeti ya Wizara ya Kilimo kama Waziri mwenye dhamana. Bajeti ya Wizara ya kilimo imeongezeka kutoka Shilingi Bilioni 294 mwaka 2021/2022 hadi Shilingi Trilioni 1.248 mwaka 2024/2025 sawa na ongezeko la asilimia 324.49; ii. Ukuaji wa sekta ya kilimo umeongezeka kutoka asilimia 2.6 mwaka 2021 hadi asilimia 4.2 mwaka 2023. Aidha, ukuaji wa sekta ya kilimo unatarajiwa kufikia asilimia 5 mwaka 2025 na asilimia 10 mwaka 2030; iii. Thamani ya mauzo ya mazao ya kilimo nje ya nchi imeongezeka kutoka Dola za Marekani Bilioni 1.2 mwaka 2019/2020 hadi Dola za 13 Marekani Bilioni 3.54 mwaka 2023/2024 sawa na ongezeko la asilimia 195. Endelea kufuatilia #BajetiYaWakulima leo 21 Mei na kesho 22 Mei 2025. Tunasonga Mbele.
41
50
2
121
6,263
Karibu sana kwenye habari ya AzamTV, Wakati wa Mungu ni wakati sahihi. See this Instagram post by @richardngailla instagram.com/p/DJ2PtlQqhPD/…
1
5
407
Babuuuuuu, umepambwa na mauwa mengi Mashallah, nimefanya ibada fupi nawe narudi nikaendelee na kazi. Kwa kheri babu 🙏
18
10
159
4,926
Nitatangaza leo, huzuni yangu nitaigeuza kuwa furaha uliyonifundisha na kutaka niwe wakati wote, ili moyo wangu usisinyae, nitatanguliza tabasamu langu likawe faraja kwa wote tutakaokukosa duniani, wakati huu nikijiandaa kukuaga babu Jumatano. #Babuuuuu
19
6
137
5,206