JATU PLC (@JatuPublic) header
JATU PLC (@JatuPublic) profile picture
Joined August 2019
Ushiriki wako katika miradi mbalimbali ya kilimo na Jatu inakuhakikishia soko la uhakika , usimamizi bora na mikopo ya kilimo bila riba kutoka Jatu Sacoss. ☎️0758 396767 (PICHA : shambani Morogoro-kilombero kwenye zao la Mpunga Jatu Plc)
2
Lima na Jatu zao la Parachichi mkoa wa Njombe, uvune faida kila mwaka takribani miaka 30 kwa kuzingatia soko la uhakika nje ya nchi na usimamizi wa kisasa kutoka JATU KILIMO. ☎️0758 39676
4
Pata hadi 40% ya gawio kila mwezi endapo ukinunua bidhaa za Jatu kwa kutumia App ya JATU MARKET #Kulaulipwe
2
Tunakutakia heri ya siku ya kuzaliwa Amiri Jeshi Mkuu, Raisi wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan @SuluhuSamia . Tunakuombea Afya njema , baraka na amani kwako ili uendelee kutuletea maendeleo chanya kwenye Taifa letu. #KAZIIENDELEE 🇹🇿
2
#Tunamshukuru Mwenyezi Mungu kwa neema ya mvua zinazoendelea kunyesha. Sasa mradi wetu wa Mahindi kutoka Kiteto Manyara msimu wa mwaka 2021-2022 unaendelea vyema. 🌑Instagram @jatu_pesa @jatu_talk @jatu_plc 🌑Tovuti jatukilimo.com / Jatu.co.tz
2
Zoezi la upandaji SOYA limeanza tayari 🙏🏿 . Tumezingatia ubora mkubwa wa mbegu ili kuendana na uhitaji wa soko letu la kimataifa . #JATU2022🌍
2
6
Kesho Kuanzia saa 2:00 asubuhi , kutakua na Semina ya Jatu kwa wakazi wa Mtwara ndani ya Jengo la Psssf House. Usikose, mjuze na mwenzako. 📞0745 910 265
1
Jumamosi ya kesho mkutano utaanza kuanzia saa 2:00 asubuhi pale Ubungo plaza Dar es salaam , blue pearl Hotel . Baada ya kesho, Jumapili itakuwa Mwanza ndani ya ukumbi wa Rock city mall. Wote mnakaribishwa. Mawasiliano zaidi: 📞0755 001 169 📞0758 396 767
1
2
Wana hisa na wakulima wote wa Jatu Wote tukutane kwenye mkutano maalumu utakaofanyika pale Dar es Salaam Ubungo Plaza , blue pearl hotel tarehe 07.08.2021 na tarehe 08.08.2021 kwa wakazi wa Mwanza. Mawasiliano: 📞0755 001 169 📞0758 396 767
2
4
Karibu kwenye maonesho ya Sabasaba , tembelea banda namba 56 la JATU upate fursa ya kununua hisa kwa urahisi ili uweze kushiriki kwenye kilimo bila stress kwa kukodi au kununua shamba msimu wa 2021-2022 .
1
14
Meneja mkuu ndugu. Mohamed Issa Simbano Kesho tarehe 17.06.2021 atakuwa live ndani ya PASSION BREAKFAST Kuanzia saa 2:00 -3:00 asubuhi kupitia radio ya PASSION FM . Mada ni UWEKEZAJI KATIKA SOKO LA HISA , usikose mjuze na mwenzako #buku5inatosha
3