JUKWAA LA VIJANA MAILIMOJA. (JVM) (@JukwaaM) header
JUKWAA LA VIJANA MAILIMOJA. (JVM) (@JukwaaM) profile picture

This is a forum where young people get together, discuss and find ways to solve challenges in their issues of leadership and citizenship,Health,Sport and Econ.

Kibaha-Mailimoja, 0684179928.
Joined October 2019
Photo by JUKWAA LA VIJANA MAILIMOJA. (JVM) (@JukwaaM)Photo by JUKWAA LA VIJANA MAILIMOJA. (JVM) (@JukwaaM)Photo by JUKWAA LA VIJANA MAILIMOJA. (JVM) (@JukwaaM)Photo by JUKWAA LA VIJANA MAILIMOJA. (JVM) (@JukwaaM)Photo by JUKWAA LA VIJANA MAILIMOJA. (JVM) (@JukwaaM)Photo by JUKWAA LA VIJANA MAILIMOJA. (JVM) (@JukwaaM)Photo by JUKWAA LA VIJANA MAILIMOJA. (JVM) (@JukwaaM)Photo by JUKWAA LA VIJANA MAILIMOJA. (JVM) (@JukwaaM)Photo by JUKWAA LA VIJANA MAILIMOJA. (JVM) (@JukwaaM)Photo by JUKWAA LA VIJANA MAILIMOJA. (JVM) (@JukwaaM)
JUKWAA LA VIJANA MAILIMOJA. (JVM) retweeted
Mambo vipi #VijanaMakini Leo tunaanza kampeni yetu kabambe kueleweshana kuhusu #BarazaLaVijanaTz ambapo tutafahamu mambo mengi kwa kufatilia account zetu za Instagram, Facebook, Linkedln na Twiiter. Lijue Baraza la Taifa la Vijana Nchini Tanzania kupitia kampeni hii.
2
19
1
28
JUKWAA LA VIJANA MAILIMOJA. (JVM) retweeted
Baraza la Taifa la vijana ni muhimu kwani ni chimbo kinachowaunganisha vijana wote na ni jukwa la vijana kutoka Vyama vya siasa, mashirika yasiyo ya serikali, vijana wajasiriamali wakubwa na wadogo, walemavu n.k kuanzia ngazi ya Kata, Wilaya, Mkoa na Taifa. #BarazaLaVijanaTz
1
12
21
JUKWAA LA VIJANA MAILIMOJA. (JVM) retweeted
10

Kuwepo na #BarazaLaVijanaTz litasaidia kutoa nafasi kwa Vijana kuwa mstari wa mbele katika kushiriki Shughuli za Maendeleo na mabadiliko katika jamii yao na nchi kwa ujumla.
3
14
17
JUKWAA LA VIJANA MAILIMOJA. (JVM) retweeted
1
12
27

Mambo Vipi, Hii si ya Kukosa. Asasi ya Dira ya Vijana Tanzania TYVA imeandaa mdahalo maalumu siku ya Alhamisi 30/4/2020 kuanzia saa 06:00 Mchana hadi 08:00 Mchana kupitia Mtandao wa ZOOM. MADA "Athari za Ugonjwa wa #COVID19 kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2020 Tanzania" #DiraYaVijanaTz
8

Tuchukue tahadhari na tuwakinge na wale walio kwenye mazingira hatari zaidi.. #CoronaTutaishindaPamoja
JUKWAA LA VIJANA MAILIMOJA. (JVM) retweeted
Mambo Vipi, Hii si ya Kukosa. Asasi ya Dira ya Vijana Tanzania TYVA imeandaa mdahalo maalumu siku ya Alhamisi 30/4/2020 kuanzia saa 06:00 Mchana hadi 08:00 Mchana kupitia Mtandao wa ZOOM. MADA "Athari za Ugonjwa wa #COVID19 kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2020 Tanzania" #DiraYaVijanaTz
2
19
1
37
JUKWAA LA VIJANA MAILIMOJA. (JVM) retweeted
UTARATIBU WA MANUNUZI. Tangazo la Zabuni; Tangazo kuhusu zabuni za mpango huu litaweka bayana kuwa zabuni hizo zimetengwa mahususi kabisa kwa ajili ya Makundi Maalumu ya Kijamii (Vijana 10%, Wanawake 5%, Wazee 5% na Watu wenye ulemavu 10%) @taneps_tz #KumiYaVijana
4
7

