
Somewhere between my dreams and reality🧚 @Arsenal @FCbarcelona
Joined October 2025
- Tweets9K
- Following2.8K
- Followers3.1K
- Likes8.4K
Macute💗 retweeted
This makes Homa bay look like a joke.
This is the reality of life for residents of Kwale. How long must they continue to endure this?
#LindaMwananchiMovement
#LindaKwale
#LMMinKwale
Macute💗 retweeted
... Sasa coz hiyo function ilikuwa karibu na area wanaishi waliinsist nipitie kwao nikiwachukua twende! Mimi nikaenda nikawachukua tukaenda tukamaliza shughuli vizuri tukapigwa picha na zikatumwa kwangu zote then mimi nikapost picha kadhaa kwa status huko WhatsApp na nikatumia huyo rafiki zile zao! After kumtumia nilikaa kidogo nikaingia WhatsApp nikaona amechukua ile picha walipigwa na bibi yake akaweka kama dp then kuangalia status huyu mama amepost picha moja kwa status and funny thing nikuwa alipost ile picha nimepigwa nayeye tukiwa wawili then amecaption na love emojis na hapo ndio nilianza kujiuliza maswali coz huyu mama was very caring to me na hakuwa anaongopa bwanake.
Sasa shida yangu ni; what if huyu rafiki aanze ku overthink?
Ama inaeza kuwa alijua bibi yake ni mmoto sana na akaamua kutafuta co husband ndio bibi yake asiende nje coz after all that and many other things zimekua zikiendelea sijawai ona akiwa bothered!
.... Sasa after nimeenda mlolongo pia hao waliama wakaenda place ingine na wamekuwa wakiinsist niende nijue kwao but nmekuwa nkilega hiyo maneno!
So last week I had a family function na nikiwaambia but mimi sikuexpect kama wataichukulia kama kitu kubwa kwao! So vile niliwaambia huyo mama alijitolea kuenda na mimi kwa hiyo function n from there hadi ndiye alikua ananipigia simu kunikumbusha!
Sasa hapa ndio shida ilianzia....... Continued in quotes...
Macute💗 retweeted
This match means nothing to Kenyans.
Cut the crap!
Happening now on @tv47digital
We’re discussing the upcoming clash between @FCBayern and @AFCAjax, and what it means for Kenya.
Macute💗 retweeted
Enzo Maresca has been riding on Pep's momentum and it is now dying down. He will see things only Carrick can describe vividly. We shall be there!!
Macute💗 retweeted
........ So after some years nikaanza kupata fununu zinasema nimekuwa nikula huyu wife wake na hiyo ni kitu sijai fikiria hata siku moja coz wako na wasichana wawili na kuna mmoja tushafanya one two nayeye.
Now wakati nilipata hizo fununu nilianza kuwatoka pole pole but they kept following me coz hawakua wanajua reason yangu ya kuwatoka!
After kuona vile waliendelea kuniskuma niendelee kulala huko kwao hiyo story haikunikalia poa cos nilijua ukiona hizo fununu zimenifikia lazima hawa washaazipata pia! Sasa mimi nikaamua the best solution is to move out of that area and that's how nilijipata Mlolongo...... Continued in quotes..
Kuna kitu imekuwa ikinisumbua sana hii week hadi najipata nikijiongelesha!
Niko na rafiki yangu ambaye namchukulia kama ndugu yangu mkubwa na pia yeye huwa ananiamini sana kiasi ya kwamba akienda kazi(coz kazi yeye ufanya huwa anaeza enda even more than a month) so due to some reasons huwa ni lazima awache mtu wa kulala kwa nyumba yake huku kanairo and he trusted me to be sleeping in the same house with his wife hiyo time yote akiwa away....... Continued in quotes..
Macute💗 retweeted
Just received an email from Binance. Wanasema my BTC worth 13 dollars are safe. Mungu asifiwe aki.
Macute💗 retweeted
Hapa Manchester tukona unity sana ndugu zetu wakubwa wakinyoroshwa pia sisi tunapigwa

























