Mabala retweeted
Ni bora kuwapa nafasi tano Wanawake watano kuliko nafasi tano kumpa Mwanamke mmoja.π
Mabala retweeted
Nyota wa Klabu ya Yanga, Clement Mzize amefunguka historia ya Maisha yake kupitia The Physics ya Denis Nkane
Msikilize ujue yake ambayo ilikuwa huyajui juu ya Nyota huyu mwenye historia kubwa Afrika katiba mpira wa Miguu.
#KitengeSports
Mabala retweeted
Imagine this is a son asking his Mother kama ako Kutu. Maajabu!
I thank God You can't find such behaviours in Kisii.
Mabala retweeted
KIMENUKAAAAAAAAA, naomba niingie kulala, ila nikiamka na ku-drop watoto shule na drop π£ moja kali.
Video itakuwa hewani saa 1 usiku ya Tanzania.
ISSUE NI DIPU!!!!!
Mabala retweeted
Kama hutumii Instagram wala TikTok shukuru Mungu huko kuna presha kubwa sana kila Mtu anaishi Maisha mazuri, mahusiano ya furaha unaweza jihisi huna sababu ya kuishi ukijilinganisha nao. Hii ndiyo inafanya niipende Twitter low keys.ππ«‘
Mabala retweeted
Kuweka mitambo sawa: Kujiaandaa kikamilifu kimwili na kiafya ili kuwa na nishati ya kutosha, lakini amejifanya hajaona nauli ππ
















