BUSINESS | ENTREPRENEURSHIP || FARMER | GOD |

On My Lane
Joined December 2024
Does the Dangote refinery mean cheap fuel prices for Kenya and East Africa?
236
373
58
2,872
147,174
Kimath!. retweeted
Kamau and the tribe is proud 😂😂
Naona umeweka maua kwa kichwa!
1
1
42
Kimath!. retweeted
Crying 😂😂😂
10
28
1
151
13,121
Kimath!. retweeted
Ile mchezo inachezwa hapa... So zimeanza kupanda🤣
5
12
25
653
Kimath!. retweeted
Mwambaje captains. Hii ni ile inaitwa Ghisa Alele. Mko?
1
2
7
147
Kimath!. retweeted
So I am here in the locals, sipping my Richot politely, when a man walks up to my table and greets me with a deep Luhya accent, “Apari, Ras? Nisongeako kidogo tukae, unajua wanaume wanafurahia wakiwa pamoja.” I just sense that this guy is a vibe. We sit together, and the first story he tells me is, “Okopa wanawake!” 😂😂 Mimi kuskia hivyo, naambia waiter aongeze tumbler tukunywe hii yangu as I get to hear what happened. So, jamaa ananiambia alichukua mumama wa Kiambu a few years ago. The lady managed to convince him wauze kashamba kake wafungue biashara. Jamaa akauza shamba, akapea bibi pesa, and the lady opened a salon. Sasa jamaa analalamika haoni pesa yoyote kutoka kwa huyo mama, yet he is still expected to sort out all the bills at the same time. But unajua funny part ni gani? Huyu madha ako na tumzigo tutatu, na my guy here hana hata pikin mmoja na yeye! Sasa ananiuliza afanye aje. Nimemshow, Tukunywe pombe kwanza, mambo ingine atajua mwenyewe. Watu wanakapitia huku nje jameni.
13
26
1
84
3,677
Kimath!. retweeted
These pretty Kalenjin babes mnawaonanga hapa online mnawatamani lakini I can tell you for a fact ni ngumu sana uwapate. I have lived in Eldoret for many years and I can tell you ni ngumu sana ukutana na hao watoto mali safi. Sijui wanakuanga wamefichwa wapi exactly.
36
73
6
201
6,255
Kuna Boyz wangu ati ni class teacher kwani we are that old 😂😂😂
81
603
14
4,218
69,967
Kimath!. retweeted
Kuna risky message nimerusha saisai, nimengoja double ticks ziingie hivi kama nimezima data, ata sijui nguvu imetoka wapi, acha nioshe hizi viombo za juzi ndio nipike supper leo.
38
114
1
483
6,246
Kimath!. retweeted
Salaried friends ata huwezi jua wamelipwa, wakianza kulalamika ati pesa yote imeishia kwa bills ndio unajuanga walilipwa like 3 days ago.
16
60
99
891
Huyo jamaa alikuwa amelala kwa nyumba ya huyo dame najua aliamka akaingia TL akashtuka
4
14
65
741
Nikikuja kwako alafu ukate avocado bila kuiosha siikuli.
13
20
53
624
Kimath!. retweeted
Tukimalizia hii class mmesema ni Jameson ama Konyagi inanasa?
2
6
83
860
Kimath!. retweeted
Life is funny. I’ve just seen a viral video of a guy who apparently graduated some years ago but is now collecting plastics, making about KSh 30 a day. Meanwhile, there’s a millionaire somewhere who never even set foot in a classroom. Hakuna formular ya maisha walai.
17
53
132
2,036
Kimath!. retweeted
For the last time Kuna mtu ako single tusaidiane before El Nino itupate unprepared
11
51
1
98
722
Hii apo heri upikwe juu ya vitu zingine lakini si sex scandal 😂😂
4
13
41
1,605
Kimath!. retweeted
I'm taking a bro for a shopping today.
1
1
6
287
Kimath!. retweeted
Unateka msupa anaingia box yako haraka hadi unashangaa rada ni gani hapa, kumbe ni mboch mahali.
17
55
105
817
Uku unaeza tweet upate two likes, lakni siku unapikwa hizo tweets ndio tunatumia kukugeuza😂
17
98
544
3,984
Kimath!. retweeted
"Tutaingia katika nyumba zenu, tutaingia katika maeneo yote ya taifa hii, na kijana ambaye amechaguliwa kwa muhula mmoja pekee kama senator ataweka historia ya kuwa rais katika taifa hili la Kenya" ~ Edwin Sifuna, 2026.
4
119
524
2,719
Kimath!. retweeted
Mkibishana na gals wa twitter ukue lucky upate picha yake amewekwa maua kwa kichwa inakuanga direct win
Naona umeweka maua kwa kichwa!
2
17
853