Kentsuh Wrudate (@KWrudate) header
Kentsuh Wrudate (@KWrudate) profile picture

Tanzanian ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ -Your income is what's handsome โœŒ๐Ÿพ -loves rally; petrolhead. Let's talk about cars anytime๐Ÿ› ๐Ÿ‘จ๐Ÿพโ€๐Ÿ”ง -you don't need religion 2b a good person

Arusha, Tanzania
Joined September 2019
Photo by Kentsuh Wrudate (@KWrudate)Photo by Kentsuh Wrudate (@KWrudate)Photo by Kentsuh Wrudate (@KWrudate)Photo by Kentsuh Wrudate (@KWrudate)Photo by Kentsuh Wrudate (@KWrudate)Photo by Kentsuh Wrudate (@KWrudate)Photo by Kentsuh Wrudate (@KWrudate)Photo by Kentsuh Wrudate (@KWrudate)Photo by Kentsuh Wrudate (@KWrudate)Photo by Kentsuh Wrudate (@KWrudate)
So hyped to capture the night with #GalaxyS26Ultraโ€™s #Nightography. Looking forward to shots that are clear and bright, even at night! ๐Ÿ˜ #GalaxyAI
Link preview

131
She be like..
This post is from a suspended account. Learn more
2
80
Hapa najua muhindi kakusanya kilicho chake
Bookmark this tweet, Liverpool is going to have a comfortable win today.
71
Kumbe serikali inatekaga๐Ÿ‘€
Replying to @Kipanga1986
Serikali kumteka Sativa haikua bahati mbaya bali waliwaza mbali sana
50
Punguza vitisho kijana..
(โœ๏ธ na mchambuzi wetu) WANAHARAKATI WANAHUSIKA NA MACHAFUKO TANZANIA ๐Ÿ“Œ Nataka tuweke rekodi sawa ili muda ukifika watu wasije kusema wanaonewa!. Naweka rekodi sawa ili wahusika wa machafuko yakiyotokea Tanzania wajue uhusika wao. Maria Sarungi na kundi la wanaharakati wenzake wa Kenya na Marekani wakae wakijua kuwa wamehusika kwa 100% kuchochea machafuko yaliyopelekea vifo vya watu Tanzania kwenye vurugu siku ya uchaguzi. Walianza kwa kujaza watu chuki na kuwaonyesha magari na mali za watu wanazomiliki na kuzihusisha na fedha za umma bila kuwa na ushahidi! Wakajipapatua sana kuposti akaunti za bank za wahusika ili kutia hasira watu na kuwachochea kufanya vurugu. Wametuhumu watu bila kuwa na ushahidi lakini lengo lilikuwa kutia watu hasira ma wakafanikiwa kwa kiwango kikubwa sana. Wakahimiza watu kutokeza siku ya uchaguzi na kuandamana na kuvuruga uchaguzi iliwemo kuharibu vituo vya kupigia kura ,majengo ya serikali na wanasiasa walioko CCM. Na kweli tukaona hayo yametokea. Wakawapa watu ramani na wapi pa kwenda na kuchoma moto maana yake haya waliyaratibu kwa muda mrefu sana na kwa umakini mkubwa sana. Wakahimiza watu kuchoma vituo vya mafuta,vituo vya mabasi ya mwendokasi na mabasi yenyewe kwa kigezo cha kuandamana! Yale hayakuwa maandamano ya amani yalikuwa ni machafuko yakiyochochewa na wanaharakati. Vurugu zikawa kubwa na kwa taarifa zilizopo ni kuwa walishirikiana na Askofu wao wa mchongo kuingiza "criminals" nchini kutoka Kongo, Burundi na Kenya wakawapa silaha na ndiyo waliohusika kutekeleza mauaji ya kiholewa ya watu mitaani!. Wanapiga risasi kila wanayemuona njiani! Tulionya hapa kuwa Andrea Mpambazi ameingiza mabunduki na risasi nchini kutoka Kongo na Burundi hamkusikia kabisa mkadharau nyie watu wa vyombo vya ulinzi lakini sasa mziki mmekutana nao mmeelewa tulichokuwa tunawaambia. Wanaharakati hawa baada ya kuona vurugu zimepamba moto wakaendelea kuchochea vijana kuandamana na kuelekea Ikulu kwa lengo la kupindua serikali. Huu ulikuwa ni uasi na hakuna sehemu duniani wahalifu wataachwa