Janeth Joel Rithe (@JaneRithe) header
Janeth Joel Rithe (@JaneRithe) profile picture

National Chairperson of the Women's Wing @ACTwazalendo

Dar es Salaam, Tanzania
Joined August 2018
Photo by Janeth Joel Rithe (@JaneRithe)Photo by Janeth Joel Rithe (@JaneRithe)Photo by Janeth Joel Rithe (@JaneRithe)Photo by Janeth Joel Rithe (@JaneRithe)Photo by Janeth Joel Rithe (@JaneRithe)Photo by Janeth Joel Rithe (@JaneRithe)Photo by Janeth Joel Rithe (@JaneRithe)Photo by Janeth Joel Rithe (@JaneRithe)Photo by Janeth Joel Rithe (@JaneRithe)Photo by Janeth Joel Rithe (@JaneRithe)
Janeth Joel Rithe retweeted
Kiongozi wa chama cha @ACTwazalendo Ndugu, @SemuDorothy anaendelea na ziara ya mikutano ya hadhara ya kukutana na wananchi na kuwaeleza juu ya msimamo wa chama. ACT Wazalendo inaendelea kujijenga na kujiimarisha majimboni Tanzania nzima
1
5
1
6
468
Janeth Joel Rithe retweeted
📍Mashete Nkasi Kaskazini "Tumeona Samia akiapisha Tume ya usahili kwaajili ya tume huru ya uchaguzi, katika mazingira tuliyonayo sasa tungejikita kwenye kupata katiba mpya wananchi sio sarakasi zinazoendelea." Kiongozi wa @ACTwazalendo @SemuDorothy #Ukweli #Haki #Uwajibikaji
1
5
8
419
Janeth Joel Rithe retweeted
Kata kwa Kata mpaka kieleweke🔥 ACT Wazalendo Kazini
5
10
151
Janeth Joel Rithe retweeted
📍Mashete Nkasi Kaskazini "OCD jua wajibu wako, wajibu wako sio kuilinda CCM, katika jimbo hili la Nkasi Kaskazini na kata hii ya Mashete, CCM ni chama cha Upinzani, hivyo hatuhitaji Kibali chochote ili kukagua miradi ya maendeleo. " Mwenyekiti wa @NgomeyaWanawake @JaneRithe
2
5
8
204
Janeth Joel Rithe retweeted
"Rais Samia amewanunulia mabalozi wote wa nyumba 10 baiskeli na kila baiskeli inagharimu Sh 150,000 wakati wananchi wanakufa kwa kukosa huduma bora za afya. Kwa nini fedha hizo zisingetumika kuboresha huduma za afya kwa wananchi." Mwenyekiti wa @NgomeyaWanawake @JaneRithe
1
8
1
16
988
Janeth Joel Rithe retweeted
Sio haki📌
1
7
10
185
Janeth Joel Rithe retweeted
Demokrasia inadhihiri pale wananchi wanapokuwa na nguvu ya kuamua nani awe Kiongozi wao,mahakama zinapokuwa huru na hoja za kisiasa kujibiwa kisiasa. Hukumu dhidi ya @TunduALissu ni jaribio la wazi la kuzika mijadala ya kisiasa na kugeuza ukosoaji kuwa hatia.