Taratibu za ushindani zitafwatia, na kupata mshindi atakaepata mkataba wa umma #KumiYaVijana
5
10
JUKWAA LA VIJANA MAILIMOJA. (JVM) retweeted
Manunuzi kuwa ya ushindani. Manunuzi ya bidhaa, ujenzi na huduma chini ya mipango hii itaendeshwa kwa kufuata taratibu za ushindani miongoni mwa vikundi maalumu vya kijamii vyenye sifa za kushiriki. @taneps_tz #KumiYaKijana
16
17
JUKWAA LA VIJANA MAILIMOJA. (JVM) retweeted
UTARATIBU WA MANUNUZI. Tangazo la Zabuni; Tangazo kuhusu zabuni za mpango huu litaweka bayana kuwa zabuni hizo zimetengwa mahususi kabisa kwa ajili ya Makundi Maalumu ya Kijamii (Vijana 10%, Wanawake 5%, Wazee 5% na Watu wenye ulemavu 10%) @taneps_tz #KumiYaVijana
21
27
JUKWAA LA VIJANA MAILIMOJA. (JVM) retweeted
UTARATIBU WA MANUNUZI. Tangazo la Zabuni; Tangazo kuhusu zabuni za mpango huu litaweka bayana kuwa zabuni hizo zimetengwa mahususi kabisa kwa ajili ya Makundi Maalumu ya Kijamii (Vijana 10%, Wanawake 5%, Wazee 5% na Watu wenye ulemavu 10%) @taneps_tz #KumiYaVijana
6
8
JUKWAA LA VIJANA MAILIMOJA. (JVM) retweeted
Kanuni ya 30C(1) ya Tangazo la Serikali Na.446 la 2013 na Marekebisho yake ya 2016, Taasisi Nunuzi zinatakiwa kutenga kwa upendeleo mahususi 30% ya manunuzi yake kwa mwaka kwenye bidhaa, ujenzi na huduma kwa Makundi Maalum ya Kijamii ambayo yapo ktk mipaka yake. #KumiYaVijana
7
11

Majukumu ya Mamlaka ya udhibiti wa Manunuzi ya umma- PPRA @taneps_tz #KumiYaVijana
7
8
JUKWAA LA VIJANA MAILIMOJA. (JVM) retweeted
Asasi ya Dira ya Vijana Tanzania TYVA inaungana na wananchi wote katika kumbukizi ya Hayati Sheikh Abeid Amani Karume Rais wa kwanza wa Zanzibar. 'Jikinge na Wakinge Uwapendao na #COVID19 inazuulika' #KarumeDay #TYVAVijana #VijanaMakini
23
41
JUKWAA LA VIJANA MAILIMOJA. (JVM) retweeted
Dhamana za zabuni; •Hakuna dhamana za zabuni zitakazohitajika kutoka kwa taasisi zinazomilikiwa na Makundi Maalumu ya kijamii. •Kundi litakalo nufaika litalazimika kujaza na kusaini Fomu ya Tangazo la Kulinda Zabuni kama ilivyowekwa katika mwongozo. #KumiYaVijana
JUKWAA LA VIJANA MAILIMOJA. (JVM) retweeted
Dhamana za zabuni; •Mzabuni yoyote kutoka kwenye Makundi Maalumu ya Kijamii ambaye atashindwa kuzingatia masharti ya Fomu ya Tangazo la Kulinda Zabuni atawajibika na kuondolewa kwenye zabuni kwa mujibu wa kifungu cha 62 cha Sheria. @taneps_tz #KumiYaVijana
17
19
JUKWAA LA VIJANA MAILIMOJA. (JVM) retweeted
Kanuni ya 30C(1) ya Tangazo la Serikali Na.446 la 2013 na Marekebisho yake ya 2016, Taasisi Nunuzi zinatakiwa kutenga kwa upendeleo mahususi 30% ya manunuzi yake kwa mwaka kwenye bidhaa, ujenzi na huduma kwa Makundi Maalum ya Kijamii ambayo yapo ktk mipaka yake. #KumiYaVijana
2
25
1
38
JUKWAA LA VIJANA MAILIMOJA. (JVM) retweeted
Hashtag ya #KumiYaVijana inakusogezea utaratibu na namna vijana wenye makampuni yanayotoa huduma na bidhaa wanaweza kunufaika na tenda zinazotolewa na serikali. Sio kitu cha kupuuza na kuja kulalamika vijana hatupati fursa.
12
71