wasogelee Ikulu hata iweje. Wanaharakati hawa wakatumia propaganda kuwaaminisha vijana kuwa waandamane na jeshi liko nyuma yao na litawalinda kupindua serikali na walivyokosa akili wakatii na kuendelea kufanya fujo na kuchoma moto mali za umma na watu. Hata baada ya IGP kutoa tamko la watu kutokutoka nje wanaharakati hawa wakaendelea kuchochea waandamanaji kukaidi amri hiyo na kuendelea kuandamana na kuleta vurugu na wakaendelea kutishia kuwa hakuna kutangazwa matokea ya uchaguzi! Kuna mwingine wa huko CHADEMA akaagiza watu wavamie maduka ya MO, Azam na Bakhresa kupora chakula. Mwingine akawa anaaagiza watu wachome moto ma tanker ya mafuta ya ASAS.! Sasa ni hivi nawakumbusha kuwa kwenye mauaji ya Rwanda ya mwaka 1994 kuna mapadre na watangazaji wa radio walijikuta wako ICC kwa kuchochea mauaji na machafuko yale! Walichokifanya wale hakina tofauti na mlichokifanya kwa kujitia nyie ni wanaharakati. Kwa hali yoyote ile machafuko na vurugu hizi zimeratibiwa na kutekelezwa na wanaharakati hawa akiwemo Maria Sarungi na mauaji ya kila kijana wa kitanzania damu yake iko kwenye mikono yake na lazima huyu ashughulikiwe haraka sana!.. Serikali mnajua aliko yeye na hao wenzake wanaopayukapayuka kwenye ma tv huko Al Jazeera!.. wako Nairobi -Kenya na kwa ushiriki wao kwenye machafuko haya waombeni waletwe kukabiliana na machafuko waliyosababisha! Hatuwezi kukaa kimya na kuona damu za watoto wa wangu zimemwagika kiasi hiki halafu waliosababisha na kuwachochea wako Kenya na Marekani wanaendelea kuchochea vurugu ! Hizi wanazofanya siyo harakati huu ni uhalifu na hiki ndicho akichokuwa anasema Chiba kuwa watachochea uasi na watatafuta mabunduki! Sasa wameweza kuleta vikundi vya criminals ndani ya nchi kuuwa watu na kutaka kupindua serikali!..Hawakuwa wanatania walikuwa wanajua wanafanya nini na wametekeleza hilo na limeacha makovu makubwa sana kwa hili taifa! #KigogoMediaUpdates
53
Wanaharakati wa Kenya mnasemaje? Here is the statement ๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„
43
Kumbe mmewauwa ili tukome kudai haki zetu kwa nguvu mkishindwa kutekeleza?
Hayo ni matunda ya kuchochea vijana kufanya uasi na kutaka kupindua nchi!.. Hakuna mahaki duniani dola itakunali kuchezewa kwa kiasi kile! Unachoma moto mali za watu ,majengo ya serikali ,miundi mbinu na kuyaita maandamano! Ule ni uhalifu na ugaidi kwa hiyo umekutana na nguvu na mkono wa dola!.. Baada ya hapa watu watakoma kufuata mkumbo wa mambo ya wanaharakati walioko nje na wana kazi ya kuchochea vurugu ndani ya Tanzania!.. Yale siyo maandamano uke ni uasi kamili!..
74
Location ni wapi?
The sworn in ceremony of the 7th President of URT is underway Wale wanaharakati wana lolote?Jeshi linawalinda kuandamana au vipi? MTAJUA HAMJUI YAANI...
50
Jeshi limegoma kufuata amri zenu mkaona muite wahuni toka nje, sindio?
MTAJUA HAMJUI... Si wanajeshi wanawalinda au ?
56
Piteni mtaani uulize wananchi kama wana maoni gani au fungulia mitandao tuskie wana maoni gani
Cheti tunacho au hatuna? Wanaharakati mamluki mna lolote la kusema? MTAJUA HAMJUI ๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„
75
Wait. ๐Ÿ˜ƒ Ngoja tuone wananchi walio wengi wako upande gani
Hamjafika Ikulu ! Si mlisema Rais Samia amekimbia nchi ama? MTAJUA HAMJUI ๐Ÿ˜„
75
Who voted?
