Unapata bois anajituma site kidogo simiti na koroga inamuua anarudi jioni akiwa na ka shopping apelekee jezebel anapata habari amekuliwa na nyambane mwenye hushinda pes, anaku easy walai!
Unemployed ndio tunarauka, nimeshika ka maziwa na tungumu nishikanishe breko na lunch ndio nione supper tunamanga nini, pia huwa sielewi hii pesa hutoka wapi