Pinned Tweet
Maybe not today, maybe not tomorrow, and maybe not the next month. But only one thing is true, I will be a champion one day. I promise.
🗣️ Brandon Moreno
Kilo-Volt retweeted
Kwa anaemjua huyu mwanafunzi aje DM apelekewe vitambulisho vyake amevidondosha road.
By msamaria mwema simioni.👏🏿
Rt ziwe nyingi.
Kilo-Volt retweeted
Statistics zinasema 54.3% ya watoto wakiume chini ya miaka 18 wanalelewa na single mothers, kumaanisha katika watoto wakiume 100, watoto 54 wakiume wanakaa na mama zao tu bila uwepo wa baba zao ambao wamewekwa katika mabano (telekeza, yupo mbali au amefariki)
🧵
Kilo-Volt retweeted
Napiga VITA Ushoga, Mashoga na vyote vinavyofanana nayo, Lakini hii sio Njia BORA ya Kudhibiti, Adhibu au Pambana na Ushoga.
Anae-practice USHOGA hafanyi peke yake, Mwenzake (Tusiemjua mimi na Wewe yuko wapi?). Jamii inahitaji ELIMU ya MALEZI, DINI na Misingi kabla ya ADHABU📍
Kilo-Volt retweeted
Nmechelewa kwenye huu mjadala ila nataka kukufahimisha kwamba mwanamke ana mapendeleo ma kubwa mno na nakuonya usije kupewa inspiration na mafanikio ya mwanamke yani nakuonya.
Coz ukipewa inspiration na dem basi mgongo utakua hatarini yangu ni hayo tu bro. 👏🏿
Kilo-Volt retweeted
Sio kwa ubaya, wanawake tunawapenda mnoooo. Ila wana akili mbovu saaaana.
See what they're commenting and writing and posting.
Sio kwa ubaya lakini 📌.
I will say this as a woman & at the risk of being cooked & called a pickme...
A woman will NEVER get everything from one man, our needs are insanely 'diverse' so don't kill yourself to please us



























