HON. HASHIM RUNGWE (@MOMVUTI) header
HON. HASHIM RUNGWE (@MOMVUTI) profile picture

MWENYEKITI WA CHAUMMA

Dar es Salaam, Tanzania
Joined October 2023
Photo by HON. HASHIM RUNGWE (@MOMVUTI)Photo by HON. HASHIM RUNGWE (@MOMVUTI)Photo by HON. HASHIM RUNGWE (@MOMVUTI)Photo by HON. HASHIM RUNGWE (@MOMVUTI)
Bado wewe,bado kuna nsfasi za kujaza kitaifa.
This quoted post is unavailable.
68
Achana na mambo ya mapenzi kila siku,njoo ule ubwabwa upate afya ya akili
2
67
Replying to @Sativa255
@Sativa255 hizi kadi zinatofauti gani na hizi za electronic ambazo tunazo? Si ukiwa na kadi ya chadema hii haina haja.
Wakina YERICKO walituita watu wa MTANDAONI kama “wapiga kelele” kwasababu hatukuwa WANACHAMA wa CHADEMA. Sasa ni wakati wa MABADILIKO, wakati wa kubadilisha majina yetu kutoka kwenye “WAPIGA KELELE” mpaka kuwa Wanachama hai. Bei za KADI ndio hizo. Chama kinahitaji Sana pesa yako ili kiweze kufanikisha mambo mbali mbali ya kiutendaji. Tutakuwa watu wa ajabu sana tukikubali kampeni zijazo tukaitwa tena “wapiga kelele” kwasababu hatuna KADI. Chagua kifurushi chako hapo kisha LIPIA. Humu X tulionyesha kutaka MABADILIKO, inabidi tuwe wa MFANO kwa kumiliki hizi KADI kwa wingi wetu. Chukua BANGO hili mtumie kila mtu aliekuwa anamuunga MKONO LISSU na kutaka MABADILIKO, mwambie aanze kuwajibika. Sambaza Hili BANGO POPOTE pale. Mbele KUNA MWANGA.😁 REPOST 200 SATIVA17🫡
1
19
Replying to @HKigwangalla
@HKigwangalla Simba kuna viongozi wengi sana kwenye utendaji,urasimu mkubwa usio na maana wote wameshikwa na mtu mmoja kulinda maslahi yake, kawashika viongozi wote kiganjani na wapo pale kwaa ajili ya kula si kuboresha timu,tofauti Yanga uongozi wake sio mkubwa
Inawezekana timu ya Uto ina watu wenye akili nyingi sana, elimu kubwa, uzalendo, uaminifu, uadilifu n.k., ama imejifunza kutokana na makosa tuliyofanya sisi wa mnyama. #HK #Fighter #NjeYaBox CC: @SimbaSCTanzania @Yanga1935
55