8
20
1
64
3,346
Janeth Joel Rithe retweeted
TAARIFA KWA UMMA "Leo siku ya giza kwa utawala wa sheria, demokrasia na haki za binadamu nchini Tanzania." Kiongozi wa @ACTwazalendo @SemuDorothy #Ukweli #Haki #Uwajibikaji
11
35
3
112
3,425
Janeth Joel Rithe retweeted
Leo Novemba 4, 2026 Kiongozi wa ACT Wazalendo, Ndugu @dorothysemu atakuwa Main Fm kuanzia saa 2:00-3:00 asubuhi kujadili kuhusu ziara yake ya Mkoani Kigoma na mikoa mingine saba iliyoanza jana Novemba 3, 2026. #Ukweli #Haki #Uwajibikaji #TaifaLaWote #MaslahiYaWote
2
2
153
Janeth Joel Rithe retweeted
Leo 4/11/2026 Makamu Mwenyekiti Bara, Ndg @MchinjitaIR akiambatana na Naibu Waziri Mkuu Kivuli wa @ACTwazalendo Ndg Luhaga Mpina na Naibu Mwenezi, Ndg @ayo_shangwe; atafanya mkutano wa hadhara Kahama Mjini. Muda 9:00 Alasiri #Ukweli #Haki #Uwajibikaji #TaifaLaWote #MaslahiYaWote
4
6
224
Janeth Joel Rithe retweeted
Leo Novemba 3, 2026 Kiongozi wa @ACTwazalendo, Ndugu @SemuDorothy amehutubia mkutano wa hadhara Kata Kasimbu Jimbo la Kigoma Mjini. Katika hotuba yake Ndugu KC amesikitishwa na kupanda kwa gharama za maisha na kukithiri kwa umaskini licha ya uwepo wa rasimali lukuki za nchini.
9
10
213
Janeth Joel Rithe retweeted
VIDEO: "Makamu mwenyekiti hapa amezungumza suala la Nchimbi, yaani Makamu wa Rais eti anaweza akapotezwa tu, tukaambiwa tu amejiuzulu. Utaratibu haukufuatwa, Katiba haikufuatwa, kila kitu hakikufuatwa, mwana CCM mwenzao walikuwa naye kwenye sanduku la kupiga kura, Nchimbi alifukuzwa alipobadilisha tu maneno, alipokataa mambo ya hovyo akafukuzwa." amesema Mpina. Aliyewahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Kisesa kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Luhaga Mpina ambaye kwa sasa ni Mwanachama wa Chama cha ACT Wazalendo, ameeleza hayo Novemba 1, 2026 alipokuwa akizungumza katika Mkutano wa hadhara uliofanyika na wananchi wa jimbo hilo, ikiwa ni sehemu ya ziara ya Chama chake cha ACT Wazalendo Kanda ya Ziwa.
2
29
136
7,707
Janeth Joel Rithe retweeted
"Samia alisema ndani ya siku 100 atatekeleza mambo mengi ila leo Siku 370 toka aapishwe kimabavu na kuingia ikulu hakuna hata moja lililotekelezwa." Naibu Waziri Mkuu Kivuli wa @ACTwazalendo Luhaga Mpina #Ukweli #Haki #Uwajibikaji
2
19
28
289
Janeth Joel Rithe retweeted
"IGP Wambura ujiuzulu iwapo hujui waliofanya mauaji ya watu Oktoba 29." Makamu Mwenyekiti @ACTwazalendo @MchinjitaIR 👉🏿Leo Ndugu Mchinjita na Ndugu Mpina watakuwa kata za Butundwe na Katoro Mjini Mkoani Geita. #TaifaLaWote #MaslahiYaWote
8
15
251
Janeth Joel Rithe retweeted
Leo Novemba 3, 2026 Kiongozi wa @ACTwazalendo , Ndg @SemuDorothy amewasili uwanja wa ndege wa Kigoma na kapokelewa na viongozi wa kitaifa. Saa 9:00 Alasiri KC atafanya mkutano wa hadhara katika Kata Kasimbu uwanja Mwembemmoja. #TaifaLaWote #MaslahiYaWote
7
9
364
Janeth Joel Rithe retweeted
Leo Novemba 3, 2026 Makamu Mwenyekiti wa @ACTwazalendo Bara, Ndugu @MchinjitaIR amehutubia mkutano wa hadhara Katoro Mjini, Geita. Ndugu Mchinjita amemtaka Watanzania waichukie CCM kwani ndio chanzo cha kukithiri umaskini na hali ngumu ya maisha. #TaifaLaWote #MaslahiYaWote
4
9
236
Janeth Joel Rithe retweeted
Katoro Asanteni kwa upendo mkubwa kwa chama chenu ACT Wazalendo @ACTwazalendo Tutarudi tena 🙏🔥
4
5
175
Janeth Joel Rithe retweeted
Bendera ya Zambarau 💜💜💜💜💜
1
6
10
133