饾悑饾悽饾悾饾惍饾悶 饾悕饾悶饾惂饾惃 饾惀饾悮 饾悓饾惍饾惂饾悹饾惍 (@LijueM) header
饾悑饾悽饾悾饾惍饾悶 饾悕饾悶饾惂饾惃 饾惀饾悮 饾悓饾惍饾惂饾悹饾惍 (@LijueM) profile picture

{饾悢饾惌饾惍饾悿饾惍饾悷饾惍 饾悺饾悮饾悵饾悽 饾惍饾惌饾惍饾悿饾惍饾悷饾惍} {饾悘饾悮饾惌饾悮饾悿饾悮饾惌饾悽饾悷饾惍 饾惄饾悮 饾惄饾悮饾惌饾悮饾悿饾悮饾惌饾悽饾悷饾惍}

Arusha, Tanzania
Joined December 2022
Photo by 饾悑饾悽饾悾饾惍饾悶 饾悕饾悶饾惂饾惃 饾惀饾悮 饾悓饾惍饾惂饾悹饾惍 (@LijueM)Photo by 饾悑饾悽饾悾饾惍饾悶 饾悕饾悶饾惂饾惃 饾惀饾悮 饾悓饾惍饾惂饾悹饾惍 (@LijueM)
*Ayubu 22:21* Mjue sana Mungu, ili uwe na amani; Ndivyo mema yatakavyokujia.
7
55
1
179
7,781
*Waefeso 6:2-3* Waheshimu baba yako na mama yako; amri hii ndiyo amri ya kwanza yenye ahadi, Upate heri, ukae siku nyingi katika dunia.
1
1
19
408
*Waefeso 5:25-26* Enyi waume, wapendeni wake zenu, kama Kristo naye alivyolipenda Kanisa, akajitoa kwa ajili yake; ili makusudi alitakase na kulisafisha kwa maji katika neno;
1
20
433
*Waefeso 4:25* Basi uvueni uongo, mkaseme kweli kila mtu na jirani yake; kwa maana tu viungo, kila mmoja kiungo cha wenzake.
1
2
28
468
*1 Petro 1:5* Nanyi mnalindwa na nguvu za Mungu kwa njia ya imani hata mpate wokovu ulio tayari kufunuliwa wakati wa mwisho.
2
5
21
447
*Mathayo 6:6, 7* Bali wewe usalipo, ingia katika chumba chako cha ndani, na ukiisha kufunga mlango wako, usali mbele za Baba yako aliye sirini; na Baba yako aonaye sirini atakujazi. Nanyi mkiwa katika kusali, msipayuke-payuke, kama watu wa mataifa
1
2
1
29
417
*Mathayo 6:5* Tena msalipo, msiwe kama wanafiki; kwa maana wao wapenda kusali hali wamesimama katika masinagogi na katika pembe za njia, ili waonekane na watu. Amin, nawaambia, Wamekwisha kupata thawabu yao.
1
15
322
*Yeremia 29:13* Nanyi mtanitafuta na kuniona, mtakaponitafuta kwa moyo wenu wote.
2
19
337
*Warumi 6:23* Kwa maana mshahara wa dhambi ni mauti; bali karama ya Mungu ni uzima wa milele katika Kristo Yesu Bwana wetu.
2
1
14
373
*Waefeso 6:17-18* Tena ipokeeni chapeo ya wokovu, na upanga wa Roho ambao ni neno la Mungu; kwa sala zote na maombi mkisali kila wakati katika Roho, mkikesha kwa jambo hilo na kudumu katika kuwaombea watakatifu wote;
3
1
20
339
*Isaya 40:25-26* Mtanifananisha na nani, basi, nipate kuwa sawa naye? Asema yeye aliye Mtakatifu. Inueni macho yenu juu,mkaone; ni nani aliyeziumba hizi; aletaye nje jeshi lao kwa hesabu; aziita zote kwa majina; kwa ukuu wa uweza wake, na kwa kuwa yeye ni hodari kwa nguvu zake
3
26
309
Isaya 40:10-11 Tazameni, Bwana Mungu atakuja kama shujaa, Na mkono wake ndio utakaomtawalia; Tazameni, thawabu yake i pamoja naye, Na ijara yake i mbele zake. Atalilisha kundi lake kama mchungaji, Atawakusanya wana-kondoo mikononi mwake; Na kuwachukua kifuani mwake
1
1
15
271
*Mathayo 28:19* Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu;
20
246
*Waefeso 2:8, 9* Kwa maana mmeokolewa kwa neema, kwa njia ya imani; ambayo hiyo haikutokana na nafsi zenu, ni kipawa cha Mungu; wala si kwa matendo, mtu awaye yote asije akajisifu.
1
14
242
*1 Petro 1:18-19* Nanyi mfahamu kwamba mlikombolewa si kwa vitu viharibikavyo, kwa fedha au dhahabu; mpate kutoka katika mwenendo wenu usiofaa mlioupokea kwa baba zenu; bali kwa damu ya thamani, kama ya mwana-kondoo asiye na ila, asiye na waa, yaani, ya Kristo.
1
1
16
285
*1 Wakorintho 7:3-5* Mume na ampe mkewe haki yake,na vivyo hivyo mke na ampe mumewe haki yake.Mke hana amri juu ya mwili wake, bali mumewe;vivyo hivyo mume hana amri juu ya mwili wake,bali mkewe.Msinyimane isipokuwa mmepatana kwa muda,ili mpate faragha kwa kusali;mkajiane tena
3
1
17
434
*1 Wakorintho 6:18-20* Ikimbieni zinaa. Kila dhambi aitendayo mwanadamu ni nje ya mwili wake;ila yeye afanyaye zinaa hutenda dhambi juu ya mwili wake mwenyewe. Au hamjui ya kuwa mwili wenu ni hekalu la Roho Mtakatifu aliye ndani yenu,mliyepewa na Mungu?
6
1
24
383
*Zaburi 133:1* Tazama, jinsi ilivyo vema, na kupendeza, Ndugu wakae pamoja, kwa umoja.
2
23
330
*Mithali 5:18-19* Chemchemi yako ibarikiwe; Nawe umfurahie mke wa ujana wako. Ni ayala apendaye na paa apendezaye; Maziwa yake yakutoshe sikuzote; Na kwa upendo wake ushangilie daima.
6
1
16
496
*Luka 14:8* Ukialikwa na mtu arusini, usiketi katika kiti cha mbele; isiwe kwamba amealikwa mtu mwenye kustahiwa kuliko wewe,
2
1
18
291