MAPINDI tuna solution kwa Wanafunzi wenye changamoto ya lugha ya kingereza.
Tuko Jikoni kuanza Project ya Shule kww Shule kuwawekea Wanafunzi tutorials zetu ili waelewe vyema concepts ktk Masomo yao.
@JifunzeSwahili @HakiElimu @MabalaMakengeza
Mwanafunzi wetu mwenye juhudi hadi sasa anakomaa kukamilisha zoezi nililompa la kuandika Barua kwa kutumia MsWord. Ana wiki mbili hapa MapindiStore na hadi sasa maendeleo yake ni mazuri mno.
Tunaendelea kufurahia feedback tunazozipata kutoka kwa Wazazi. Wanafunzi wetu now wanaweza kufanya vitu kupitia Computer. Digital literacy kwa zama hizi ni jambo haliepukiki.
Kazi ya kuendelea kujenga vijana mahiri wenye weledi na watengeneza ajira inaendelea.
Vijana wetu hua tunawaambia so long as umefika MapindiStore you will never be the same.
Giving them Exposure and access to the World class education.
Nimepokea maombi mengi ya kufungua MapindiStore maeneo mbalimbali.
Tutaanza na maeneo yenye potential zaidi.
Tupeni muda tujiridhishe kwanza.
1
Hawa ni Best Performers wa Shule iliyoko jirani na Store yetu hapa Salasala (Shule ya Sekondari Songoro Mnyongo) Wamepata Ofa kutoka kwa Mkurugenzi kusoma Bure katika Store zetu plus access to Library facilities and Computer Studies.
Wanafunzi wengi Wanaofika MapindiStore wanajifunza kisasa kupitia Platform yetu ya Mapindi kwa tutorials zilizoandaliwa kwa ustadi mkubwa. Hadi sasa Masomo yote ya Science kidato cha Kwanza hadi cha Sita yanapatikana katika jukwaa letu.












