Pinned Tweet
Just published an article about Trademark infringements.
medium.com/@luhambarashidi/t…
😂😂hata Mimi na @GoodluckjmN tunataka tuwe na podcast yetu Sasa
Kwa Dar chumba Cha 60k ni uongo wazee, hapo nguo zitaliwa panya kila siku.
Replying to @bonifacejoseph_
Kwanini;
1.Upange chumba cha 100K
2.Kwanini utumie bando la 70K
Kuna jamaa wangu alisoma CBE aliniambia kiuchumi zaidi mtu akilipwa 600K anapaswa kukaa chumba cha 60K
Nadhani Elimu ya Uandaaji bajeti wengi hatuna hivyo 600K kulingana na maisha yetu ni ndogo
600k haitoshi hata huku singida kaka.
Sisemi ni hela ndogo, ila nasema ni pesa inakufaa ku survive hand to mouth vizuri tuu bila stress.
Bado hata mshahara wa 600K hautoshi kama unaishi Dar. Nasemaga minimum salary take home inapaswa kuwa angalau 900K.
Sasa umepanga chumba 100K
Nauli ya kwenda na kuridi kazini 5K kwa siku, kwa mwezk - 150K
Chakula kwa siku 15K, kwa mwezi - 450K
Bando kwa mwezi - 70K
Umeme & bills za maji n.k - 30K
Jumla - 800K.
Hapo bado hujahonga, hujatoka weekend, hujaambiwa mjomba kameza panga 🫵😂.
Sio kwamba nina kipato cha zaidi ya 1M, mi mwenyewe hohehahe ila hali ya maisja ipo juu sana
Kama ofisini Kuna oven alafu mtu anatumia 15k kula kwa siku basi anapenda tuu anasa.
Kwenye suala la Kodi sikupingi, nyumba nzuri walau ni 150,000.
Ila ili uishi vizuri Dar kama mtoto wa kiume jitahidi uwe hata na pikipiki for everyday movements.
Uwe na friji, pika wali kilo nzima na maharage weka kwa friji kwenye take aways, ila saidia sana kwenye bajeti.
Hii Dar ilivyo NICE labda nikwambie kitu kimoja 😅.
Unaweza kupanga chumba cha 60K, ila ukawa unatumia more than 5K ya usafiri kila siku, au upange chumba 100K ila usafiri chini ya 5K.
Na kiukweli Dar chumba cha 100K kushuka chini ni DECENT, hakiwezi kuwa kizuri unless kama ni nje ya mji.
Na kama unafanya kazi maeneo ya Posta, Sinza, Kariakoo, kinondoni, Masaki, Makumbusho yaani katikati ya jiji chakula kizuri sio chini ya 4K/5K unless ule chipsi kavu 😂.
Maisha ya Dar yapo juu sana
