Tanzania is not part of Europe and it will never be! Kama hujui INEC imetangaza matokeo just now and the winner is CCM by 97% ๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„
67
Yeah. As I can see here. Jeshi (JWTZ) wakipambana na waandamanaji๐Ÿค” xitter.gq/C_NyaKundiH/status/198โ€ฆ
TAHADHARI YA BURE ๐Ÿ“Œ Msidanganyike eti jeshi limewaambia mtoke muandamane sasa muanze kudai Tanganyika yenu na blah blah za hivyo!.. Toka siku ya kwanza mmechochewa kufanya vurugu na kuharibu mali za umma na mengineyo.! Sasa hivi ndiyo mnaona umuhimu wa kuandamana kwa amani? Leo mnaambiwa msichome moto vitu bali mbebe mabango sijui kudai Tanganyika na blah blah zingine. Tanganyia ipi? Halafu hilo jeshi lipi linalosema tokeni muandamane? Hili la JWTZ au jeshi la wokovu? Wahusika wanajua wanachokabiliana nacho kwa sasa na wanajua kitakachofuata baada ya hapa ,sasa wanaanza ku sanitize mipango yao iliyogharimu maisha ya watu wengi sana na kuhubiri amani.!.. Huwezi ingiza criminals nchini toka Congo na Burundi na kuanza kuchochea watu kuandamana na kuwauwa watu halafu saa hizi mseme sijui maandamano ya amani! Shililieni hapo hapo maana waliokamatwa wamenyoosha maelezo ya uhusika wa Askofu wenu wa mchongo na nani anawafadhili! ITAFAHAMIKA TU MBONA..! #KigogoMediaUpdates
1
1
254
Hao wahuni mlioingiza kutoka Uganda hawajui kiswahili wanauwa watoto wa mtaani na watu wasio na makazi. Wanashindwa kutofautisha kati ya waandamanaji na homeless kisa language barrier!
Huwa mnapenda sana kujidanganya na kujipa moyo na matumaini kwenye mambo ya ajabu ajabu sana. CDF ni mtu wa kuandikiwa mambo au vitu? Yaaani mnawaza kabisa eti jeshi lichukue nchi! Jeshi lipi? Hili linaloning'inia kwenye magari na kupunga upepo? Kama lingekuwa na huo uwezo linangoja nini mpaka sasa? Au sasa hali ni nzuri? CDF kasema hawa ni wahalifu na from today watadeal nao kama wahalifu na siyo waandamanaji! Acheni kudanganya watu! Acheni ku brainwash watu - wameshakufa sana na bado mnataka waendelee kufa au? Nyie watu bwana!..
1
96
He's making sense though? Tunastahili kupata mabadiliko ya kikatiba!
STUPID kabisa.. Mnadhani Tanzania ni Kenya.. Hii ujinga pelekeni Kenya siyo Tanzania.. New constitution au interim government siyo kama matako yako kwamba unashikashika tu kila saa ukitaka! ๐Ÿšฎ
1
7
362
Oh... mmerudi wazee wakutiki๐Ÿ˜‚
Huwa sijui unakuwaga unawaza nini akilini mwako!..
1
82
Nakubaliana... mwenyewe nilikua nacheka kinoma๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
This quoted post is unavailable.
1
140
Hahahahah
Replying to @kigogo2014
MBONA HAWAONEKANI MAANA AU WANAANDAMANA MITANDAONI๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ MTANDAONI๐Ÿค” ENEO LA TUKIO๐Ÿ˜
1
93
Copy and paste mpaka typo๐Ÿ˜ƒ
UKWELI WA MAMBO NI HUU Baada ya Uchaguzi wote WALIOJITEKA waliotengeneza sinema za kutekwa na dola watajitokeza na kutoa ushuhuda za uwongo kwamba walitekwa na kuteswa. Wanapaswa kuja kukamatwa na kutuambia watanzania ukweli na kuwaanika wafadhili wao ili mazoea hayo ya kumchafua Rais Wetu yakome. Ukweli usemwe! ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Mama Samia ni kiongozi mvumilivu, mwenye hekima na upendo wa dhati kwa Tanzania. ๐Ÿ’š Ametuletea amani, maendeleo na umoja. โœจ Oktoba 29 tujitoe kwa wingi kumpigia kura nyingi โ€” tuthibitishe upendo wetu kwake. Mama Samia ni zawadi kwa Watanzania wote! ๐Ÿ™Œ๐Ÿ’›๐Ÿ’™
78