MAISHA YA MWANAUME SIO MEPESI HATA KIDOGO
Yamejaa Vita Vyenye Mapambano Makali Sana,Dhoruba Zisizoonekana,Na Mizigo Mizito Inayobebwa Kimya Kimya Vifuani.
Sio Kila Kilicho Moyoni Husemwa.
Kuendelea Kusimama Imara Kunahitaji MUNGU,Hekima,Uvumilivu Na Busara Ya Hali Ya Juu.✍🏼
1. Usiogope Kuwatendea Watu Vile Jinsi Wanavyokutendea Wewe.
2. Usimpe Mtu Heshima Ambayo Yeye Mwenyewe Haithamini.
3. Usiendelee Kuwa Mwema Kwa Watu Wanaotumia Wema Wako Kama Udhaifu.
4. Weka Mipaka Pale Unapodharauliwa
5. Ondoka Pale Ambapo Uwepo Wako Hauna Maana.
Mungu Asante Kwa Kunilinda Usiku Kucha Na Kunipa Nguvu Ya Kuamka Salama.Niongoze Katika Kila Hatua,Uamuzi,Na Maneno Nitakayotamka Leo.Nipe Ufahamu Na Hekima Ya Kukabiliana Na Majukumu Yangu Yote Kwa Utulivu Na Uaminifu.
Amen🙏🏼🙏🏼🙏🏼
GOOD🌄MORNING
Kuwa Na Nafasi Katika Maisha Ya Watu Ni Jambo Zuri Lakini Kuwa Na Maisha Yako Mwenyewe Ni Jambo La Lazima.
Usijenge Utambulisho Wako Kwenye Mahitaji Ya Wengine Kiasi Kwamba Siku Watakapokuwa Hawakuhitaji Tena,Nawe Ukose Sababu Ya Kuishi Kwa Furaha.
Mungu Wangu,Nakushukuru Kwa Kunipa Zawadi Ya Uhai Na Siku Hii Mpya.Niongoze Kwa Hekima Yako,Unilinde Na Mabaya Yote,Ukawe Nuru Kwenye Njia Zangu.Unisamehe Makosa Yangu Na Unipe Neema Ya Kutenda Yaliyo Mema Mbele Zako Na Kwa Watu Wengine Leo.
Amina🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Good🌄Morning Fam🫂
Mungu Nakushukuru Kwa Kunipa Siku Hii Mpya.Naweka Mikononi Mwangu Mwili Wangu,Akili Yangu,Na Kazi Zangu Za Leo.Uniongoze Unilinde Na Mabaya Yote,Ukawe Ngao Yangu Na Nguvu Yangu.Nipe Kibali Mimi Na Familia Yangu Leo,Na Ukajibu Haja Za Moyo Wangu Kwa Utukufu Wako.🙏🏼
Good Morning
Ukishajua Thamani Ya Kile Unachosimamia,Kelele Za Mtaani Haziwezi Kubadili Mwelekeo Wako.Endelea Kusonga Mbele Kwa Msimamo;Waliotangulia Walipita Kwenye Njia Hiyo Hiyo Ya Kujitambua. 🌍
Mungu Nakushukuru Kwa Kuniamsha Salama Asubuhi Ya Leo Na Kwa Ulinzi Wako Usiku Kucha.Niongoze Katika Kila Hatua,Nipe Hekima Katika Maamuzi Yangu,Na Unijaze Amani Na Ujasiri Siku Hii Yote.Bariki Kazi Za Mikono Yangu, Familia Yangu,Na Wote Ninaokutana Nao.🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Good🌄Morning
Tujifunze Kuheshimiana Na Kutodharau Udhaifu Wa Mwingine Leo;Maisha Yana Tabia Ya Kubadilisha Nafasi Za Watu Bila Kutoa Taarifa.Leo Ni Zamu Yake,Kesho Inaweza Kuwa Yako.✍🏼
Uaminifu Ni Zawadi Ghali Zaidi,Usitegemee Kuupata Kutoka Kwa Watu Dhaifu Wa Akili Na Watu Wenye Moyo Wa Tamaa.
Mungu Nakushukuru Kwa Kuniamsha Salama Leo Na Kwa Rehema Zako Mpya Kila Asubuhi.Niongoze Katika Njia Zako Leo,Nipe Busara Katika Maamuzi Yangu,Na Ukafanye Kazi Za Mikono Yangu Ziwe Za Baraka.Nifungulie Milango Ya Heri Na Uniunganishe Na Watu Sahihi.
GOOD🌄MORNING FAMILY🫂
Upendo Ni Kupenda Usipopendwa.Sio Kupenda Unapopendwa.
Hata Nuru Huonekana Kwenye Giza Ila Sio Kwenye Mwanga.
Hivyo Unapaswa Ujue Kwanza Nini Maana Halisi Ya Upendo Vyema.
Kwani Jukumu Letu Hapa Duniani Ni Kupenda Bali Sio Kupendwa.
❤💘❤
#ElimikaWikiendi
Washukuru Adui Zako Maana Chuki,Fitina Na Ubaya Wao Ndivyo Vinavyokunoa Na Kukufanya Uwe Imara Zaidi.
#ElimikaWikiendi
Usimuache Yule ANAYELIA USIKU Kwa Kukosa Amani Kwenye Mahusiano Yenu.Ukamfata Yule ANAYEKUCHEKESHA MCHANA.Muda Mwingine TUNAWANYIMA Muda Wale TUNAOWAHITAJI Na KUKIMBILIA Kwa Wale Wanaokuwa Sababu Ya Kukosa FURAHA Kwenye MAISHA Yetu.
Kuwa Makini Hapo...✍🏼
#ElimikaWikiendi
Lingine Tulilojifunza Kwenye Maisha Kuna Mahali Ukifika Unapaswa Ukubali Kuwa Kama Kiatu Cha Mwanajeshi,Yani Una Kanyaga Kwenye Kila Aina Ya Mazingira Magumu Lakini Bado Upo Imara.
#ElimikaWikiendi
Katika Maisha Kuwa Kama Maji,Ukiwekwa Kwenye Chombo Chochote Unajua Namna Ya Kuishi Bila Kupoteza Thamani Yako.
#ElimikaWikiendi



