Pinned Tweet
Kapcut 13,000/=
Kanva 5,000/=
Google AI Pro (Gemini, Flow AI..) 50,000 - Mwaka na miezi 6
Piga: 0622 032 919
The Godfather retweeted
So leo nikasema ngoja nijaribu hii schedule option kwenye hii update mpya ya 饾晱.
Post zote nilizopandisha leo nimezi-schedule mapema鈥攕ijashika simu ku-post.
Sasa hii ni major boost kwa bongo creators鈥攈akuna tena kipengele kwenye kuwa consistent.
Yours truly The Brand Wiz.
Kwenye biashara kuna wateja wengine ni wasumbufu tu na ni waongeaji kweli.
Kuna muda @Mudimabiriani namuona yuko sawa.
Mteja siyo mfalme.
2
125
The Godfather retweeted
Unaweza ukajituma na kujitoa sana kwa watu na bado wasione umuhimu wowote wala hisani kutoka kwako ,Paka pale utakapo husisha fedha.
Kila kiumbe kinaacha heshima yake zaidi sehemu penye manufaa.
Kujaza mifuko yako ni kitu bora zaidi unachoweza kujifanyia.
Kama lengo ni kujifunza ujue vitu kwa undani, uwe expert.
Usiajiriwe kwenye kampuni kubwa. Hapo hutajifunzi kinaga ubaga.
Badala yake tafuta kampuni linaloanza, kampuni dogo. Hapo utafanya kazi karibu na kila mtu.
Lakini kama unataka pesa tu. Nenda kwenye makampuni makubwax2
Maisha ni fumbo.
Nimekutana na jamaa baada ya miaka mingi kupita ama kweli sikutarajia kama ningemuona hivi alivyo leo.
Kipindi kile kula yake tu ilikuwa shida, hana kazi na majukumu alikuwa nayo mengi.
Leo hii ameshajenga, ana kazi yake, mambo yanaenda.
Kama ni kusoma vitabu umesoma sana. Kama ni kusikiliza podcast, videos na story za watu umesikiliza sana.
Ukijiangalia unajiona mbali, mipango miiingi.
Ukweli ni kwamba TAFUTA KAZI, FANYA KAZI kwa bidii. Hayo mengine yatakutia stress bure.
The Godfather retweeted
Tuanjua una nguvu,Akili na utashi,Lakini kama hujui namna ya tutafsiri hatua zako mwenyewe .
Utaishia kujiona mnyonge na usiye na Amri.
Soko la hisa la Dar es salaam DSE kuna nini? Siwezi ku login
Wanasema "check connection and try again"
6
188
Wafanya Biashara wa bongo
Hawajui hata maana ya Black Friday 馃槀
Nikiwa kama Balozi wa Kujitegema wa Mkulima Wine
Kuanzia Alhamisi mpaka Jumapili
Wine ya Lita 1 utaipata kwa Shilingi 9,000/= punguzo 10%
DIVAI ALBINO unaidaka kwa 10,800/= punguzo 10%
@MkulimaKante
Watu 10 tu馃憞馃徏
The Godfather retweeted
Let the young man in his desperation go out and hunt. If he kills the elephant, his poverty ends. If the elephant kills him, his poverty ends.
The Godfather retweeted
Ni vile unajiangaisha na kujitesa kutaka kueleweka,Ila kuna vitu havielezeki kapa mtu a- experience Mwenyewe.
Hakuna kitu cha maana duniani kama kupambania ndoto yako.
Watu watakuona hauna maana, hawakuheshimu, wanakudharau.
Baada ya miaka kumi watakusalimia kwa heshima.
Usiiache ile ndoto yako.
Kumbuka tunaishi mara moja tu duniani
Haitajirudia tena, ukienda umeenda
Ishi maisha yako, usiwasikilize sana
Watakupoteza.
The Godfather retweeted
Kukubali kuwa unaweza kujiboresha na kuwa kile unachotaka,bila hofu ,ni uwezo wajuu wa akili.
The Godfather retweeted
Wakuu naombeni repost 100馃檹馃従馃檹馃従
Hizi ni CONCELEAD shower mixers zinauzwa bei nafuu ajabu.
Kwa wale ambao wako kwenye michakato ya ujenzi wa kisasa zinafaa mno.
Zinapatikana kwa Rupee Plumbing Solutions Co.Ltd, Mabingwa kabisa wanauza hadi nje ya Tanzania na mikoani wanatuma.
Mawasiliano :0621059547 & 0716018071 namba zote zipo whatsapp
Karibuni sana mataikuni馃搷馃搶











